Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

Eti viazi la nitume 😂😂🙃 akili mlipeleka wapi
 
Kweli jana Hezbollah walijitutumua ila wamekuta Israel wamejipanga. Israel wamewazidi akili mbali.

1. Nchi ina mfumo wa ving'ora; rocket zinapokuja ving'ora vinalia wananchi wanachukua tahadhari/hatua. Hii akili ya juu kuwalinda raia.

2. Hapo rocket nyingi zimedunguliwa na Iron dome. Zingefika zote hali ingekuwa mbaya.

Vipi kule Lebanon, Hezbollah walichukua tahadhari gani kuwalinda watu wao dhidi ya mashambulizi ya Israel? Kama si Israel kuona huruma na kuwatumia sms wahame hali ingekuwa mbaya zaidi. Hezbollah na Lebanon wako "uchi" kabisa
 
Utakua mgeni wa Hizbollah anazipigaje iron Dome, kila siku zinafanywa hivyo hivyo, vinatangulizwa virocket mpaka Battery ziishe halafu makombora yanafuatia, sio mara ya kwanza wala ya pili Hezbollah kubypass iron dome.
 
Hizbolla wamelitafuta wamelipata hatutaki kusikia play for Lebanon
 
Hezbollah wamepigwa within hours 🤣 🤣

Wavaa kobazi walikuwa wanaamini Hawa wanamgambo wanaweza kupigana vita kamili na Israel
 
Intelijensia yetu inaonyesha siraha zimefichwa maeneo hayohayo unayosema ni makazi ya raia. Hizi ndo mbinu za kivita mzee so Kaa Kwa kutulia, watu hawapigi kizembekizembe. Unaweza kushambulia ikulu ukadhani kwamba umefanikiwa kumuua rais kwa kuamini kwamba Rais hukaa ikulu kumbe hayupo hapo.
 
Akili zingine we hujui mpaa mda hu Hezbullah anapiga Military target tu sio wale mafala we unasema wanawaonea huruma 😄 Hizo nyumba alizo piga hakuna hata silaha walizo kuta hio ni huruma au kuwaonea watu sababu America anakupa silaha za bure na ndege zake zinapiga pia hapo hapo. Waonyeshe silaha wanapiga majumba mengine ya gas cylinder za kupikia ya kilipuka wanasema missiles za Hezbullah 😄

Israel kumshinda Hezbullah ni ndoto kumbuka Hezbullah hajanza lenga majumba ya raia na silaha zake kali bado hajanza kuzitumia.
 
Lebanon ndio Nchi ya kiarabu yenye wakristo wengi kama hufahamu. Endelea kujifajiri Israel wanaua "kobazi"
Hizbolani kobazi,wakristo wengi wameikimbia hiyo nchi na kuishi kaskazini milimani,huko kusini wamejaa kobazi washenzi
 
Hakuna cha intelijensia wala nini.
Siku zote Israel huwa inaleta justification ya kushambulia raia ili ku install fear kwa wapiganaji husika.
Labda kama MTOTO WA JUZI hufahamu kitu kuhusu hawa jamaa.
Nikupe homework ndogo tu hapo chini.
 
Israeli ni makatili sana, wanauwa watu na watoto wasio na hatia. Inatisha.
Wawauwe hezibula sio watoto wasio na kosa, kuuuwa watoto ni LAANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…