Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
Wewe Kenge kweli USA ndio aliyemuomba Iran asimpige jana lakini Israel mwenyewe alikuwa anajua wazi Iran atamshambulia. Sa leo ndio itakuwa redline itabid Iran amuambue USA tulikubaliana mpaa Lebanon au niwachie nimtengeneze Israel kama yeye anajidai mwamba we tulizana tuone baada ya masaa 24 tokea wamekubalina USA na Iran ndio utapata jibu Israel itabidi wa comply au wachezee kichapa kutoka Iran.Ukumbuke kuwa Iran walipiga mikwara kuwa endapo Israel itashambulia Gaza basi Iran Watajibu kwa nguvu kubwa.
Lakini tokea waseme hivyo hakuna walichowahi kufanya. Ilikua ni mikwara ya kwenye media. Leo Israel imeendelea na mashambulizi huko Gaza
Wapo walisema Iran walimaanisha Beirut TU, lakini hata Jana Israel walishambulia Beirut, lakini Iran wamenywea.
Khaibar
100 others
Adiosamigo
Echolima1
Ritz
mdogoee
6 Pack
View attachment 3608141
Kwa hiyo siku hizi Iran anaamriwa cha kufanya na marekani? Marekani anaamua Iran afanye nini na nini asifanye? 🤣🤣Wewe Kenge kweli USA ndio aliyemuomba Iran asimpige jana lakini Israel mwenyewe alikuwa anajua wazi Iran atamshambulia. Sa leo ndio itakuwa redline itabid Iran amuambue USA tulikubaliana mpaa Lebanon au niwachie nimtengeneze Israel kama yeye anajidai mwamba we tulizana tuone baada ya masaa 24 tokea wamekubalina USA na Iran ndio utapata jibu Israel itabidi wa comply au wachezee kichapa kutoka Iran.
Afu we kenge usisahu wale vibaraka wenu Rais wa Lebanon na Waziri mkuu hawataki eti Iran aingilie vita kati ya Lebanon na Israel unajua sababu gani ili Iran asishambulie Israel
Iran mikwara mingi, wenzao vitendo tuMungu Ibariki Israel.
Wewe Kenge kweli USA ndio aliyemuomba Iran asimpige jana lakini Israel mwenyewe alikuwa anajua wazi Iran atamshambulia. Sa leo ndio itakuwa redline itabid Iran amuambue USA tulikubaliana mpaa Lebanon au niwachie nimtengeneze Israel kama yeye anajidai mwamba we tulizana tuone baada ya masaa 24 tokea wamekubalina USA na Iran ndio utapata jibu Israel itabidi wa comply au wachezee kichapa kutoka Iran.
Afu we kenge usisahu wale vibaraka wenu Rais wa Lebanon na Waziri mkuu hawataki eti Iran aingilie vita kati ya Lebanon na Israel unajua sababu gani ili Iran asishambulie Israel
Mungu yupi?Mungu Ibariki Israel.
Kenge mmoja wewe USA ndoo kawaomba Iran wasimpoge Israel janaKwa hiyo siku hizi Iran anaamriwa cha kufanya na marekani? Marekani anaamua Iran afanye nini na nini asifanye? 🤣🤣
Maelezo Yako ni mengi sana, Israel anaendelea kupeleka Moto huko. Iran hawezi Tena kulipiza kama alivyosema nadhani unakumbuka wiki iliyopita walikutana na nini
Nimekuuliza kwa hiyo Iran inafuata amri ya marekani?Kenge mmoja wewe USA ndoo kawaomba Iran wasimpoge Israel jana
Elimu kubwa sana hii umetoaUnapoandika au kutoa hoja, write as sensible person. Unaweza kuwa a kitu cha maana lakini uwasilishaji ukawa wa hovyo kama ulivyofanya, kila kitu kitaonekana cha hovyo.
Ukweli ni kuwa katika hayo mataifa mawili, Israel na Iran, hakuna wa kumpigia magoti mwingine. Israel inaweza kufanya strategic strikes ndani ya Iran na kusababidha madhara makubwa kwa Iran, lakini siyo rahisi kuifanya Iran isalimu amri.
Iran inaweza kurusha makombora ndani ya Israel kama tulivyoshuhudia mwakajana na mwaka huu, ikaleta hasara ndogo kuliko inavyoweza kusababisha Israel ndani ya Iran, lakini bado Iran haina uwezo wa kuifanya Israel isalimu amri. Kitakachobakia ni kushambuliana tu.
Sababu ya serikali ya Lebanon kutotaka kusaidiwa na Iran au Hezbollah, unatakiwa ujue historia ya hayo makundi ya kigaidi ya Iran, na jinsi yalivyofaya dhidi ya Serikali ya Lebanon.
Setikali za Lebanon, Yemen, Saudia, UAE, Kuwait, Qatar, zote zinaiona Iran ni adui yao.
Mwaka 1979, Ayatollah alipopindua Serikali ya Iran, alitangaza kuwa wasuni siyo waislam, na washia wanatakiwa wahakikishe wanazipindua Serikali zote za ghuba ambazo zinaongozwa na wasuni.. Ayatollah ili kutekeleza huo uharamia wake, alitengeneza makundi ya washia ambayo sasa hivi yanaitwa makundi ya kigaidi, lengo kubwa ni kuwa makumdi haya yaziangushe Serikali zilizokuwa madarakani. Hezbollah kule Iran walimwua waziri mkuu wa wakati huo, Rafiq Hariri. Houthis kule Yemen walimwua Rais Ali Saleh.
Hivyo Serikali ya Lebanon ni wahanga wa makundi ya kigaidi ya Iran, ndiyo maana Lebanon haiwataki Wairan wala Hezbollah. Hata mafanikio ya Israel katika kuwaua viongozi wa kijeshi wa Hezbollah na wale Wairan wakiingia Lebanon, wanasaidiwa sana na wananchi na Serikali ya Lebanon, ambao Iran na Hezbollah, wote ni maadui dhidi ya wananchi wa Lebanon. Kinachoiumiza Lebanon ni mauaji ya wananchi wasio na hatia, kutokana na wapiganaji wa Hezbollah kujificha kwenye makundi ya raia.
Walikua wanapiga mikwara ili iweje? Serikali nzima na viongozi wao walikua na kazi ya kupiga mikwaraMnataka Iran wawe martyrs kwa ajili ya nani?
Kwa hiyo kenge mtu akiombwa ndio kafata amri sa we tulizana uone time itaongea kama Israel atajifanya jeuri atapokea kichapo Iran si USANimekuuliza kwa hiyo Iran inafuata amri ya marekani?
Story za magazeti unatuletea hapa kwa hio Saud Arabia ana muona Israel sio adui hahaha kenge mmoja wewe Sa kwanini Saud Arabia hana uhusiana wa kidiplomasia na Israel kama sio adui na anaye uhusiano na Iran.Unapoandika au kutoa hoja, write as sensible person. Unaweza kuwa a kitu cha maana lakini uwasilishaji ukawa wa hovyo kama ulivyofanya, kila kitu kitaonekana cha hovyo.
Ukweli ni kuwa katika hayo mataifa mawili, Israel na Iran, hakuna wa kumpigia magoti mwingine. Israel inaweza kufanya strategic strikes ndani ya Iran na kusababidha madhara makubwa kwa Iran, lakini siyo rahisi kuifanya Iran isalimu amri.
Iran inaweza kurusha makombora ndani ya Israel kama tulivyoshuhudia mwakajana na mwaka huu, ikaleta hasara ndogo kuliko inavyoweza kusababisha Israel ndani ya Iran, lakini bado Iran haina uwezo wa kuifanya Israel isalimu amri. Kitakachobakia ni kushambuliana tu.
Sababu ya serikali ya Lebanon kutotaka kusaidiwa na Iran au Hezbollah, unatakiwa ujue historia ya hayo makundi ya kigaidi ya Iran, na jinsi yalivyofaya dhidi ya Serikali ya Lebanon.
Setikali za Lebanon, Yemen, Saudia, UAE, Kuwait, Qatar, zote zinaiona Iran ni adui yao.
Mwaka 1979, Ayatollah alipopindua Serikali ya Iran, alitangaza kuwa wasuni siyo waislam, na washia wanatakiwa wahakikishe wanazipindua Serikali zote za ghuba ambazo zinaongozwa na wasuni.. Ayatollah ili kutekeleza huo uharamia wake, alitengeneza makundi ya washia ambayo sasa hivi yanaitwa makundi ya kigaidi, lengo kubwa ni kuwa makumdi haya yaziangushe Serikali zilizokuwa madarakani. Hezbollah kule Iran walimwua waziri mkuu wa wakati huo, Rafiq Hariri. Houthis kule Yemen walimwua Rais Ali Saleh.
Hivyo Serikali ya Lebanon ni wahanga wa makundi ya kigaidi ya Iran, ndiyo maana Lebanon haiwataki Wairan wala Hezbollah. Hata mafanikio ya Israel katika kuwaua viongozi wa kijeshi wa Hezbollah na wale Wairan wakiingia Lebanon, wanasaidiwa sana na wananchi na Serikali ya Lebanon, ambao Iran na Hezbollah, wote ni maadui dhidi ya wananchi wa Lebanon. Kinachoiumiza Lebanon ni mauaji ya wananchi wasio na hatia, kutokana na wapiganaji wa Hezbollah kujificha kwenye makundi ya raia.
Acha ujinga wewe Iran kanywea kaliogopa kombola la Jericho-3 wanajua utamu wake!!!!Wewe Kenge kweli USA ndio aliyemuomba Iran asimpige jana lakini Israel mwenyewe alikuwa anajua wazi Iran atamshambulia. Sa leo ndio itakuwa redline itabid Iran amuambue USA tulikubaliana mpaa Lebanon au niwachie nimtengeneze Israel kama yeye anajidai mwamba we tulizana tuone baada ya masaa 24 tokea wamekubalina USA na Iran ndio utapata jibu Israel itabidi wa comply au wachezee kichapa kutoka Iran.
Afu we kenge usisahu wale vibaraka wenu Rais wa Lebanon na Waziri mkuu hawataki eti Iran aingilie vita kati ya Lebanon na Israel unajua sababu gani ili Iran asishambulie Israel
Afu isisahau Iran kamuambia leo Israel Missiles zake zopo ready kwenye launcher zinasubiri green light tu kuelekea Israel kama hakucomply ni mkataba wa USA na Iran
View: https://youtu.be/fVdTeWbWGzk?si=yPIL1Vo426jMmZs7
Kwa hili jibu lako lonaonyesha tayari ushakubali kuwa Iran kanywea. Walivyoahidi kulipiza kisasi hawakujua Kuna kuombwa? Kwa hiyo kisasi sio haki tena?Kwa hiyo kenge mtu akiombwa ndio kafata amri sa we tulizana uone time itaongea kama Israel atajifanya jeuri atapokea kichapo Iran si USA
Muda huu Israel anaendelea kumwaga moto huko Lebanon na Gaza.Acha ujinga wewe Iran kanywea kaliogopa kombola la Jericho-3 wanajua utamu wake!!!!
Israel Jana ilishambulia na kumuua kamanda mwandamizi huko Daniel Iran kaufyata kujifanya hakuona hilo shambulio la Israel!,,
Iran silaha yao ni mlango wa Hormuz siyo kingineUkumbuke kuwa Iran walipiga mikwara kuwa endapo Israel itashambulia Gaza basi Iran Watajibu kwa nguvu kubwa.