Israel yaanza kufunga Balozi zake kama tahadhari ya kushambuliwa na Iran

Kuna maamuzi waweza Fanya halafu ukayajutia.
20240403_094848.jpg
20240403_094848.jpg
 
Nimepokea simu kutoka kwa mpwa wangu anasema Tel Aviv leo ni siku ya 3 watu hawalali wanashinda kwenye mahandaki. Kama ni kwa mapenzi yake Mungu kikombe hiki kiwaepuke.
Nasi tunakesha usiku kumuomba aliyeziumba Mbingu na Ardhi na Vilivyomo kuwa ikiwezekana na atokee kiumbe mwingine mfano wa HITLER akawapunguza hawa wana wa Israel japo hata nusu ya ile idadi ya Hitler & ya Mussolin, aaamiiin
 
Wadau hamjamboni nyote?

Hali siyo nzuri huko madhariki ya kati

Israel imeanza chukua hatua za tahadhari kwa kufunga ofisi zake za ubalozi kwenye nchi mbalimbali duniani zake ikihofia mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran.

Hatua hizi zinafuatia shambulizi lililofanywa kwenye makazi ya balozi wa Iran nchini Syria na kuoelekea kifo cha Jenerali wa Jeshi la Iran, msaidizi wake pamoja na watu wengine watatu.

Israel shuttering embassies amid revenge threats from Iran – reports

Today, 8:35 pm
Source: Times of Israel

Jerusalem is shuttering embassies around the world amid threats from Iran to retaliate for a strike earlier this week on one of its consular buildings in Damascus that it blames on Israel, according to Hebrew media reports.

Maariv reports that in some locations, embassy employees have been asked not to come to work in the coming days.

While Israel has not claimed responsibility for Monday’s attack, which killed Iran’s top Islamic Revolutionary Guard Corps general in Syria along with his deputy and five other IRGC officers, Tehran has blamed Jerusalem and vowed revenge. The IRGC is a US-designated terror group.
ACHA UONGO UMEEDIT BAADHI YA MANENO KUONYESHA ISRAEL IMEFUNGA BAROZI ZAKE DUNIANI....SIO KWELI KWANINI UNAONGEA UONGO ILI IWE NINI?

LINK HII HAPA YA ULIPOTOA HII HABARI FARA MMOJA WEWE
Screenshot_20240404_222823.jpg
 
Kwa taarifa Yako Israel mwenyewe anaitaka Iran iingie kwenye hii mbanga amalizane nae.....
Nimekuwekea hii screen shot tazama MUDA netanyahunametoka kusema
Nanukuu:---kuhusu vitisho vya Iran: 'Wale wanaotudhuru au kupanga kutudhuru, tutawadhuru' mwisho wa kunukuuu
 
Attachments

  • Screenshot_20240404_223838.jpg
    Screenshot_20240404_223838.jpg
    580.7 KB · Views: 3
Kwa taarifa Yako Israel mwenyewe anaitaka Iran iingie kwenye hii mbanga amalizane nae.....
Nimekuwekea hii screen shot tazama MUDA netanyahunametoka kusema
Nanukuu:---kuhusu vitisho vya Iran: 'Wale wanaotudhuru au kupanga kutudhuru, tutawadhuru' mwisho wa kunukuuu
US ndio anaitaka Tehran, Israel hana ubavu wa kupambana na Hezbollah ndio aimudu Iran?
Hezbollah na Houth tu amemudu kwa Backup kutoka Washington
Umeingia cha Mabubu
 
MUDA ndio shahidi mzuri.....balaa analofanya Israel Gaza na Kwa hamas unafikir Hezbollah na Iran hawaoni?...jibu wanaona unafikir nani wa kujitoa ufahamu wa kuingia direct war na Israel?....wote wapo kimya na Israel anawafata huko huko wanakofanya mipango yao na kuwaua.....
 
Back
Top Bottom