Israel yafanya mambo ya aibu na uwendawazimu.Yatengwa na mataifa karibu yote duniani

Kila nikisoma hili azimio la dini yenu natamani mpigwe sana nyie watu

 
Afrika ina laana mkuu sasa lini Israel ikawa na shida na afrika
 
Halafu hizo ni propaganda za vita kuelekea uvamizi wa Rafah, sasa mojawapo wa kazi za mossad,M16 na CIA ni ku set global agenda kwenye kitu fulani mahususi. Ili watawala kwenye nchi husika wasipate madhara kisiasa mfano( Biden anaenda kwenye uchaguzi). Huku lawama na kelele za athari ( madhara) zinapigwa dunia nzima kama Rafar itavamiwa kijeshi kulingana na population ilivyo. Lakini ili Israel iwe imefikia malengo yake ni lazima kuivamia( kui clear) Rafah ambako kwa sasa ndo sehemu pekee majeshi ya Israel hayajapita kwenye operation ya miguu( nyumba kwa nyumba) HUWEZI UKAVAMIA SEHEMU KUMSAKA ADUI KWENYE JENGO UKAUWA BAADHI YA MAADUI HALAFU UKAONDOKA KWENYE HILO JENGO HUKU UKIACHA CHUMBA KIMOJA KIMEFUNGWA( HUKUINGIA KABSA) NA UKAITA OPERATION YAKO IMEFANIKIWA. ANACHOFANYA MAREKANI NI KUPIMA UPEPO TU WA KELELE ZA DUNIA....! KAMA AMBAVYO SISI KELELE ZA DP WORLD ZILIPOZIDI NA MDA WA UTEKELEZAJI WA MKATABA UMEWADIA...WATAWALA WAKAITISHA NEC YA CCM FASTER FASTER NA KUIBUKA NA JINA LA MAKONDA KWENYE TEUZI ILI KUBADILI AGENDA KWENYE TAIFA HUKU MIKATABA IKISAINIWA IKULU.
 

Mmebaki kulia lia,chokozeni tena myahudi.

USA ni dawa ya magaidi ya kidini ila Mayahudi ni Tiba kamili.
 
Hao wazungu wa ulaya eti ndii mazayuni Hitler aliona mbali Sana tuliaminishwa Hitler ni mbaya kumbe history hatukuijua hao walitakiwa watafutiwe dunia yao labda mwezini lakini duniani hamna wakukaa nao

Nendani kawachokozeni tena mje kulialia humu,
 
Dunia ilivyogawanyika utagundua wenye dini na wasio..
 
Kwani wakati Israel wanatangaza vita na HAMAS si walisema wanaenda kufanya jambo ambalo hata Biblia haijawahi kulisimulia? Kisha wakasema kitakachotokea Gaza kitasimuliwa vizazi na vizazi? Sasa unashangaa nini na wakati wao wanasema wanachotaka kufanya Gaza hata nusu bado? Na hiyo ndio inaitwa "Mwana kulitafuta, Mwana kulipata!"
 
Chizi hachokozwi! Atakupiga popote pale bila kujali madhara Gani yatakupata. Wakati mnawachokoza mlitegemea Nini???
 
Mtu ambaye ni chizi hata watu nao hawamuogopa.Wanamkimbia tu kumtafutia mbinu za kummaliza nguvu
 
Unajikuta na wewe muisrael sasa nenda kaungane nao uone wanavyokubagua!!!
 
Ina maana hao waarabu hawajapita dar es salaam hawajapita tanga hawajapita visiwani zanzibar na mafia na kama walipita vp nako ni jangwa au?
Tanga unaionaje mzee, mtwanra na pwani yote, huoni kuna laana? Dar es salaam kama sio watu fulani ingekuwa kama ilivyo bagamoyo hadi kesho.
 
Hii vita imeambatana na Unyama mkubwa mno.


Wapalestina wanateseka mno na wenye dunia wamefumbia macho hili, dunia imejaa unafiki hii.
 
Hii vita imeambatana na Unyama mkubwa mno.


Wapalestina wanateseka mno na wenye dunia wamefumbia macho hili, dunia imejaa unafiki hii.
Malipo kwa hao wenye uwezo wa kuzuia na wamekaa kimya yataanza hapa hapa duniani
 
Nyinyi Mujahideen mtalalama sana lakini Kuna wenzenu wameanzaa Kuona ukweli kuwa Israel inatenda haki na haibagui,isipokuwa wale Mujahideen tu. Soma hii twitte

View: https://x.com/HananyaNaftali/status/1760786983016710578?s=20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…