Inaonekana mkuu huijui historia ya Hizbollah kabisa.Tunasubiri kilio chenu mkisema wanaonewa wanaua wanawake na watoto kule mlisemaje mwanzoni ila mwisho mkasema nini?
Jiulize kuanzia Oktoba 8 2023 Hizbollah analipua Israel,kwanini Israel hakuchukua jeshi na kulipeleka Lebanon kupigana na Hizbollah!??
Kwani hawajawahi kupigana hawa kabla!?
2006 walipigana Israel akapigwa na kukimbia Bint Jubeir,kipindi hiko Hizbollah ina wapiganaji wasiozidi elfu kumi.
Sasa hivi Hizbollah ina makombora ya masafa marefu na ina wapiganaji zaidi ya laki moja.
Lebanon sio Gaza mkuu.