Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

Habari za kukoswa koswa sasa ndiyo Habari inayohusu kitu gani? Au hapo ushindi amepata nani
 
View: https://youtu.be/qP3H_cK18d0?si=uIVUhzcS8zjqlNtK

Habari ndio hio ya leo fresh kabisa, Hezbullah kanza kutumia silaha za kangusha ndege huko Lebanon, inasemekana ndege za Israel mbili zimekoswa koswa wamekimbia

Kula chuma hicho
20240924_232514.jpg
 
Habari za kukoswa koswa sasa ndiyo Habari inayohusu kitu gani? Au hapo ushindi amepata nani
Ndio tunanza taratibu labda tutabahatika kuziangusha hata kama ni kazi, lakini kurusha hata jiwe ni bora kuliko waje wanachezea anga watakavyo.

Safari si kifo tutafika tu na unaweza kusikia F16 inalambwa huko.
 
Hao wamewacha wenzao Well trained ndio uzuri wa Hezbullah hata uwauwe macommander wanakuja new blood ni more smart kuliko walio pita. We huoni zisrael anavyo chezea kichapo huko.
Hebu tuhabarishe kichapo kipi kinaendelea huko kwa Israel?

Kiukweli Hezbollah na wao inabidi wawe wanawamaliza makamanda wa IDF...
 
Ndio tunanza taratibu labda tutabahatika kuziangusha hata kama ni kazi, lakini kurusha hata jiwe ni bora kuliko waje wanachezea anga watakavyo.

Safari si kifo tutafika tu na unaweza kusikia F16 inalambwa huko.
Unamaanisha upo huko Lebanon unajaribu kuangusha ndege za Israel au sijakuelewa vizuri.
 
Israel ukitoa air force hawana tofauti na jeshi la Rwanda.
IDF ni Jeshi kamili, Wanazo rocket ila hawapendi vita ya kubahatisha... Wanazo ballistic pia na nuclear warhead hali ikiwa tete wanazitumia na kumaliza vita in one day tu... so wanafiki wanajua la mbeleni usalama ukihatarishwa sana sana yaani
 
Utasikia muda si mrefu baraza la usalama umoja wa mataifa wanakaa kusimamisha hii vita ya Hezbollah na Israel.

Wanaogopa vita kamili, Israel itachakazwa hilo halina hata wasi wasi.
 
Embu nioneshe ni wapi Russia alilipua maeneo ya raia??
Kama sio shrapnels kuanguka basi sio kombora hilo.
Russia huwa analipua miundombinu kama ya umeme,ya jeshi na mengineyo.
Ila Israel analipua eneo la raia deliberately.
Israel dawa yake ni kupiga raia wake hivyo hivyo!

Israel ukimpa kibano heavy anajua mipaka yake na anatulia.

Kwa sasa anajua kabisa akitangaza vita na Lebanon atapigika haswa kwa sababu kwa sasa waarabu hawatafuti mshindi bali wanataka kufa naye.

Wanajeshi wa kutoka Taleban, Iraq, Yemen na Syria wenyewe wapo Golan. Wanasubiri vita ianze wapambanae naye.

Huo ukanda utawaka moto!
 
😂😂😂😂Daaah "hawatafuti ushindi wanatafuta kufa naye".
Hii kauli nimeipenda sana.
Hana ujanja sasa hivi ni kama kichaa anayerusha mawe hovyo.
 
Hii picha hujaleta update now Nashrallah hana mtu yoyote anayemuata zaidi ya Makuruta yaani wamemuache peke yake hili asimuamini mtu
Unaambiwa eti hawa walioachwa hawajafa ndio wa muhimu. Wakati hata kwenye mgawo wa pagers hawakupewa sababu ni makuruta hawana lolote.
 
😂😂😂😂Daaah "hawatafuti ushindi wanatafuta kufa naye".
Hii kauli nimeipenda sana.
Hana ujanja sasa hivi ni kama kichaa anayerusha mawe hovyo.
Yeye si anasaidiwa na US na nchi za magharibi?!

Waarabu sasa hivi hawatafuti ushindi, wanachotafuta ni kufa naye na wanamuacha ajichanganye zaidi ili waliamshe. Kuna nchi zimeshachoka na madudu ya Israel na wafadhili wake.
 
Unaambiwa eti hawa walioachwa hawajafa ndio wa muhimu. Wakati hata kwenye mgawo wa pagers hawakupewa sababu ni makuruta hawana lolote.
Hizo pagers Hezbollah waliagiza kutoka Taiwan kwa kampuni moja inaitwa Gold Apollo.

Spy wa Mossad wakaweka circuit ambazo zina explosive kama gram 3...

Inavyoonekana Mossad waliweza ku modify pagers hizo at production level..

Karibu pagers 5000 walizoagiza jamaa wakaweka vilipuzi ndani yake ambapo mesage yenye code ikitumwa pager inalipuka.

Hezbollah waliacha kutumia simu na kuanza kutumia pagers ili mossad wasiweze ku spy location zao, cause pagers zinatumia txt tu...

Kiukweli kwenye hili suala la pagers ni security breach kubwa kwa hezbollah...

Kuna uwezekano spy wa Israel wapo deep ndani ya Hezbollah..

Lakini pia Hezbollah sio wanyonge.. kama kuna spy utashangaa muda si muda wanakamatwa...

Lakini yote na yote full scale war Israel haitoweza kuidhiniti Hezbollah.
 
Israel imetumia wiki kuua command nzima ya Hezbollah. Unasemaje Hezbollah itashinda.

Hamas unaona wanafurukuta kwa lolote? Si walikuwa wanapewa kichwa, sasa Hezbollah imevamiwa Hamas hata kurusha roketi moja hawajarusha. Wakati mpango wa Iran ni kuwatumia hawa kwa pamoja.

Hezbollah atapigwa hutoona Iran wala Syria ambako walimsaidia Assad wakijihusisha. Kipigo cha peke yao.
 
Back
Top Bottom