Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afrika ina laana mkuu sasa lini Israel ikawa na shida na afrikahilo haliwatishi, wao kutengwa hawaogopi, wanapigania uhai wao. hivi wewe utatishika nini unapotengwa na mtu asiyekuwa na akili? mataifa yote yaliyojifanya kumpinga Israel hayajawapinga Hamas wala kulaani kile hamas wamefanya, sasa watu kama hao impartial na biased kiasi hicho wakikutenga utastuka? si unaendelea na maisha yako watajijua wenyewe huko? hadi mambumbumbu ya kiafrika yamejifanya yanamtenga Israel ambaye hata hajawahi kuwahitaji kana kwamba hawezi kuishi bila wao.
Halafu hizo ni propaganda za vita kuelekea uvamizi wa Rafah, sasa mojawapo wa kazi za mossad,M16 na CIA ni ku set global agenda kwenye kitu fulani mahususi. Ili watawala kwenye nchi husika wasipate madhara kisiasa mfano( Biden anaenda kwenye uchaguzi). Huku lawama na kelele za athari ( madhara) zinapigwa dunia nzima kama Rafar itavamiwa kijeshi kulingana na population ilivyo. Lakini ili Israel iwe imefikia malengo yake ni lazima kuivamia( kui clear) Rafah ambako kwa sasa ndo sehemu pekee majeshi ya Israel hayajapita kwenye operation ya miguu( nyumba kwa nyumba) HUWEZI UKAVAMIA SEHEMU KUMSAKA ADUI KWENYE JENGO UKAUWA BAADHI YA MAADUI HALAFU UKAONDOKA KWENYE HILO JENGO HUKU UKIACHA CHUMBA KIMOJA KIMEFUNGWA( HUKUINGIA KABSA) NA UKAITA OPERATION YAKO IMEFANIKIWA. ANACHOFANYA MAREKANI NI KUPIMA UPEPO TU WA KELELE ZA DUNIA....! KAMA AMBAVYO SISI KELELE ZA DP WORLD ZILIPOZIDI NA MDA WA UTEKELEZAJI WA MKATABA UMEWADIA...WATAWALA WAKAITISHA NEC YA CCM FASTER FASTER NA KUIBUKA NA JINA LA MAKONDA KWENYE TEUZI ILI KUBADILI AGENDA KWENYE TAIFA HUKU MIKATABA IKISAINIWA IKULU.hilo haliwatishi, wao kutengwa hawaogopi, wanapigania uhai wao. hivi wewe utatishika nini unapotengwa na mtu asiyekuwa na akili? mataifa yote yaliyojifanya kumpinga Israel hayajawapinga Hamas wala kulaani kile hamas wamefanya, sasa watu kama hao impartial na biased kiasi hicho wakikutenga utastuka? si unaendelea na maisha yako watajijua wenyewe huko? hadi mambumbumbu ya kiafrika yamejifanya yanamtenga Israel ambaye hata hajawahi kuwahitaji kana kwamba hawezi kuishi bila wao.
Marekani na Uiengereza pekee ndio wako mguu njiani mguu majanini kuhusu matendo ya Israel katika vita vyake Gaza.
Mwanamfalme wa Uiengereza .William ataka vita visitishwe. Rais Biden amepunguza sana urafiki na Benjamin Netanyahu japo nchi yake imepiga kura ya veta lakini haina imani na Israel.
Mataifa ya Ufaransa,Italy,Spain,China na Urusi yamejitokeza wazi wazi kutaka vita visitishwe na kuundwa kwa taifa la Palestina haraka
Mchanganyiko wa uungwaji mkono kwa wapalestina kutoka pande zote za mashariki na magharibi ni kutokana na aina ya vita inavyopigana na Hamas.Ni vita ambavyo haviheshimu chochote kati ya kanuni za kimataifa wala ubinadamu.
Wale wenye ubinadamu katika nyoyo zao japokuwa hawawaungi mkono Hamas lakini wameingiwa na huruma kwa wale wanaoumizwa na Israel kwa kiwango ambacho hakina maelezo.
Miongoni mwa vitu ambavyo si vya kawaida kufanywa na majeshi yote yanapopigana na adui zao ni pamoja na kuua kwa makusudi walemavu, wanawake na watoto wao.Mambo mengine ni kubomoa mapipa ya maji na kuzuia chakula kuwafikia watu. Ukatili mwengine ni kufukua makaburi makongwe sana ya miaka mingi na kuondoka na mifupa ikisema inatafuta mateka.
Mengine ni kubomoa hospitali karibu zote kwa kisingizio hicho hicho kwama kuna Hamas wamejificha. Katika hospitali hizo umeme umekuwa ukikatwa hata unaotumika kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi na kupelelekea vifo vya wagonjwa hao.
Kitendo cha kikatili cha karibuni kabisa ni kile cha kwanza kuzuia msafara wa vyakula kuwafikia watu wanaokaribia kufa kwa njaa kaskazini ya Gaza na pia kuwashambulia watu waliokuwa wakisubiri kupokea mgao wa chakula maeneo mengine ya Gaza.
Picha ya watoto waliokuwa wakiokota unga uliomwagika ardhini na kujaza mifukoni mwa suruali zao ndiyo imewaliza watu wengi na kuzidi kujitenga na ukatili wa Israel.
Children collect spilled flour from the ground after Gaza aid chaos
Hao wazungu wa ulaya eti ndii mazayuni Hitler aliona mbali Sana tuliaminishwa Hitler ni mbaya kumbe history hatukuijua hao walitakiwa watafutiwe dunia yao labda mwezini lakini duniani hamna wakukaa nao
Wanakula matunda ya 07 OctobaUle hauwezi kuitwa ugaidi.
Ugaidi halisi ni huu unaofanywa na Israel na wafadhili wake.
Kwani wakati Israel wanatangaza vita na HAMAS si walisema wanaenda kufanya jambo ambalo hata Biblia haijawahi kulisimulia? Kisha wakasema kitakachotokea Gaza kitasimuliwa vizazi na vizazi? Sasa unashangaa nini na wakati wao wanasema wanachotaka kufanya Gaza hata nusu bado? Na hiyo ndio inaitwa "Mwana kulitafuta, Mwana kulipata!"Marekani na Uiengereza pekee ndio wako mguu njiani mguu majanini kuhusu matendo ya Israel katika vita vyake Gaza.
Mwanamfalme wa Uiengereza. William ataka vita visitishwe. Rais Biden amepunguza sana urafiki na Benjamin Netanyahu japo nchi yake imepiga kura ya veta lakini haina imani na Israel.
Mataifa ya Ufaransa, Italy, Spain, China na Urusi yamejitokeza wazi wazi kutaka vita visitishwe na kuundwa kwa taifa la Palestina haraka.
Mchanganyiko wa uungwaji mkono kwa wapalestina kutoka pande zote za mashariki na magharibi ni kutokana na aina ya vita inavyopigana na Hamas. Ni vita ambavyo haviheshimu chochote kati ya kanuni za kimataifa wala ubinadamu.
Wale wenye ubinadamu katika nyoyo zao japokuwa hawawaungi mkono Hamas lakini wameingiwa na huruma kwa wale wanaoumizwa na Israel kwa kiwango ambacho hakina maelezo.
Miongoni mwa vitu ambavyo si vya kawaida kufanywa na majeshi yote yanapopigana na adui zao ni pamoja na kuua kwa makusudi walemavu, wanawake na watoto wao. Mambo mengine ni kubomoa mapipa ya maji na kuzuia chakula kuwafikia watu. Ukatili mwengine ni kufukua makaburi makongwe sana ya miaka mingi na kuondoka na mifupa ikisema inatafuta mateka.
Mengine ni kubomoa hospitali karibu zote kwa kisingizio hicho hicho kwama kuna Hamas wamejificha. Katika hospitali hizo umeme umekuwa ukikatwa hata unaotumika kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi na kupelelekea vifo vya wagonjwa hao.
Kitendo cha kikatili cha karibuni kabisa ni kile cha kwanza kuzuia msafara wa vyakula kuwafikia watu wanaokaribia kufa kwa njaa kaskazini ya Gaza na pia kuwashambulia watu waliokuwa wakisubiri kupokea mgao wa chakula maeneo mengine ya Gaza.
Picha ya watoto waliokuwa wakiokota unga uliomwagika ardhini na kujaza mifukoni mwa suruali zao ndiyo imewaliza watu wengi na kuzidi kujitenga na ukatili wa Israel.
Children collect spilled flour from the ground after Gaza aid chaos
Dunia ilivyogawanyika utagundua wenye dini na wasio..
Chizi hachokozwi! Atakupiga popote pale bila kujali madhara Gani yatakupata. Wakati mnawachokoza mlitegemea Nini???Marekani na Uiengereza pekee ndio wako mguu njiani mguu majanini kuhusu matendo ya Israel katika vita vyake Gaza.
Mwanamfalme wa Uiengereza. William ataka vita visitishwe. Rais Biden amepunguza sana urafiki na Benjamin Netanyahu japo nchi yake imepiga kura ya veta lakini haina imani na Israel.
Mataifa ya Ufaransa, Italy, Spain, China na Urusi yamejitokeza wazi wazi kutaka vita visitishwe na kuundwa kwa taifa la Palestina haraka.
Mchanganyiko wa uungwaji mkono kwa wapalestina kutoka pande zote za mashariki na magharibi ni kutokana na aina ya vita inavyopigana na Hamas. Ni vita ambavyo haviheshimu chochote kati ya kanuni za kimataifa wala ubinadamu.
Wale wenye ubinadamu katika nyoyo zao japokuwa hawawaungi mkono Hamas lakini wameingiwa na huruma kwa wale wanaoumizwa na Israel kwa kiwango ambacho hakina maelezo.
Miongoni mwa vitu ambavyo si vya kawaida kufanywa na majeshi yote yanapopigana na adui zao ni pamoja na kuua kwa makusudi walemavu, wanawake na watoto wao. Mambo mengine ni kubomoa mapipa ya maji na kuzuia chakula kuwafikia watu. Ukatili mwengine ni kufukua makaburi makongwe sana ya miaka mingi na kuondoka na mifupa ikisema inatafuta mateka.
Mengine ni kubomoa hospitali karibu zote kwa kisingizio hicho hicho kwama kuna Hamas wamejificha. Katika hospitali hizo umeme umekuwa ukikatwa hata unaotumika kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi na kupelelekea vifo vya wagonjwa hao.
Kitendo cha kikatili cha karibuni kabisa ni kile cha kwanza kuzuia msafara wa vyakula kuwafikia watu wanaokaribia kufa kwa njaa kaskazini ya Gaza na pia kuwashambulia watu waliokuwa wakisubiri kupokea mgao wa chakula maeneo mengine ya Gaza.
Picha ya watoto waliokuwa wakiokota unga uliomwagika ardhini na kujaza mifukoni mwa suruali zao ndiyo imewaliza watu wengi na kuzidi kujitenga na ukatili wa Israel.
Children collect spilled flour from the ground after Gaza aid chaos
Unajikuta na wewe muisrael sasa nenda kaungane nao uone wanavyokubagua!!!hilo haliwatishi, wao kutengwa hawaogopi, wanapigania uhai wao. hivi wewe utatishika nini unapotengwa na mtu asiyekuwa na akili? mataifa yote yaliyojifanya kumpinga Israel hayajawapinga Hamas wala kulaani kile hamas wamefanya, sasa watu kama hao impartial na biased kiasi hicho wakikutenga utastuka?
Si unaendelea na maisha yako watajijua wenyewe huko? hadi mambumbumbu ya kiafrika yamejifanya yanamtenga Israel ambaye hata hajawahi kuwahitaji kana kwamba hawezi kuishi bila wao.
Tanga unaionaje mzee, mtwanra na pwani yote, huoni kuna laana? Dar es salaam kama sio watu fulani ingekuwa kama ilivyo bagamoyo hadi kesho.Ina maana hao waarabu hawajapita dar es salaam hawajapita tanga hawajapita visiwani zanzibar na mafia na kama walipita vp nako ni jangwa au?
Hii vita imeambatana na Unyama mkubwa mno.Marekani na Uiengereza pekee ndio wako mguu njiani mguu majanini kuhusu matendo ya Israel katika vita vyake Gaza.
Mwanamfalme wa Uiengereza. William ataka vita visitishwe. Rais Biden amepunguza sana urafiki na Benjamin Netanyahu japo nchi yake imepiga kura ya veta lakini haina imani na Israel.
Mataifa ya Ufaransa, Italy, Spain, China na Urusi yamejitokeza wazi wazi kutaka vita visitishwe na kuundwa kwa taifa la Palestina haraka.
Mchanganyiko wa uungwaji mkono kwa wapalestina kutoka pande zote za mashariki na magharibi ni kutokana na aina ya vita inavyopigana na Hamas. Ni vita ambavyo haviheshimu chochote kati ya kanuni za kimataifa wala ubinadamu.
Wale wenye ubinadamu katika nyoyo zao japokuwa hawawaungi mkono Hamas lakini wameingiwa na huruma kwa wale wanaoumizwa na Israel kwa kiwango ambacho hakina maelezo.
Miongoni mwa vitu ambavyo si vya kawaida kufanywa na majeshi yote yanapopigana na adui zao ni pamoja na kuua kwa makusudi walemavu, wanawake na watoto wao. Mambo mengine ni kubomoa mapipa ya maji na kuzuia chakula kuwafikia watu. Ukatili mwengine ni kufukua makaburi makongwe sana ya miaka mingi na kuondoka na mifupa ikisema inatafuta mateka.
Mengine ni kubomoa hospitali karibu zote kwa kisingizio hicho hicho kwama kuna Hamas wamejificha. Katika hospitali hizo umeme umekuwa ukikatwa hata unaotumika kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi na kupelelekea vifo vya wagonjwa hao.
Kitendo cha kikatili cha karibuni kabisa ni kile cha kwanza kuzuia msafara wa vyakula kuwafikia watu wanaokaribia kufa kwa njaa kaskazini ya Gaza na pia kuwashambulia watu waliokuwa wakisubiri kupokea mgao wa chakula maeneo mengine ya Gaza.
Picha ya watoto waliokuwa wakiokota unga uliomwagika ardhini na kujaza mifukoni mwa suruali zao ndiyo imewaliza watu wengi na kuzidi kujitenga na ukatili wa Israel.
Children collect spilled flour from the ground after Gaza aid chaos
Huwa unaisikiliza akili yako kwanza au linalokuijia ndilo unaandika?Kundi la ISIS na ALqaeda yalimalizwa kwa vile ni makundi hewa na yalikuwa yakiendeshwa na hao hao Marekani.
Wanapaswa kuteseka ili wakatae kukaa na wahuni.Hii vita imeambatana na Unyama mkubwa mno.
Wapalestina wanateseka mno na wenye dunia wamefumbia macho hili, dunia imejaa unafiki hii.
Nyinyi Mujahideen mtalalama sana lakini Kuna wenzenu wameanzaa Kuona ukweli kuwa Israel inatenda haki na haibagui,isipokuwa wale Mujahideen tu. Soma hii twitteMarekani na Uiengereza pekee ndio wako mguu njiani mguu majanini kuhusu matendo ya Israel katika vita vyake Gaza.
Mwanamfalme wa Uiengereza. William ataka vita visitishwe. Rais Biden amepunguza sana urafiki na Benjamin Netanyahu japo nchi yake imepiga kura ya veta lakini haina imani na Israel.
Mataifa ya Ufaransa, Italy, Spain, China na Urusi yamejitokeza wazi wazi kutaka vita visitishwe na kuundwa kwa taifa la Palestina haraka.
Mchanganyiko wa uungwaji mkono kwa wapalestina kutoka pande zote za mashariki na magharibi ni kutokana na aina ya vita inavyopigana na Hamas. Ni vita ambavyo haviheshimu chochote kati ya kanuni za kimataifa wala ubinadamu.
Wale wenye ubinadamu katika nyoyo zao japokuwa hawawaungi mkono Hamas lakini wameingiwa na huruma kwa wale wanaoumizwa na Israel kwa kiwango ambacho hakina maelezo.
Miongoni mwa vitu ambavyo si vya kawaida kufanywa na majeshi yote yanapopigana na adui zao ni pamoja na kuua kwa makusudi walemavu, wanawake na watoto wao. Mambo mengine ni kubomoa mapipa ya maji na kuzuia chakula kuwafikia watu. Ukatili mwengine ni kufukua makaburi makongwe sana ya miaka mingi na kuondoka na mifupa ikisema inatafuta mateka.
Mengine ni kubomoa hospitali karibu zote kwa kisingizio hicho hicho kwama kuna Hamas wamejificha. Katika hospitali hizo umeme umekuwa ukikatwa hata unaotumika kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi na kupelelekea vifo vya wagonjwa hao.
Kitendo cha kikatili cha karibuni kabisa ni kile cha kwanza kuzuia msafara wa vyakula kuwafikia watu wanaokaribia kufa kwa njaa kaskazini ya Gaza na pia kuwashambulia watu waliokuwa wakisubiri kupokea mgao wa chakula maeneo mengine ya Gaza.
Picha ya watoto waliokuwa wakiokota unga uliomwagika ardhini na kujaza mifukoni mwa suruali zao ndiyo imewaliza watu wengi na kuzidi kujitenga na ukatili wa Israel.
Children collect spilled flour from the ground after Gaza aid chaos
Nyinyi Mujahideen mtalalama sana lakini Kuna wenzenu wameanzaa Kuona ukweli kuwa Israel inatenda haki na haibagui,isipokuwa wale Mujahideen tu. Soma hii twitte
View: https://x.com/HananyaNaftali/status/1760786983016710578?s=20