Israel Yaendelea Kumwaga Moto Lebanon, Iran wamefunga Rasmi Midomo

Brother Depo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2026
Posts
593
Reaction score
797
Israel bado inaendelea kumwaga moto Lebanon, wakati huo huo ile mikwara ya Kila aina ambayo Iran imekua Ikipigwa imefutika. Iran wameingia ubaridi, hakuna tena nywi nywi nywi

Ukumbuke kuwa Iran waliapa lazima washambulie Israel endapo Israel itashambulia Lebanon, lakini Hali imekua tofauti.

Iran walisema kuwa tasitisha mazungumzo endapo Israel itaendelea na mashambulizi Lebanon, lakini Hadi sasa Iran wamenywea
Adiosamigo
100 others
Echolima1
Ritz
mdogoee
zitto junior
adriz
Screenshot_20260616-190705.png
 
Huu ni mtego na Iran amekataa kuingia, israel anataka kuhujumu makubaliano ya US-Iran maana anaona iran atafaidka zaidi na hili dili.

Raha ya israel ni kuona vita inaendelea ili kutimiza azma ya kujitanua hasa Lebanon, Palestine na Syria.

Hata Trump kamshtukia Netanyahu ndio maana kasema kuwa kashindwa kazi na ampishe Syria kurudisha amani Lebanon.

Na narudia tena humu, iwe miaka 10 au 100 ijayo ila anguko la Israel litatokana na USA siku maslahi yao yakipishana ndio utakua mwisho wa wayahudi
 
View attachment 3609164
Kesho mwaka mpya, mapumziko.
 
Iran kisha sema kipigo kinakuja we mwache Israel ajidai mwamba
 
Huu ni mtego na Iran amekataa kuingia, israel anataka kuhujumu makubaliano ya US-Iran maana anaona iran atafaidka zaidi na hili dili.

Raha ya israel ni kuona vita inaendelea ili kutimiza azma ya kujitanua hasa Lebanon, Palestine na Syria.

Hata Trump kamshtukia Netanyahu ndio maana kasema kuwa kashindwa kazi na ampishe Syria kurudisha amani Lebanon.

Na narudia tena humu, iwe miaka 10 au 100 ijayo ila anguko la Israel litatokana na USA siku maslahi yao yakipishana ndio utakua mwisho wa wayahudi
Iran kisha mpa warning leo israel akiendelea na ujinga wake atatiwa adabu labda kesho au usiku huu

View: https://youtu.be/ecOX-b31_RI?si=l8oI6l7YO2iUkBuE
 
Netanyahu ana kesi za rushwa na mauaji ya halaiki kama ICC walivyotoa arrest warranty.. Pona yake ni kubaki madarakani na ili abaki inabidi afanye ugomvi kila eneo ili abaki salama... Lazima alazimishe vita zisizo na maana... Kwa sababu Israel wakazi wengi ni brain washed wanaona its okay... Lakini kwa wenye akili nyingi kama Iran wanaona namna bora ya kumkomesha ni kumuepuka ni kutoingia kwenye vita anavyotaka...

Na sasa anataka kuharibu mpango wa amani kati ya Iran na US.. Iran wanamkomesha kwa kumuepuka...

Hii vita Iran anachofanya ni kumkomesha Netanyahu...
 
Kumkomesha Israel Kwa namna Gani sasa? Huku maswahiba zake Hezbollah Lebanon na raia wasio na hatia wakiuwawa kila kukicha pamoja na Gaza/west bank uko
 
Huu ni mtego na Iran amekataa kuingia, israel anataka kuhujumu makubaliano ya US-Iran maana anaona iran atafaidka zaidi na hili dili.

Raha ya israel ni kuona vita inaendelea ili kutimiza azma ya kujitanua hasa Lebanon, Palestine na Syria.

Hata Trump kamshtukia Netanyahu ndio maana kasema kuwa kashindwa kazi na ampishe Syria kurudisha amani Lebanon.

Na narudia tena humu, iwe miaka 10 au 100 ijayo ila anguko la Israel litatokana na USA siku maslahi yao yakipishana ndio utakua mwisho wa wayahudi
Kwa hiyo Leo Aragchi alikua anafanya comedy alivyosema wataishambulia Israel? Wairan wa mbagala hamjui hata mshike wapi
 
Netanyahu ana kesi za rushwa na mauaji ya halaiki kama ICC walivyotoa arrest warranty.. Pona yake ni kubaki madarakani na ili abaki inabidi afanye ugomvi kila eneo ili abaki salama... Lazima alazimishe vita zisizo na maana... Kwa sababu Israel wakazi wengi ni brain washed wanaona its okay... Lakini kwa wenye akili nyingi kama Iran wanaona namna bora ya kumkomesha ni kumuepuka ni kutoingia kwenye vita anavyotaka...

Na sasa anataka kuharibu mpango wa amani kati ya Iran na US.. Iran wanamkomesha kwa kumuepuka...

Hii vita Iran anachofanya ni kumkomesha Netanyahu...
Kutola kupiga mikwara mpaka kunyuti🤣

Kwa hiyo Iran wanaogopa kushambulia Israel sababu wataingia vitani?

Wazee wa mikwara debe, vitendo sifuri. Ayatollah kaliwa kichwa Hadi Leo hakuna hata la maana walilofanya, Israel wanaendelea kudunda TU.
 
Iran kisha mpa warning leo israel akiendelea na ujinga wake atatiwa adabu labda kesho au usiku huu

View: https://youtu.be/ecOX-b31_RI?si=l8oI6l7YO2iUkBuE

Huyu Israel watamla kichwa, acha aendelee kuropoka nyuma ya mic🤣🤣

Uzuri wa Israel wakilenga huwa hawakosei, ni Moja kwa Moja unawahishwa jehanamu. Larijani alikua na kiherehere kama hivi, mwisho wa siku wakamshindikia mabomu. Yupo na bikra 72 huko🤣🤣🤣
 
Huu ni mtego na Iran amekataa kuingia, israel anataka kuhujumu makubaliano ya US-Iran maana anaona iran atafaidka zaidi na hili dili.

Raha ya israel ni kuona vita inaendelea ili kutimiza azma ya kujitanua hasa Lebanon, Palestine na Syria.

Hata Trump kamshtukia Netanyahu ndio maana kasema kuwa kashindwa kazi na ampishe Syria kurudisha amani Lebanon.

Na narudia tena humu, iwe miaka 10 au 100 ijayo ila anguko la Israel litatokana na USA siku maslahi yao yakipishana ndio utakua mwisho wa wayahudi
Unasahau kitu kimoja muhimu sana, wayahudi ndio wana control US economy and good luck with your prediction
 
Mtajizungusha wee lakini ukweli utabaki palepale Israel ni Kisiki cha mpingo huko ,ashariki ya Kati na ulimwenguni kwa ujumla maana ni Taifa Teule mtake mistake mtataka tu!!
 
Unasahau kitu kimoja muhimu sana, wayahudi ndio wana control US economy and good luck with your prediction
Hivyo mkuu na hao wanaocontrol uchumi (wayahudi) wameridhia kabisa USA kuwasaidia Iran kupata USD 300 Billion? Na wameridhia US kuondoa vikwazo ili "magaidi" wauze mafuta na wawe imara kiuchumi?
 
Huu ni mtego na Iran amekataa kuingia, israel anataka kuhujumu makubaliano ya US-Iran maana anaona iran atafaidka zaidi na hili dili.

Raha ya israel ni kuona vita inaendelea ili kutimiza azma ya kujitanua hasa Lebanon, Palestine na Syria.

Hata Trump kamshtukia Netanyahu ndio maana kasema kuwa kashindwa kazi na ampishe Syria kurudisha amani Lebanon.

Na narudia tena humu, iwe miaka 10 au 100 ijayo ila anguko la Israel litatokana na USA siku maslahi yao yakipishana ndio utakua mwisho wa wayahudi
Trump ataweza kuwapinga Israel Lobby wanaofadhili kampenzi za chama chake ch Republic?
 
Hivyo mkuu na hao wanaocontrol uchumi (wayahudi) wameridhia kabisa USA kuwasaidia Iran kupata USD 300 Billion? Na wameridhia US kuondoa vikwazo ili "magaidi" wauze mafuta na wawe imara kiuchumi?
Hakuna billion 300 Iran atapata labda huwajui US
 
Trump ataweza kuwapinga Israel Lobby wanaofadhili kampenzi za chama chake ch Republic?
Anaweza kuwatosa maana hana cha kupoteza tena kumbuka uchaguzi wa midterm ni kama ameshaukatia tamaa tayari. Ingekua anatafuta re election 2028 basi angepanic na kujikomba ila kwa sababu hana cha kupoteza anaweza jitosa tu na kuwakomalia maana hii vita tayari imemharibia uchaguzi na popularity.
 
Back
Top Bottom