Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

Walianza Hamas baada ya kushiba tende na parachichi wakajiona vidume wakavamia Israel wakatandikwa waliporudi Gaza IDF wakasema tunakuja huko huko zikasikika kelele humu jf kwamba ndani ya Gaza IDF wanaenda kumalizwa mazima ila Leo karibu mwaka toka Al Aqsa floods ifanyike Hamas wengi washakufa na waliobakia wanaishi mashimoni kama panya na wengine kutwa kuvaa majuba na baibui ili wasitambulike.

Mara Hizbullah naye akajiingiza tukaambiwa hao sio Hamas ni hatar zaidi IDF wasithubutu kupigana nao, wakarusha makombora weee mwisho IDF akaona huyu mtoto anahamu anautaka moto wakaanza kuwatembezea kichapo mpaka imefikia high ranking commanders kwenda na maji huyu naye atashikishwa adabu na atakayefuata ni Iran story itakuwa same same.
 
Habari si zililetwa humu??
Nahisi inamankusweke alileta.
Ingia google utazikuta.
Na sio tu askari pia kuna raia majeruhi watano CNN ilitangaza jana usiku kwa shambulio la jana.
Nimekuuliza wewe acha porojo Lete habar tuone.
 
Hawa siyo Hamas, subiri majibu yao silaha zipo za kutosha.
Yes exactly. Ni mtihani huo i.e. maswali na majibu; then mwissho wa siku "NECTA" watatoa matokeo ni nani aliyefaulu lakini pia Majina ya walioshindwa huwa yapo.
 
Kuna swali nawauliza hawa wagalatia humu ndani wanashindwa kujibu.
Kambi za Hizbollah zinajulikana zipo umbali wa kilometa 50+ na makazi ya raia,kwanini Israel iache kushambulia kambi za hizbollah na ishambulie makazi ya raia wa kawaida!!??

WAGALATIA NAOMBENI MAJIBU TAFADHALI.
HIMARS.
Iyerdoi
.
Marcopolo
Huwezi kuwapangia naona wameamua wao iwe hivyo na hawana la kuwafanya labda uwaulize wao.
 
Sawa
Israel hana mamlaka yoyote yale kwa Sheria ya kimataifa kuwaambia raia wa Nchi yoyote ile aondoke Nchini kwao.

Leo Kagame ama Museveni akiwaambia watu wa Mkoa wa Kagera waondoke halafu wa kapiga Kagera itakua wenye Tatizo NI Tanzania?
 
Hawa Hezbullah mafala sana, wao Israel wanau Raia, nyie mnapiga askari pigeni Raia wao pia uwaone kama atagusa tena Lebanon. Hata uislam unakuambia anaye kushambulia mshambulie vile vile.
Inauma eeh
 
Ni sahihi kuitisha kikao kwasababu raia wanashambuliwa.
Na mbaya zaidi Israel inaacha kushambulia kambi za Hizbollah zinazoonekana inashambulia raia.

Kwani mbona Netanyahu alilalamika UN Houthi walipokuja Syria mwezi huu!??
Je Netanyahu naye tumcheke!?
Hizbullah na Hamas hawana tofauti launching post zao nyingi ziko katikat ya makazi ya raia.

Netanyau. Huwa hatii huruma kwa namna hiyo bali huwa anawaambia UN na US kwamba " mkanyeni huyu dogo mkimshindwa nita deal naye mwenyewe ila tu msije kunilalamikia" ameshafanya hivyo kwa Hamas. Hizbullah hata kwa vikundi vingine huoni utofauti hapo ?
 
Bro kama hujui jambo sio lazima uliongelee.
Kambi za Hizbollah sipo umbali wa kilometa 50 na makazi ya raia.
Unasemaje yapo katikati ya raia!??
Ndugu yangu kama hujui kitu sio lazima ukieleze utaongopa na kujitia aibu.
Kambi iwe Mbezi makazi yawe Kigamboni je hiyo inaingia akili mtu ushambulie Kigamboni uache kambi Mbezi Luis!??
 
Israel ilianza na Palestina sasa Lebanon baada ya Lebanon Iran ajiandae ndiye mlengwa mkuu na hapa ndio shughuli itakuwa imeisha.
Kamwe Israel haiwezi kupigana na Iran.
Haina ubavu huo sahau.
Rejelea May Israel alipolipua balozi ya Iran Syria alifanywa nini.
USA mwenyewe anajua hapo middle east mbabe wa vita ni Iran.
 
Bro kama hujui jambo sio lazima uliongelee.
Kambi za Hizbollah sipo umbali wa kilometa 50 na makazi ya raia.
Unasemaje yapo katikati ya raia!??
Ndugu yangu kama hujui kitu sio lazima ukieleze utaongopa na kujitia aibu.
Kambi iwe Mbezi makazi yawe Kigamboni je hiyo inaingia akili mtu ushambulie Kigamboni uache kambi Mbezi Luis!??
Wachukue hatua stahiki au wavumilie raia wauwawe au unaonaje wataweza kuchukua hatua.?
 
Back
Top Bottom