Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

Lebanese Army ,ndio jeshi hao wahuni ni magaidi
Exactly. Hezbollah wanautumia "Unyonge/Udhaifu" wa Lebanese Army kuiendesha (kuikikimisha) Serikali ya Lebanon kimabavu. Ila kiukweli Hezbollah ni magaidi yaliyojificha chini ya mwavuli wa Serikali ya Nchi ya Lebanon.
 
Icj,icc wameona yote hayo ni bongo movie,wanamtaka netanyahu na wenzie mahakamani
 
Nimeelewa kwa nini Watanzania wengi wanashabikia vita.

Ni hulka ya kibaguzo na udini uliojikita kwenye fahamu zao. Ndiyo maana hata huu utekaji na uuaji unaofanywa na serikali dhidi ya raia hawajishughulishi wala kukemea.

Dunia ina mashetani wemgi kuliko watu
 
Hawa Hezbullah mafala sana, wao Israel wanau Raia, nyie mnapiga askari pigeni Raia wao pia uwaone kama atagusa tena Lebanon. Hata uislam unakuambia anaye kushambulia mshambulie vile vile.
Israel anataka kukuta extended arms zote za Iran.
 
Nashukuru kwa kunipa ufafanuzi mujarab ila nikuulize kidogo ; Je hawa rifiki zangu waislamu wa hapa Rau Madukani mbona nao wanavaa vipedo? si itakuwa nao wamekaririshwa Mila za Uarabuni?
 
Lebanon ilikuwa nchi ya Kikristu na bora kabisa, iliharibika ilipokaribisha wakimbizi wengi wakitokea Palestina.
West wanaua wakristo wa Lebanon miaka na Miaka, na wapalestina wengi wanaoenda Lebanon ni Wakristo madhehebu moja.

Badala ya wewe kuwasemea hao wakristo wa Lebanon kwanini usisikilize wao wanasema nini na Adui yao ni nani?
 
Lebanon ilikuwa nchi ya Kikristu na bora kabisa, iliharibika ilipokaribisha wakimbizi wengi wakitokea Palestina.
Na matokeo yake ndo vikazaliwa vikundi vingi vya kigaidi kipinga Serikali iliyokuwa madarakani; na kundi la Hezbollah likachukua umaarufu zaidi.
 
Nashukuru kwa kunipa ufafanuzi mujarab ila nikuulize kidogo ; Je hawa rifiki zangu waislamu wa hapa Rau Madukani mbona nao wanavaa vipedo? si itakuwa nao wamekaririshwa Mila za Uarabuni?
Vipedo si Mila za Uarabuni ni Mila za Mitume

Hii Royal family ya saudi



Unaona kanzu zao?

Wote Yesu na Mtume wa Waisilamu wamekata kitu kimoja.

Wakati wa Yesu matajiri walikua wakivaa hadi zinaburuzika Chini Yesu akasema

He wore a tunic (chitōn), which for men normally finished slightly below the knees, not at the ankles. Among men, only the very rich wore long tunics. Indeed, Jesus specifically identifies men who dress in long tunics (“stolai”, Mark 12:38) as wrongly receiving honour from people who are impressed by their fine attire, when in fact they unjustly devour widows’ houses.

Same Kwa mtume wa waisilamu aliasa watu kuvaa nguo zinazoburuzika kwa kiburi.

Hivyo hao wanaovaa nguo fupi si mtindo wa waarabu bali wa mitume na mafundisho yao, waarabu wengi majoho yao yanaburuzika chini.
 
Hawa Hezbullah mafala sana, wao Israel wanau Raia, nyie mnapiga askari pigeni Raia wao pia uwaone kama atagusa tena Lebanon. Hata uislam unakuambia anaye kushambulia mshambulie vile vile.
Hahaha Leo unawaita Mafala wakati waliua watoto wa kiarabu wakicheza soccer? na Nyumba za raia wamezilipua Israel aajua mapema kabla hawajarusha maokomboa so huwaambia raia waingie kwenye safe place... hujasia jana vifo vya 30 Cows zizini?

Kuna Nyumba jana imeisha yote raia walikuwa kwenye safe hause wanatoka hamna nyumba... furahi basi Nyumba imelipuliwa maana ndio mnapenda majanga kwa Israel ila Mjue mnalaniwa nyie na majanga yanakuwa mengi kwenu..

Tatizo lenu mnajau kabisa hamuwezi kuwashinda Israel why mnataka kupigana? and vita anavyotaka Hezbollah anapata faida gani ? na vita ya Gaza inamhusu nini?

And Nikupe Pole vipi Sinwar anaendeleaje maana uvimu umezuka kuwa kadedishwa na bomu so wanahangaika kuchambua nyama kujua kama ni yeye au lah.. maana hata yule aliyekuwa akimpelekea news hapatikani hewani au charge ya Beeper imeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…