Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

Tunasubiri kilio chenu mkisema wanaonewa wanaua wanawake na watoto kule mlisemaje mwanzoni ila mwisho mkasema nini?
Inaonekana mkuu huijui historia ya Hizbollah kabisa.
Jiulize kuanzia Oktoba 8 2023 Hizbollah analipua Israel,kwanini Israel hakuchukua jeshi na kulipeleka Lebanon kupigana na Hizbollah!??
Kwani hawajawahi kupigana hawa kabla!?
2006 walipigana Israel akapigwa na kukimbia Bint Jubeir,kipindi hiko Hizbollah ina wapiganaji wasiozidi elfu kumi.
Sasa hivi Hizbollah ina makombora ya masafa marefu na ina wapiganaji zaidi ya laki moja.
Lebanon sio Gaza mkuu.
 
Kwa akili zako Israel hajui kambi za Hizbollah zilipo!??
Kutoka katika hayo maeneo kambi za Hizbollah zipo umbali wa 50 kilometres+ kutoka hapo.
Nakuuliza wewe swali.
Adui yupo umbali wa zaidi ya kilometa 50 na raia,kwanini ulipue raia wa kawaida!??
Mkuu; Mbona raia wa kawaida waliambiwa waondoke? Unadhani mbinu ya kuficha silaha (makombora) kwa jirani (Uraiani) ni siri hivi kwamba na Myahudi haijui? Inakuwaje Hezbollah kama ilivyokuwa kwa HAMAS ipo tabia ya kuwatumia watu kama ngao? Hezbollah wakae na silaha zao (makombora) makambini mwao halafu uone kama IDF itashugulika na huko uraiani.
 
Inaonekana mkuu huijui historia ya Hizbollah kabisa.
Jiulize kuanzia Oktoba 8 2023 Hizbollah analipua Israel,kwanini Israel hakuchukua jeshi na kulipeleka Lebanon kupigana na Hizbollah!??
Kwani hawajawahi kupigana hawa kabla!?
2006 walipigana Israel akapigwa na kukimbia Bint Jubeir,kipindi hiko Hizbollah ina wapiganaji wasiozidi elfu kumi.
Sasa hivi Hizbollah ina makombora ya masafa marefu na ina wapiganaji zaidi ya laki moja.
Lebanon sio Gaza mkuu.
Mwishoni ndio kwenye utamu wenyewe
 
Mimi kinacho ni kera mdogo wangu hapa Hezbullah ana silaha anaweza kuichakaza Israel vibaya sana. A mfu anapigana vita vya adabu na watu wasio na adabu .

Nacho taka nione Israel inawaka moto yote ndio roho yangu itakuwa baridi.
Na ndio malengo na ndoto za Waarabu wote, achilia hao Lebanon, Israel ifutike katika uso wa dunia.
 
Namsikia Wazir mkuu wa Lebanon hapa akilia Lia kuomba UN waitishe kikao Cha dharura kuitaka Israel iache kutembeza moto Lebanon sasa unaniuliza Ina maana hii serikali ya Lebanon ilikuwa haijui ni kitu Gani kinaendelea kwa kuwaruhusu Hizbullah kushambulia Israel?
Ni sahihi kuitisha kikao kwasababu raia wanashambuliwa.
Na mbaya zaidi Israel inaacha kushambulia kambi za Hizbollah zinazoonekana inashambulia raia.

Kwani mbona Netanyahu alilalamika UN Houthi walipokuja Syria mwezi huu!??
Je Netanyahu naye tumcheke!?
 
Askari waliouliwa kuanzia alhamisi ni bata na kuku!?
Siku hizi kuku na bata wana miguu miwili na wanashika bunduki!?
😂😂😂😂😂Kweli umeishiwa hoja.
Hao askari ( reservists) wawili waliuliwa siku ya Alhamis kabla ya ijumaa IDF kupeleka moto mkali uliosababishwa kuuwawa kwa viongozi wa3 wa juu kabisa wa Hizbullah tuonyeshe baada ya hapo hao askari wengine wawili wa IDF walioliwa na Hizbullah.
 
Inaonekana mkuu huijui historia ya Hizbollah kabisa.
Jiulize kuanzia Oktoba 8 2023 Hizbollah analipua Israel,kwanini Israel hakuchukua jeshi na kulipeleka Lebanon kupigana na Hizbollah!??
Kwani hawajawahi kupigana hawa kabla!?
2006 walipigana Israel akapigwa na kukimbia Bint Jubeir,kipindi hiko Hizbollah ina wapiganaji wasiozidi elfu kumi.
Sasa hivi Hizbollah ina makombora ya masafa marefu na ina wapiganaji zaidi ya laki moja.
Lebanon sio Gaza mkuu.
Tupe history ya Hizbollah ni jeshi la nchi gani, malengo ya kuanzishwa kwake.
 
Hao askari ( reservists) wawili waliuliwa siku ya Alhamis kabla ya ijumaa IDF kupeleka moto mkali uliosababishwa kuuwawa kwa viongozi wa3 wa juu kabisa wa Hizbullah tuonyeshe baada ya hapo hao askari wengine wawili wa IDF walioliwa na Hizbullah.
Habari si zililetwa humu??
Nahisi inamankusweke alileta.
Ingia google utazikuta.
Na sio tu askari pia kuna raia majeruhi watano CNN ilitangaza jana usiku kwa shambulio la jana.
 
Hizbollah ni jeshi la nchi gani malengo ya kuanzishwa kwake.
Hizbollah ilianzishwa miaka ya 1990s kikiwa na mlengo wa kisiasa na kidini ya ushia.
Na ndicho kikundi kilichopigana kuirudisha Bint Jubeir mwaka 2006 kutoka kwa Israel.
Na sasa hivi kimejiingiza katika siasa moja kwa moja.
Kwasababu Lebanon ni nchi ambayo imejigawa kimadaraka kati ya shia,sunni na wakristo.
 
Wanafadhiliwa na nani?.
 
Its not about matokeo, ni kwamba Uganda Hakuwa na mamlaka hayo na uvamizi wa Tanzania Uganda ukapewa Baraka, same thing kinachoendelea huko.
Mkuu; usisahau Uganda kwa muda mrefu alikuwa na chokochoko maneno, matusi na kejeli dhidi ya Tz kwa muda mrefu hadi waTz wakaanza kumlaumu JKN ni kwa nini hataki kuwaruhusu TPDF waliokuwa na usongo na Iddi Amini awaachilie wafanye kazi yao? Hezbollah hawajaanza urushaji wa makombora na majigambo yao dhidi ya Israeli siku za karibuni.
Wacha walinywe kama walivyoligema.
 
Kuna swali nawauliza hawa wagalatia humu ndani wanashindwa kujibu.
Kambi za Hizbollah zinajulikana zipo umbali wa kilometa 50+ na makazi ya raia,kwanini Israel iache kushambulia kambi za hizbollah na ishambulie makazi ya raia wa kawaida!!??

WAGALATIA NAOMBENI MAJIBU TAFADHALI.
HIMARS.
Iyerdoi
.
Marcopolo
 
Mkuu; usisahau Uganda kwa muda mrefu alikuwa na chokochoko maneno, matusi na kejeli dhidi ya Tz kwa muda mrefu hadi waTz wakaanza kumlaumu JKN ni kwa nini hataki kuwaruhusu TPDF waliokuwa na usongo na Iddi Amini awaachilie wafanye kazi yao? Hezbollah hawajaanza urushaji wa makombora na majigambo yao dhidi ya Israeli siku za karibuni.
Wacha walinywe kama walivyoligema.
Unajua kwanini Hizbollah alirusha makombora Israel kuanzia Oktoba 8!?
Tunasubiri jibu.
 
Back
Top Bottom