Tatizo Lugha
View attachment 3104602
Unahisi Mwarabu Mkristo hasemi Allahu Akbar? Hata Tanzania Makanisa kibao wanasema Allahu Akbar sema tu kwa Lugha nyengine.
Na hata kabla ya Mtume wetu Yesu alivaa hivyo mnvyoita Vipedo pia Musa na mtume wengine
View attachment 3104611
Hilo ni vazi la mitume,
Na mpaka leo ni kWaida kuwa kuta wamevaa Kabisani the so called vipedo
View attachment 3104631
Ila sababu ya ushamba wenu kutojua dini yenu na kukaririshwa Mila za Ulaya kama ndio Ukristo munashangaa mkiona mtu kavaa kanzu fupi ambalo ni Vazi la Kibiblia.