Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

Nanukuu:".....hapo Tel Aviv wanajinasibu kama Paradise ya Gays,...."
Aisee!; Mkuu, Hebu tupatie link yao ili nasi tusome wanavyojinasibu.
 
Hivi Hezbollah wanaposhambuliwa wanaokufa ni wanawake na watoto tu,hakuna wapiganaji wanaokufa?.
 
si waliambiwa waondoke..

kwanza hata hao kiasilia hawakutakiwa kuwa wavaa kobaz.. miaka mingi sana babu zao wali lazimishwa kwa upanga, kutoka kwenye imani yao, na kuhamishwa kinguvu kwenye imani ya upande wa pili
Unalijua taifa la lebanon vzuri au ilimradi tu
 
YEah mkuu hawa watu shida tupu
 
Hezbollah wametoa tangazo muda mfupi uliopita na kama tunavojua Huwa sio waongeaji sana wa maneno ila kwa vitendo. Message sent and delivered.
 
Nanukuu:".....hapo Tel Aviv wanajinasibu kama Paradise ya Gays,...."
Aisee!; Mkuu, Hebu tupatie link yao ili nasi tusome wanavyojinasibu.


Kuna Articles nyingi mno, kifupi hawafichi, Gay parade kubwa zinafanyika huko, kuna Beaches, Sauna etc kama hunaduliwi/Hubandui mwanamme mwenzako huingii.
 
Hiyo mbona IDF walishaliongelea siku 3 kabla kwamba wananchi wa Israel wawe calm maana adui amepanga kutoa ujumbe kuwa provoke watu na hata ukisoma huo ujumbe kama una akili timamu unajua kabisa ni ujumbe wa mchongo
 
Sasa kabla hawajabonyeza kibayani, unakuta wamesha bonyezwa wao na kamanda wao mmoja ameuwawa.
INASIKITISHA SANA
 
Afadhali imejibu yaani nchi ina uwezo wa kulipua vifaa vya mawasiliano ya adui leo asitambue kwamba wapi kuna umuhimu wa kushambulia anavyofikiri IDF ni kama panya road ambao utawadanganya kwa kuandika kuwa hii ni kambi ya jeshi nao wakubali matokeo pasipo kujiridhisha.
 
Halafu kinachonishangaza kambi za Hizbollah zinafahamika zilivyo.
Kwanini wao wanalenga upande wa raia moja kwa moja!??
Kule ukraine Russia anaposhambulia maeneo ya kiraia unadai WANATO walijichanganya humo. Huko Gaza/lebanon unaoa hilo haliwezekani?
 
Kule ukraine Russia anaposhambulia maeneo ya kiraia unadai WANATO walijichanganya humo. Huko Gaza/lebanon unaoa hilo haliwezekani?
Embu nioneshe ni wapi Russia alilipua maeneo ya raia??
Kama sio shrapnels kuanguka basi sio kombora hilo.
Russia huwa analipua miundombinu kama ya umeme,ya jeshi na mengineyo.
Ila Israel analipua eneo la raia deliberately.
 

View: https://x.com/WarMonitorClips/status/1838496749800808828
 
Hizbullah asipothibitiwa ipo siku atakuja kutawala Lebanon yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…