Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Israel ilikuwa imewinda Gaza kwa zaidi ya mwaka mmoja ili kupata SinwarChanzo cha picha,Getty Images
Saa 1 iliyopita
Wanajeshi wa Israel walikuwa wamemuwinda kwa zaidi ya mwaka mmoja kiongozi wa Hamas, ambaye alitoweka huko Gaza mara tu baada ya kupanga mashambulizi ya tarehe 7 Oktoba.

Yahya Sinwar, 61, alisemekana alitumia muda wake mwingi kujificha kwenye vichuguu chini ya Ukanda huo, pamoja na kada ya walinzi na "ngao ya kibinadamu" ya mateka waliokamatwa kutoka Israeli.

Lakini hatimaye, inaonekana alikutana na mwisho wake katika kukutana na doria ya Israeli kusini mwa Gaza. Alikuwa na idadi ndogo ya walinzi. Hakuna mateka waliopatikana.

Bado taarifa zinaendelea kujitokeza, lakini hiki ndicho tunachokijua hadi sasa kuhusu mauaji ya Sinwar.
Hi stori yako sio sahihi kabisa imeja mihemko, sijui wa Tanzania tuna ushabiki wa kijinga sanaa........huyu jamaa aliua siku ya jtano katika majibizano ya lisasi na vikosi vya Israel nawenyewe hawakujua kama niyeye.
 
Huyo unayemwita mwamba anayekalia sehemu za watu kwa mabavu na chanzo cha balaa zote hizi anatumia mbinu za kisingizio cha mateka na hataki suluhisho hivyo anaendelea kuua “Genocide” ovyo maana hajashiba damu. Hawa Mayahudi wallisha fukuzwa nchi 1035 kwa ajili ya ufisadi wao. Hawamtambui Yesu wanamuona kama mwana haramu; na hawautambui ukiristo wanauwa wakiristo na kupiga mabomu makanisa lakini wamo humu waliolala usiwaamshe wanafurahia mauaji.

Mwaka 1982 kwa muda wa masaa 5 tu, Sharon Israel alichinja Wapalestina 3,500 wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto maana wanaume walikuwa wameenda Tunisia chini ya usalama under peace agreement ya Marekani.
Hiyo ilikuwa mara 3 ya hao wa October.

Hizi chuki haziluanza jana. Miaka 75 iliyopita.
Nanukuu:
"Huyo unayemwita mwamba anayekalia sehemu za watu kwa mabavu na chanzo cha balaa zote hizi anatumia mbinu za kisingizio cha mateka na hataki suluhisho hivyo anaendelea kuua “Genocide” ovyo maana hajashiba damu. Hawa Mayahudi wallisha fukuzwa nchi 1035 kwa ajili ya ufisadi wao. Hawamtambui Yesu wanamuona kama mwana haramu; na hawautambui ukiristo wanauwa wakiristo na kupiga mabomu makanisa lakini wamo humu waliolala usiwaamshe wanafurahia mauaji."
Mkuu; Tuwe wakweli na waaminifu kwa nafsi zetu:
1. Ni nani awaye yeyote yule aliyekuja hapa duniani akiwa na walau kipande au chembe ya Ardhi au eneo analoweza kudai ni lake????
Nchi zote duniani (Maeneo au sehemu za watu) ni makubaliano tu baina ya WATU/BINADAMU kwamba wewe kaa hapa, yule akae pale, wale wakae kule, etc etc. ili wote tuweze kuishi. Na cha ajabu, Dunia haija jaa -nafasi bado tele.
Ugomvi wa maeneo unatoka wapi?? Kwani ni lazima tubanane hapa hapa tuu??
2. Hoja ya Udini sio sahihi kuihusisha hapa japokuwa inapenyezwa kwa nguvu.
Hakuna dini (Imani)inayohamasisha vita ila wapo baadhi ya viongozi wanaotoa tafsiri hupotosha kilichoandikwa kwenye vitabu vitakatifu vya dini husika.
3.Ni vizuri na ni busara kuzingatia kwamba hakuna ubaguzi eti hizi ni risasi au mabomu ya wakristo au ya Waislam n.k. n.k. Risasi, mabomu, maroketi n.k. yani Silaha zinapotumika huwa hazibagui.
Siamini kwamba kuna watu wenye akili sawa sawa wanaofurahia mauaji. Mbona inapofika zamu yao kuuliwa au Kufa wanahangaika vile? Hata huyo Sinwar siadhani kama alikuwa anafurahia kwani ilipofika zamu yake alihangaika kujinasua.
 
Acheni undumila kuwili waisraeli oct 7 ni sawa kuuwawa?!!

Nani alimuanza mwenzake ?!! Tusingefika huku kama sio hiyo oct 7

Hivi ni mvua za rasha rasha tu after hezbulla anayefuata houth na baadae tutamalizia na sponsor wao
Wewe fala huna unalojua.
Ugomvi ulianzia Agosti 23 Israel ikivamia mashamba Khani Younis na kukanyaga wakulima kwa vifaru.
Hivi uliuona ushahidi uliotolewa wa uvamizi wa Israel kabla ya Oktoba 7!?
Ulifuatilia vikao vya Cairo peace summit!??
Watu msiojua mnakera kwa kuchafua jukwaa na ujuha wenu.
 
Nanukuu:
"Huyo unayemwita mwamba anayekalia sehemu za watu kwa mabavu na chanzo cha balaa zote hizi anatumia mbinu za kisingizio cha mateka na hataki suluhisho hivyo anaendelea kuua “Genocide” ovyo maana hajashiba damu. Hawa Mayahudi wallisha fukuzwa nchi 1035 kwa ajili ya ufisadi wao. Hawamtambui Yesu wanamuona kama mwana haramu; na hawautambui ukiristo wanauwa wakiristo na kupiga mabomu makanisa lakini wamo humu waliolala usiwaamshe wanafurahia mauaji."
Mkuu; Tuwe wakweli na waaminifu kwa nafsi zetu:
1. Ni nani awaye yeyote yule aliyekuja hapa duniani akiwa na walau kipande au chembe ya Ardhi au eneo analoweza kudai ni lake????
Nchi zote duniani (Maeneo au sehemu za watu) ni makubaliano tu baina ya WATU/BINADAMU kwamba wewe kaa hapa, yule akae pale, wale wakae kule, etc etc. ili wote tuweze kuishi. Na cha ajabu, Dunia haija jaa -nafasi bado tele.
Ugomvi wa maeneo unatoka wapi?? Kwani ni lazima tubanane hapa hapa tuu??
2. Hoja ya Udini sio sahihi kuihusisha hapa japokuwa inapenyezwa kwa nguvu.
Hakuna dini (Imani)inayohamasisha vita ila wapo baadhi ya viongozi wanaotoa tafsiri hupotosha kilichoandikwa kwenye vitabu vitakatifu vya dini husika.
3.Ni vizuri na ni busara kuzingatia kwamba hakuna ubaguzi eti hizi ni risasi au mabomu ya wakristo au ya Waislam n.k. n.k. Risasi, mabomu, maroketi n.k. yani Silaha zinapotumika huwa hazibagui.
Siamini kwamba kuna watu wenye akili sawa sawa wanaofurahia mauaji. Mbona inapofika zamu yao kuuliwa au Kufa wanahangaika vile? Hata huyo Sinwar siadhani kama alikuwa anafurahia kwani ilipofika zamu yake alihangaika kujinasua.
Nina swali moja tu mkuu,kama hakuna aliyekuja na kipande cha ardhi kwanini Israel 1948 iliwafukuza kwa bunduki waarabu na kuwaambia waende hata Misri!?
Kwanini walimuua hadi mpatanishi wa Oslo kuhusu kuundwa kwa mataifa mawili!?
Naomba jibu.
Kwanini walivamia ardhi nje ya Palestina na wakainyakua!?
 
Hi stori yako sio sahihi kabisa imeja mihemko, sijui wa Tanzania tuna ushabiki wa kijinga sanaa........huyu jamaa aliua siku ya jtano katika majibizano ya lisasi na vikosi vya Israel nawenyewe hawakujua kama niyeye.
Wenzako wapo uwanja wa mapambano wewe upo TANZANIA hautaki, nani kati yao na wewe mwenye mihemko?
 
Kama magaidi watajificha makanisani wapigwe tu. Hao Wayahudi walimuua Yesu na bado akasema wasamehewe itakuwa tu mtu baki? Walichokozwa wacha wajibu.
 
Nina swali moja tu mkuu,kama hakuna aliyekuja na kipande cha ardhi kwanini Israel 1948 iliwafukuza kwa bunduki waarabu na kuwaambia waende hata Misri!?
Kwanini walimuua hadi mpatanishi wa Oslo kuhusu kuundwa kwa mataifa mawili!?
Naomba jibu.
Kwanini walivamia ardhi nje ya Palestina na wakainyakua!?
Screenshot_2024-10-18-08-28-31-140_com.google.android.googlequicksearchbox~2.jpg
 
Kumbe Uingereza ina roho nzuri kabisa. Sasa inakuwaje huwa mnawatukana Waingereza ni Makafiri? Mnawatukana halafu mnapenda kwenda kuishi huko Ukafirini? Acha mtwangwe na Israel kenge wa pink nyie.
Huyo ukimwambia saivi achague visa ya kwenda kuishi taifa la kiislamu Afghanistan, Iran, Saud Arabia au Canada na Uingereza,, atakimbikia kwa "makafiri" Kwa mwendo wa ngiri mkia juu
 
Hi stori yako sio sahihi kabisa imeja mihemko, sijui wa Tanzania tuna ushabiki wa kijinga sanaa........huyu jamaa aliua siku ya jtano katika majibizano ya lisasi na vikosi vya Israel nawenyewe hawakujua kama niyeye.
Mbona story zenu zinafanana?
 
Dini yenu imebuniwa miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, na kabla hajaondoka alitahadharisha kwamba kutakuja mpinga Kristo ambaye atachinja sana Wakristo, sasa hili tunalishuhudia mnavyochinja Wakristo
Dini ya kiislamu imekuja toka binadamu wa kwanza kuja duniani baba yetu Nabii Adam A.S hata yesu hajazaliwa na mama maryam, ukiristo ulianzishwa ni akina paulo ambaye ata yesu hakumuona pia
 
Back
Top Bottom