Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Ukisema alikimbizwa sijui unamaanisha nini ila kupitia sources mbalimbali zinasema IDF alishaingia Lebanon na kufanya chochote alichokuwa anataka kukifanya kama ilivyo Gaza kwasasa na waliamua kuondoka Lebanon kwa shinikizo la umoja wa mataifa.2006 Israel alikimbizwa Lebanon.
Kaa usilisahau hilo.
Sidhani kama Kuna vita ambayo Hizbullah amepata hasara kubwa kamaa hii inayoendelea kwasasa na inavyooneka UN watatia shinikizo IDF wasitishe kushambulia Lebanon alafu mwakani mtakuja tena mmseme IDF walishindwa vibaya kwenye vita vya 2024.