Na ndio itakuwa mwisho wa USA. USA ni super power kwasababu ya Israel.Huu ni mtego na Iran amekataa kuingia, israel anataka kuhujumu makubaliano ya US-Iran maana anaona iran atafaidka zaidi na hili dili.
Raha ya israel ni kuona vita inaendelea ili kutimiza azma ya kujitanua hasa Lebanon, Palestine na Syria.
Hata Trump kamshtukia Netanyahu ndio maana kasema kuwa kashindwa kazi na ampishe Syria kurudisha amani Lebanon.
Na narudia tena humu, iwe miaka 10 au 100 ijayo ila anguko la Israel litatokana na USA siku maslahi yao yakipishana ndio utakua mwisho wa wayahudi
US Ipi hiyo mbona Obama alitoa mabilioni na bado Iran ikaendelea kutengeneza enriched uranium.Hakuna billion 300 Iran atapata labda huwajui US
Hahahah acha utani mkuu, yaani kale kanchi size ya kigamboni ndio kamfanye USA kuwa super power alafu kenyewe kashindwe kuwa super power mpaka kaombe msaada kwa US hiyo hiyo?Na ndio itakuwa mwisho wa USA. USA ni super power kwasababu ya Israel.
Hiyo hiyo size ya kigamboni Allah na mtume wake Muhammad wanaigopa balaa licha ya Allah kuwaumba😆😆😆😆Hahahah acha utani mkuu, yaani kale kanchi size ya kigamboni ndio kamfanye USA kuwa super power alafu kenyewe kashindwe kuwa super power mpaka kaombe msaada kwa US hiyo hiyo?
Hao si lolote si chochote, embu niambie wangepigwa lock down kama waliyopigwa Iran je wangetoboa hata wiki hao Israel?
Na hili ndio tatizo lenu mada yoyote ya Israel basi inageuka ya kidini. Mimi siku zote nawapinga wazayuni licha ya kuwa mkristo hata Mandela na Nyerere waliipinga Israel sielewi kwanini kila mtu anayekosoa Israel basi anaonekana muislam!!
View attachment 3610719
Bwahaha 😄 🤣
Obama hakuwapa pesa Iran, ilikuwa ni pesa yao iliyokuwa under sanctions kwa miaka mingi under US, na Trump will never give Iranians any money, ni kibali cha kuuza mafuta tena kwa quarters 😁😂,beberu hajawahi kumpa mtu pesa ya bureUS Ipi hiyo mbona Obama alitoa mabilioni na bado Iran ikaendelea kutengeneza enriched uranium.
Hujui US pia inatoa mabilioni kwa Taliban in fact yalikua yanasafirishwa physically kwenye ndege.
Between the Taliban takeover of Afghanistan in August 2021 and January 2024, the United Nations purchased $2.9B of U.S. currency for aid use in Afghanistan. This U.S. currency was purchased using funds from donor governments, $2.6B of which came from the United States.
Source: U.N. Has Flown $2.9B in Cash to Afghanistan Since Taliban Seized Control
US hiyo hiyo imeshatoa mabilioni ya dollar kwa Syria ya Al Sharaa ambayo sio tu alikua mwenyekiti wa Al qaeda ila pia makundi mengine ya jihad kama HTS na Al Nassra front.
https://sy.usembassy.gov/united-states-announces-additional-humanitarian-assistance-for-syria-2/#:~:text=The United States remains the,of the 13-year crisis.
So usiwafanye US ni malaika.
Vipi na taliban hawakuwapa? Vipi na Rais Al sharaa wa Al Qaeda hakupewa? Hao wameshatoa pesa nyingi tu kwa "magaidi" usiwafanye ni wajanja sana.Obama hakuwapa pesa Iran, ilikuwa ni pesa yao iliyokuwa under sanctions kwa miaka mingi under US, na Trump will never give Iranians any money, ni kibali cha kuuza mafuta tena kwa quarters 😁😂,beberu hajawahi kumpa mtu pesa ya bure
Inaonekana huelewi beberu wanavyo operate, ukisikia Taleban, Ukraine au Syria wamepewa billions, angalia details vizuri ingawaje mara nyingi hawatoi, mara nyingi ni silaha umeuziwa kwa mkopo tena zile inferior au mkopo au chakula kutoka kwa wakulima wao, na kila kitu kinakuwa converted into dollar value and no details 😁Vipi na taliban hawakuwapa? Vipi na Rais Al sharaa wa Al Qaeda hakupewa? Hao wameshatoa pesa nyingi tu kwa "magaidi" usiwafanye ni wajanja sana.
Sio kweli, taliban wanapelekewa hela tena cash kwenye mandege ya UN mbona hata uki Google tu utakutana na hiyo taarifa. Una overestimate sana akili za wazunguInaonekana huelewi beberu wanavyo operate, ukisikia Taleban, Ukraine au Syria wamepewa billions, angalia details vizuri ingawaje mara nyingi hawatoi, mara nyingi ni silaha umeuziwa kwa mkopo tena zile inferior au mkopo au chakula kutoka kwa wakulima wao, na kila kitu kinakuwa converted into dollar value and no details 😁
Wewe ng'weng'we usijifanye ni mcha-mbuzi wa siasa za wazungu huku ukiwa bonyokwaInaonekana huelewi beberu wanavyo operate, ukisikia Taleban, Ukraine au Syria wamepewa billions, angalia details vizuri ingawaje mara nyingi hawatoi, mara nyingi ni silaha umeuziwa kwa mkopo tena zile inferior au mkopo au chakula kutoka kwa wakulima wao, na kila kitu kinakuwa converted into dollar value and no details 😁
Makelele yote ya vita na Iran kayaendesha trump, halafu huyo vance alieteseka sana kufuata maamrisho ya trump kujadiliana ndio leo hii aje kuosha suraVance says U.S. isn’t giving Iran ‘a cent’ as he defends Trump peace deal
Huna facts, hisia tuu na ushabiki, na sijawahi ona mwanaume anajiita makebo 😁, utakuwa rizki weweMakelele yote ya vita na Iran kayaendesha trump, halafu huyo vance alieteseka sana kufuata maamrisho ya trump kujadiliana ndio leo hii aje kuosha sura
Wewe ni mweupe sana kwenye saikolojia za kimataifa
Hata tv zao wenyewe zinashangaa jinsi trump alivyotemeshwa bungo halafu wewe wa kanisa la ufufufo na uzima ndio unajifanya mtoa taarifa
Huna facts, hisia tuu na ushabiki, na sijawahi ona mwanaume anajiita makebo 😁, utakuwa rizki wewe
Wazungu nawajua kuliko waswahili na wengi wapuuzi kama wewe, huna hela sema tukusaidieWewe ***** kuna fact umeleta zaidi ya umavimavi wa kujifanya unajua wazungu wakati unaiiishi bonyokwa
Pungalasa kama haipiti temea mate