Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Nani kakuambia Israel wako Gaza City, wewe unaijua AL Shujaia iko wapi? huo mji upo East Gaza kule North pia walishia barabara ya Salah Din Ayoub anaye kuambia Israel alifika city centre huyo anaota.![]()
Mkuu huwa unafurahisha sana na comments zako.Tangu kujiapiza hawatoingia Gaza na sasa hukosi vijisababu vya kujipa moyo baada ya IDF kuwa mitaani Gaza![]()
Na hio miji anapokea kichapo ile mbaya kakimbia Al Shujaiya sa kabaki Rafah na Jabaliya na bado anapokea kichapo na kote huko ni mbali na Gaza mjini.
View: https://youtube.com/shorts/wSt-qVplvsg?si=57wwN5_SzhzQWtk-