Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
Kesho mwaka mpya, mapumziko.Israel bado inaendelea kumwaga moto Lebanon, wakati huo huo ile mikwara ya Kila aina ambayo Iran imekua Ikipigwa imefutika. Iran wameingia ubaridi, hakuna tena nywi nywi nywi
Ukumbuke kuwa Iran waliapa lazima washambulie Israel endapo Israel itashambulia Lebanon, lakini Hali imekua tofauti.
Iran walisema kuwa tasitisha mazungumzo endapo Israel itaendelea na mashambulizi Lebanon, lakini Hadi sasa Iran wamenywea
Adiosamigo
100 others
Echolima1
Ritz
mdogoee
zitto junior
adriz
View attachment 3609164
Iran kisha mpa warning leo israel akiendelea na ujinga wake atatiwa adabu labda kesho au usiku huuHuu ni mtego na Iran amekataa kuingia, israel anataka kuhujumu makubaliano ya US-Iran maana anaona iran atafaidka zaidi na hili dili.
Raha ya israel ni kuona vita inaendelea ili kutimiza azma ya kujitanua hasa Lebanon, Palestine na Syria.
Hata Trump kamshtukia Netanyahu ndio maana kasema kuwa kashindwa kazi na ampishe Syria kurudisha amani Lebanon.
Na narudia tena humu, iwe miaka 10 au 100 ijayo ila anguko la Israel litatokana na USA siku maslahi yao yakipishana ndio utakua mwisho wa wayahudi
Netanyahu ana kesi za rushwa na mauaji ya halaiki kama ICC walivyotoa arrest warranty.. Pona yake ni kubaki madarakani na ili abaki inabidi afanye ugomvi kila eneo ili abaki salama... Lazima alazimishe vita zisizo na maana... Kwa sababu Israel wakazi wengi ni brain washed wanaona its okay... Lakini kwa wenye akili nyingi kama Iran wanaona namna bora ya kumkomesha ni kumuepuka ni kutoingia kwenye vita anavyotaka...Raha ya israel ni kuona vita inaendelea ili kutimiza azma ya kujitanua hasa Lebanon, Palestine na Syria.
Kwa hiyo Leo Aragchi alikua anafanya comedy alivyosema wataishambulia Israel? Wairan wa mbagala hamjui hata mshike wapiHuu ni mtego na Iran amekataa kuingia, israel anataka kuhujumu makubaliano ya US-Iran maana anaona iran atafaidka zaidi na hili dili.
Raha ya israel ni kuona vita inaendelea ili kutimiza azma ya kujitanua hasa Lebanon, Palestine na Syria.
Hata Trump kamshtukia Netanyahu ndio maana kasema kuwa kashindwa kazi na ampishe Syria kurudisha amani Lebanon.
Na narudia tena humu, iwe miaka 10 au 100 ijayo ila anguko la Israel litatokana na USA siku maslahi yao yakipishana ndio utakua mwisho wa wayahudi
Wazee wa mikwara mbuzi. Ayatollah kaliwa kichwa Hadi Leo hakuna walichofanya🤣🤣Iran kisha sema kipigo kinakuja we mwache Israel ajidai mwamba
Kutola kupiga mikwara mpaka kunyuti🤣Netanyahu ana kesi za rushwa na mauaji ya halaiki kama ICC walivyotoa arrest warranty.. Pona yake ni kubaki madarakani na ili abaki inabidi afanye ugomvi kila eneo ili abaki salama... Lazima alazimishe vita zisizo na maana... Kwa sababu Israel wakazi wengi ni brain washed wanaona its okay... Lakini kwa wenye akili nyingi kama Iran wanaona namna bora ya kumkomesha ni kumuepuka ni kutoingia kwenye vita anavyotaka...
Na sasa anataka kuharibu mpango wa amani kati ya Iran na US.. Iran wanamkomesha kwa kumuepuka...
Hii vita Iran anachofanya ni kumkomesha Netanyahu...
Huyu Israel watamla kichwa, acha aendelee kuropoka nyuma ya mic🤣🤣Iran kisha mpa warning leo israel akiendelea na ujinga wake atatiwa adabu labda kesho au usiku huu
View: https://youtu.be/ecOX-b31_RI?si=l8oI6l7YO2iUkBuE
Unasahau kitu kimoja muhimu sana, wayahudi ndio wana control US economy and good luck with your predictionHuu ni mtego na Iran amekataa kuingia, israel anataka kuhujumu makubaliano ya US-Iran maana anaona iran atafaidka zaidi na hili dili.
Raha ya israel ni kuona vita inaendelea ili kutimiza azma ya kujitanua hasa Lebanon, Palestine na Syria.
Hata Trump kamshtukia Netanyahu ndio maana kasema kuwa kashindwa kazi na ampishe Syria kurudisha amani Lebanon.
Na narudia tena humu, iwe miaka 10 au 100 ijayo ila anguko la Israel litatokana na USA siku maslahi yao yakipishana ndio utakua mwisho wa wayahudi
Mtajizungusha wee lakini ukweli utabaki palepale Israel ni Kisiki cha mpingo huko ,ashariki ya Kati na ulimwenguni kwa ujumla maana ni Taifa Teule mtake mistake mtataka tu!!Huu ni mtego na Iran amekataa kuingia, israel anataka kuhujumu makubaliano ya US-Iran maana anaona iran atafaidka zaidi na hili dili.
Raha ya israel ni kuona vita inaendelea ili kutimiza azma ya kujitanua hasa Lebanon, Palestine na Syria.
Hata Trump kamshtukia Netanyahu ndio maana kasema kuwa kashindwa kazi na ampishe Syria kurudisha amani Lebanon.
Na narudia tena humu, iwe miaka 10 au 100 ijayo ila anguko la Israel litatokana na USA siku maslahi yao yakipishana ndio utakua mwisho wa wayahudi
Duh kumbe, kweli mkataba wa Trump na Iran umekuchanganya mpaka umeamua kuwatukana Israel hahahahaIsrael ni Kisimi
Hivyo mkuu na hao wanaocontrol uchumi (wayahudi) wameridhia kabisa USA kuwasaidia Iran kupata USD 300 Billion? Na wameridhia US kuondoa vikwazo ili "magaidi" wauze mafuta na wawe imara kiuchumi?Unasahau kitu kimoja muhimu sana, wayahudi ndio wana control US economy and good luck with your prediction
Trump ataweza kuwapinga Israel Lobby wanaofadhili kampenzi za chama chake ch Republic?Huu ni mtego na Iran amekataa kuingia, israel anataka kuhujumu makubaliano ya US-Iran maana anaona iran atafaidka zaidi na hili dili.
Raha ya israel ni kuona vita inaendelea ili kutimiza azma ya kujitanua hasa Lebanon, Palestine na Syria.
Hata Trump kamshtukia Netanyahu ndio maana kasema kuwa kashindwa kazi na ampishe Syria kurudisha amani Lebanon.
Na narudia tena humu, iwe miaka 10 au 100 ijayo ila anguko la Israel litatokana na USA siku maslahi yao yakipishana ndio utakua mwisho wa wayahudi
Hakuna billion 300 Iran atapata labda huwajui USHivyo mkuu na hao wanaocontrol uchumi (wayahudi) wameridhia kabisa USA kuwasaidia Iran kupata USD 300 Billion? Na wameridhia US kuondoa vikwazo ili "magaidi" wauze mafuta na wawe imara kiuchumi?
Anaweza kuwatosa maana hana cha kupoteza tena kumbuka uchaguzi wa midterm ni kama ameshaukatia tamaa tayari. Ingekua anatafuta re election 2028 basi angepanic na kujikomba ila kwa sababu hana cha kupoteza anaweza jitosa tu na kuwakomalia maana hii vita tayari imemharibia uchaguzi na popularity.Trump ataweza kuwapinga Israel Lobby wanaofadhili kampenzi za chama chake ch Republic?