Israel yafaulu kumuua waziri wa uchumi wa HAMAS

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huyu kazi yake ilikua kupanga mipango yote ya matumizi ya fedha, yaani zipi zitumike kwenye ugaidi upi na wapi. Poleni kwa msiba wenzetu wa huku uswahilini mnaowaita wale ndugu.

Israel bado haijaanza kulipiza kisasi.

=========


PHOTO: GETTY IMAGES

Rear Admiral Daniel Hagari, spokesman for the Israel Defence Forces (IDF), has announced that the Israeli army has killed Jawad Abu Shamala, Hamas' Minister of Economy.

"Tonight [on the night of 9-10 October – ed.], an IDF aircraft killed Jawad Abu Shamala, the Minister of Economy of the Hamas terrorist organisation.

He was in charge of the organisation's finances and allocated funds to finance and manage terrorism inside and outside the Gaza Strip."

Hagari also stated that "one of the senior members of the political bureau of the Hamas terrorist organisation, who served as the head of the organisation's national relations department," had been killed as well.

pravda.com.ua
 
Kawaida hiyo.

Myahudi kishachezea kichapo ambacho hajawahi kupokea maisha yake yote.

Hata wafanye nini, ushindi bado ni wa Palestina, kwa muda mchache sana wameweza kukishikilia tena kipande cha nchi yao mpaka leo hii. japo kidogo lakini wamekichukuwa tena.

Leo alfajiri wamesukuma moto mwingine kutokea Lebanon.
 
Duh now yupo kuzimuni dah Zirail si watu wazuri🤣😂
 
Usiingie mtego wa MK254 kushabikia vita.

Mimi na ugalatia wangu sijapenda kabisa yanayoendelea pale Gaza, Ukraine, Sudan, DRC, Libya, Syria etc

Vita ni upumbavu na wehu mkubwa
 
Muisrael au mpalestina wakiuana hakunipunguzii wala kuniongezea kula yangu huku Tabata.

Kuna watu wanajikuta na wao wayahudi au wapelistina jinsi wanavyoshangilia yanayotekea huko, kipindi hicho si mu Israel wala Mpalestina anaejua kama kuna Kenya au Tanzania.
 
MK254 chukua hili Pisi Kali mtaendana nalo sawa kwa utumwa wenu wa chuki za kidini [emoji851]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
mnafurahia kupiga ngumi moja huku mnapigwa ngumi 20 , hiyo ni dalili ya ukilaza , raha ngumi uzipige muda wote sio kupigwa muda wote uku unashangilia ngumi uliyopiga jana
 
Wewe Mkenya hivi kwenu hakuna majukwaa ya porojo zenu za kujitekenya na kucheka wenyewe?
 
Wacha we !!, Hamas ya Palestina ni the best army
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…