Babuu Wesaki Kilauwo
JF-Expert Member
- Jul 10, 2024
- 357
- 488
Wewe ni msemaji au shabiki.Hawa siyo Hamas, subiri majibu yao silaha zipo za kutosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni msemaji au shabiki.Hawa siyo Hamas, subiri majibu yao silaha zipo za kutosha.
Iran ndio mfadhili mkuu wa silaha na fedha.Wanafadhiliwa na nani?.
Waislam kufa ukipigania nchi ni kufa shahidi.Wako msikitini wanamlaumu allah kwa kuwatelekeza vipenzi vyake.
Nimekuuliza wewe acha porojo Lete habar tuone.Habari si zililetwa humu??
Nahisi inamankusweke alileta.
Ingia google utazikuta.
Na sio tu askari pia kuna raia majeruhi watano CNN ilitangaza jana usiku kwa shambulio la jana.
Yes exactly. Ni mtihani huo i.e. maswali na majibu; then mwissho wa siku "NECTA" watatoa matokeo ni nani aliyefaulu lakini pia Majina ya walioshindwa huwa yapo.Hawa siyo Hamas, subiri majibu yao silaha zipo za kutosha.
Nishakuletea habari sana humu bro kama huwezi kugoogle basi tuendelee na mjadala mwingine.Nimekuuliza wewe acha porojo Lete habar tuone.
Huwezi kuwapangia naona wameamua wao iwe hivyo na hawana la kuwafanya labda uwaulize wao.Kuna swali nawauliza hawa wagalatia humu ndani wanashindwa kujibu.
Kambi za Hizbollah zinajulikana zipo umbali wa kilometa 50+ na makazi ya raia,kwanini Israel iache kushambulia kambi za hizbollah na ishambulie makazi ya raia wa kawaida!!??
WAGALATIA NAOMBENI MAJIBU TAFADHALI.
HIMARS.
Iyerdoi.
Marcopolo
Hakuanza kurusha makombora Oktoba 8 ila alizidisha tu kiwango cha urushaji wa makombora. Hiyo ni katika harakati za kumuunga mkono HAMAS.Unajua kwanini Hizbollah alirusha makombora Israel kuanzia Oktoba 8!?
Tunasubiri jibu.
Israel hana mamlaka yoyote yale kwa Sheria ya kimataifa kuwaambia raia wa Nchi yoyote ile aondoke Nchini kwao.
Leo Kagame ama Museveni akiwaambia watu wa Mkoa wa Kagera waondoke halafu wa kapiga Kagera itakua wenye Tatizo NI Tanzania?
Kwa akili za hao kobaaz, hawaoni kama hilo ni tatizo kubwa. Ngoja tuone.Huwezi kupigana na mtu aliekuzid technology...
Mmekatiwa mawasiliano, mtapigana vp...
Inauma eehHawa Hezbullah mafala sana, wao Israel wanau Raia, nyie mnapiga askari pigeni Raia wao pia uwaone kama atagusa tena Lebanon. Hata uislam unakuambia anaye kushambulia mshambulie vile vile.
Hizbullah na Hamas hawana tofauti launching post zao nyingi ziko katikat ya makazi ya raia.Ni sahihi kuitisha kikao kwasababu raia wanashambuliwa.
Na mbaya zaidi Israel inaacha kushambulia kambi za Hizbollah zinazoonekana inashambulia raia.
Kwani mbona Netanyahu alilalamika UN Houthi walipokuja Syria mwezi huu!??
Je Netanyahu naye tumcheke!?
Israel ilianza na Palestina sasa Lebanon baada ya Lebanon Iran ajiandae ndiye mlengwa mkuu na hapa ndio shughuli itakuwa imeisha.Iran ndio mfadhili mkuu wa silaha na fedha.
Bro kama hujui jambo sio lazima uliongelee.Hizbullah na Hamas hawana tofauti launching post zao nyingi ziko katikat ya makazi ya raia.
Netanyau. Huwa hatii huruma kwa namna hiyo bali huwa anawaambia UN na US kwamba " mkanyeni huyu dogo mkimshindwa nita deal naye mwenyewe ila tu msije kunilalamikia" ameshafanya hivyo kwa Hamas. Hizbullah hata kwa vikundi vingine huoni utofauti hapo ?
Kamwe Israel haiwezi kupigana na Iran.Israel ilianza na Palestina sasa Lebanon baada ya Lebanon Iran ajiandae ndiye mlengwa mkuu na hapa ndio shughuli itakuwa imeisha.
Hiyo ni vita,ulitarajia Israel wasilipize!??
Bro unatumia akili ama matope?
HALAFU KADHIA YOTE HII KISA HAMAS....Kuua bata na kuku ili watu wasile nyama sio?
Hajui huyo.Lebanon ndio Nchi ya kiarabu yenye wakristo wengi kama hufahamu. Endelea kujifajiri Israel wanaua "kobazi"
Wachukue hatua stahiki au wavumilie raia wauwawe au unaonaje wataweza kuchukua hatua.?Bro kama hujui jambo sio lazima uliongelee.
Kambi za Hizbollah sipo umbali wa kilometa 50 na makazi ya raia.
Unasemaje yapo katikati ya raia!??
Ndugu yangu kama hujui kitu sio lazima ukieleze utaongopa na kujitia aibu.
Kambi iwe Mbezi makazi yawe Kigamboni je hiyo inaingia akili mtu ushambulie Kigamboni uache kambi Mbezi Luis!??