Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Hali siyo nzuri huko madhariki ya kati
Israel imeanza chukua hatua za tahadhari kwa kufunga ofisi zake za ubalozi kwenye nchi mbalimbali duniani zake ikihofia mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran.
Hatua hizi zinafuatia shambulizi lililofanywa kwenye makazi ya balozi wa Iran nchini Syria na kuoelekea kifo cha Jenerali wa Jeshi la Iran, msaidizi wake pamoja na watu wengine watatu.
Israel shuttering embassies amid revenge threats from Iran – reports
Today, 8:35 pm
Source: Times of Israel
Jerusalem is shuttering embassies around the world amid threats from Iran to retaliate for a strike earlier this week on one of its consular buildings in Damascus that it blames on Israel, according to Hebrew media reports.
Maariv reports that in some locations, embassy employees have been asked not to come to work in the coming days.
While Israel has not claimed responsibility for Monday’s attack, which killed Iran’s top Islamic Revolutionary Guard Corps general in Syria along with his deputy and five other IRGC officers, Tehran has blamed Jerusalem and vowed revenge. The IRGC is a US-designated terror group.