Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Ukisema alikimbizwa sijui unamaanisha nini ila kupitia sources mbalimbali zinasema IDF alishaingia Lebanon na kufanya chochote alichokuwa anataka kukifanya kama ilivyo Gaza kwasasa na waliamua kuondoka Lebanon kwa shinikizo la umoja wa mataifa.2006 Israel alikimbizwa Lebanon.
Kaa usilisahau hilo.
Hivi Hizbollah, Hamas na wanamgambo wengine wanamcha Mwenyemungu?.Unajua chanzo cha Oktoba 7??
Tuanzie hapo mkuu.
Unazungumziaje na tukio la 2023 la Israel kuua raia wao wenyewe??Jamaa ni muongo Sana
Kwahiyo itakua
Jamaa wafanya chokochoko toka kwenye makazi ya raia alafu wanalazimisha IDF ikapige magofu ya kambi zaoIDF hawashambulii ovyo ovyo tu na hii ndio tofauti kati ya jeshi bora na vikundi vya wahuni, mara nyingi IDF huwa wanashambulia wanaposhambuliwa na wanapiga pale pale kwenye eneo yalipotokea makombora ( launching post) leo IDF wamepiga target karibu 300 za Hizbullah kwa maneno Yako unataka kusema wewe una akili zaidi kuliko MOSSAD yaani wakapige raia waache hayo maeneo ya Hizbullah ambayo ni tishio kwao?
Kumbe maisha ya huko ni kama Bongo tu tofauti yetu na wao ni rangi.
Mkuu nilishakuonya usiongee kama hauna ujuzi na kitu.Ukisema alikimbizwa sijui unamaanisha nini ila kupitia sources mbalimbali zinasema IDF alishaingia Lebanon na kufanya chochote alichokuwa anataka kukifanya kama ilivyo Gaza kwasasa na waliamua kuondoka Lebanon kwa shinikizo la umoja wa mataifa.
Sidhani kama Kuna vita ambayo Hizbullah amepata hasara kubwa kamaa hii inayoendelea kwasasa na inavyooneka UN watatia shinikizo IDF wasitishe kushambulia Lebanon alafu mwakani mtakuja tena mmseme IDF walishindwa vibaya kwenye vita vya 2024.
Huko Gaza ndio useseme kabisa ukiona raia wamerundikana sehemu basi ujue hapo Kuna Hamas wa kutosha na Huwa wakati mwingine wanalazimishwa kuwepo hapo kama Kinga na wengine wenye akili ndogo wanafanya kwa utashi wao.Bro unaongea na mtu mzima sio fala.
Una uhakika Israel haishambulii raia kimakusudi!?
Hivi unajua kama Israel ilimuua France official akiwa ofisini kwake Palestina??
Waliulizwa kwanini walilipua jengo la France official hawakujibu hadi leo.
Wewe shabiki wao unaweza ukatugaia jibu??
Au ndio utaleta kisingizio kile kile France consulate inaficha Hamas!?
Hapo hapo Lebanon hivi unajua kama kuna waandishi wa habari walilipuliwa wakiwa katika majukumu yao na walikua wanane wanne wakiwa wazungu!??
Na hawakuwa eneo la mapigano walikua eneo waliloambiwa kuwa salama halitaweza kuwafikia mapigano!??
Tuache huko twende Gaza ambako Israel sniper aliua wanawake wawili kwa sniper wakiwa kanisani.
Je hilo unalizungumziaje??
Narudia tena mkuu kama hujui kitu kaa kimya.Kambi za Hibzollah ziko karibia na mipaka ya Israel na zipo katika miinuko milimani sio karibu na raia.
ISrael ni nchi ambayo ikionekana kushindwa mapigano hushambulia raia ili kuleta hofu kwa wapiganaji.
NASUBIRI MAJIBU YA MASWALI YANGU HUKO JUU.
LEO NIKO NA WEWE MGUU KWA MGUU.
Nijibu swali kaka huko kumcha Mungu mimi hakunihusu.Hivi Hizbollah, Hamas na wanamgambo wengine wanamcha Mwenyemungu?.
Mkuu akili yako imechoka pumzika waje wengine.Mkuu nilishakuonya usiongee kama hauna ujuzi na kitu.
Israel iliondoka Lebanon kwa shinikizo la UN mwaka 2000 kamili.
Mwaka 2006 Israel ilikamata wana hizbollah wanne na kuwaweka kifungoni.
Hizbollah ilivamia patrol ya mpakani na Israel na kuua askari nane na kukamata wanne.Walitaka jamaa zao wanne waachiwe kwa mabadilishano ya askari wa IDF.
Israel ikagoma na kuanza mashambulizi ya anga kwa Lebanon.
Ndipo walipoamua kuingia kwa miguu ili wakomboe askari wao na waweke BUFFER ZONE Bint Jubeir.
Hilo likashindikanika walikutana na upinzani mzito pale Bint jubeir dhidi ya Hibzollah.
Hilo liliwapelekea warudi nyuma hadi Shebah farms,ndio USA akawaita mezani ili asuluhishe na mateka warudishwe kila upande.
Israel ilipata hasara ya mateka wawili kufa kwa majeraha ila Hizbollah ilipata watu wake wote wazima.
2006 Israel Bint Jubeir alikimbia kwa kushindwa mapambano sio kwa shinikizo la UN.
Shinikizo la UN lilikua 2000.
Usichanganye habari hapa.
Mkuu umeanza porojo sasa.Huko Gaza ndio useseme kabisa ukiona raia wamerundikana sehemu basi ujue hapo Kuna Hamas wa kutosha na Huwa wakati mwingine wanalazimishwa kuwepo hapo kama Kinga na wengine wenye akili ndogo wanafanya kwa utashi wao.
Narudia tena Israel huwa hafanyi mashambulizi ovyo ovyo na ndio maana Kila shambulio wanalofanya lazima watangaze na wanakupa sababu kwann wameshambulia na matokeo ya shambulio.
Unachotakiwa kujua hiyo ni vita sio nage Kuna wakati kinakuwa na miscalculation mpaka hata waisrael wenyewe wanauliwa na IDF ila uzuri ni kwamba mnapewa taarifa ya tukio na mapambano yanaendelea.
Hizi video za dhihaka sio mara kwanza kuundwa.
Nilikuuliza humu jana anao uwezo wa kuwafikia raia wa Israel? Kwa niwajuavyo dini ile wanavyopenda damu wangepata upenyo huo wangesambaza upendo wa chinja chinjaHawa Hezbullah mafala sana, wao Israel wanau Raia, nyie mnapiga askari pigeni Raia wao pia uwaone kama atagusa tena Lebanon. Hata uislam unakuambia anaye kushambulia mshambulie vile vile.
Swali huna, issue ya kupiga raia na kuacha kambi ya jeshi ni wao wameona wafanye hivyo na kama Hizbollah wana uwezo wa kufanya hivyo ni wao wataona wachukue hatua gani lakini jua ya kwamba hakuna wa kumshinda Israel mpaka kiama hilo lipo wazi we endelea kuifuatilia na hii ya Hizbollah utaona nini kitatokea Hilo ndilo jibu langu ikiwa wao wanaweza wajibu mapigo kivyovyote waonavyo wao kama wana huo ubavu.Nijibu swali kaka huko kumcha Mungu mimi hakunihusu.
Hii mada sio ya kidini ni ya kidiplomasia.
Nasubiri jibu kaka.
Basi hakuna aliyekufa.Lkn kusema pia jana ktk Israeli walikufa askari 2 pia akuna mwenye uhakika mana wanaficha majanga yao lkn ili ujue walipokea kipondo kikubwa ww angalia majibu yao baada ya tukio. Kama kweli askari ni wamekufa 2 naamini wasingejibu ivi. Tujiongeze kidogo
Kwa mwendo huu, watakata moto wengi sana.... Maana hiyo "P. O. BOX" mpaka ifike ni zaidi ya masaa 🤔🤔🤔Iran wamepiga marufuku kwa IRGC guards kutumia vifaa vya mawasiliano?. Ni mwendo wa P.O. BOX tu
Umeulizwa lingine unajibu lingine.Swali huna, issue ya kupiga raia na kuacha kambi ya jeshi ni wao wameona wafanye hivyo na kama Hizbollah wana uwezo wa kufanya hivyo ni wao wataona wachukue hatua gani lakini jua ya kwamba hakuna wa kumshinda Israel mpaka kiama hilo lipo wazi we endelea kuifuatilia na hii ya Hizbollah utaona nini kitatokea Hilo ndilo jibu langu ikiwa wao wanaweza wajibu mapigo kivyovyote waonavyo wao kama wana huo ubavu.