royal tourtz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 332
- 542
Nje ya makubaliano yao ya iran na marekani ni kwamba kama israel ataendelea na mashambulizi anayewajibishwa ni marekani na israel
Ikiwa iran itafaidika,inakuwaje Wairan waandamane kupinga mkataba huo?.Huu ni mtego na Iran amekataa kuingia, israel anataka kuhujumu makubaliano ya US-Iran maana anaona iran atafaidka zaidi na hili dili.
Raha ya israel ni kuona vita inaendelea ili kutimiza azma ya kujitanua hasa Lebanon, Palestine na Syria.
Hata Trump kamshtukia Netanyahu ndio maana kasema kuwa kashindwa kazi na ampishe Syria kurudisha amani Lebanon.
Na narudia tena humu, iwe miaka 10 au 100 ijayo ila anguko la Israel litatokana na USA siku maslahi yao yakipishana ndio utakua mwisho wa wayahudi
Wameandamana watu wangapi? Irani ina watu million 100, watu elfu 10 kuandamana ni kama kijiko cha sukari ukimwaga kwenye bahari ya hindi.Ikiwa iran itafaidika,inakuwaje Wairan waandamane kupinga mkataba huo?.
Hoja yangu haikuwa idadi ya waandamanaji. Hoja yangu ni kwanini wairan waandamane ilhali deal la Trump ni bless in disguise kwao?.Wameandamana watu wangapi? Irani ina watu million 100, watu elfu 10 kuandamana ni kama kijiko cha sukari ukimwaga kwenye bahari ya hindi.
Hata US watu wameandamana kama ambayo Israel pia kuna walioandamana kupinga na wengine kukubali that's how democracy works.
Hakuna popote kuna maandamano susbtantial, hao ni wairan wanaishi ulaya hukoo.Hoja yangu haikuwa idadi ya waandamanaji. Hoja yangu ni kwanini wairan waandamane ilhali deal la Trump ni bless in disguise kwao?.
Wairan ni miongoni mwa watu wenye IQ kubwa..imekuwaje waone mkataba wa Trump ni pigo kwa nchi yao ila wewe jamaa unaetawaliwa na Makonda uone mkataba wa Trump ni Neema kwa kwao?
Hakuna disapora wa Iran aliyendamana kupinga Trump’s Deal.Hakuna popote kuna maandamano susbtantial, hao ni wairan wanaishi ulaya hukoo.
Kuhusu deal, sio waisrael, sio wamarekani sio watanzania kwa macho ya kawaida tu Iran ndio kawin kwenye hili dili. Mfano nikikuuliza kitu gani Iran kapoteza hapo ni hakuna ila marekani ametoa concessions nyingi sana.
Mbona hamueleweki, nyie si mlikua mnasema wananchi hawaipendi serikali ya Ayatollah. Leo tena mnasema hawataki amani wanataka vita, je mnakiri kuwa wananchi wa Iran wanaipenda serikali ya Ayatollah?Hakuna disapora wa Iran aliyendamana kupinga Trump’s Deal.
Walioandamana ni wairan wanaoishi Iran uku wakimtuhumu Abbas kwa kuingia makubaliano hayo.
Nb; nikuulize tena; Utamu wa mkataba huu umeujuaje wakati wananchi wa iran wanaupinga!!.. ama ndiyo kwenye Miti hakuna wajenzi?.
Unakataa kujibu nilichokuuliza kwa Hila tu ama unakataa kujibu kwasababu huna jibu ya swali nililokuliza?.Mbona hamueleweki, nyie si mlikua mnasema wananchi hawaipendi serikali ya Ayatollah. Leo tena mnasema hawataki amani wanataka vita, je mnakiri kuwa wananchi wa Iran wanaipenda serikali ya Ayatollah?
Kweli mkataba umewachanganya, hamuamini mnachokiona
Hata haueleweki unaongea nini, nimekwambia uweke hapa hayo maandamano ya Iran mbona una ruka ruka tu.Unakataa kujibu nilichokuuliza kwa Hila tu ama unakataa kujibu kwasababu huna jibu ya swali nililokuliza?.
Mkataba unichanganye vipi wakati mimi si muiran na wanaoandamana si watu kama mimi(non Iranian),wanaondamana ni wa Iran!.
Ashumu umepewa dakika 15 Za kuwasii wairan wasiandamane.. utatumia maneno gani kuwashawishi wairan kuwa huu mkataba ni Sukari kwao but it just slightly poisone coated tu.. hivyo utamu iko ndani..hivyo watulie, wasiandamane maana kuna neema kubwa kwao kwa hii Trump’s deal?.
Nb; wakati Israel ikifanya bombardment uko Iran Mlisema” hizi ni propaganda za midea za magharibi,Iran iko poa tu” sasa hivi mnafurahia kupewa compensation , hiyo compensation mnapewa na Trump ni yaya nini wakati Iran ipo intactic kwa madai yenu?
source:%20%D8%A7%DB%8C%D8%B1%D8%A7%D9%86%20%D8%A7%DB%8C%D9%86%D8%AA%D8%B1%D9%86%D8%B4%D9%86%D8%A7%D9%84https://www.iranintl.com/en/202606158071Hata haueleweki unaongea nini, nimekwambia uweke hapa hayo maandamano ya Iran mbona una ruka ruka tu.
Hata haueleweki unaongea nini, nimekwambia uweke hapa hayo maandamano ya Iran mbona una ruka ruka tu.