Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watamchagua mwingine amrithi.Huyu kazi yake ilikua kupanga mipango yote ya matumizi ya fedha, yaani zipi zitumike kwenye ugaidi upi na wapi. Poleni kwa msiba wenzetu wa huku uswahilini mnaowaita wale ndugu.
Israel bado haijaanza kulipiza kisasi.
=========
![]()
PHOTO: GETTY IMAGES
Rear Admiral Daniel Hagari, spokesman for the Israel Defence Forces (IDF), has announced that the Israeli army has killed Jawad Abu Shamala, Hamas' Minister of Economy.
"Tonight [on the night of 9-10 October – ed.], an IDF aircraft killed Jawad Abu Shamala, the Minister of Economy of the Hamas terrorist organisation.
He was in charge of the organisation's finances and allocated funds to finance and manage terrorism inside and outside the Gaza Strip."
Hagari also stated that "one of the senior members of the political bureau of the Hamas terrorist organisation, who served as the head of the organisation's national relations department," had been killed as well.
pravda.com.ua
Hamas wanaua watu vibaya sana, wanapasua mimba za wajawazito, kuna mtu Jana wamempasua kifua na kuutoa moyo wake wakaanza kuula, wanafanya mambo beyond ya unyama wa kutisha.Wewe Mkenya hivi kwenu hakuna majukwaa ya porojo zenu za kujitekenya na kucheka wenyewe?
Hallo Israel ni hatari lile Taifa. Hapo ujue amezingirwa kila kona na sio hao tu Lebanon na Parestina,hapo ujue kuna korea kask kuna Iran pia. Lakini anapiga Lebanon huku anachakaza Hamas. Ni hii kweli itakuwa vita vya muda mrefu. Hawa kenge wamechokoza nyuki. Watapigwa wachakae. Wakawaulize Misri vile vita vya siku 6 viliwafanyejeKawaida hiyo.
Myahudi kishachezea kichapo ambacho hajawahi kupokea maisha yake yote.
Hata wafanye nini, ushindi bado ni wa Palestina, kwa muda mchache sana wameweza kukishikilia tena kipande cha nchi yao mpaka leo hii. japo kidogo lakini wamekichukuwa tena.
Leo alfajiri wamesukuma moto mwingine kutokea Lebanon.
Hii isitupe kiwewe kwamba kuna sehemu iliyokuwa imechukuliwa na Israeli imekombolewa. Tujikumbushe mwaka 1973 Waarabu waliposhambulia Israeli kwa kustukiza siku ya sikukuu ya Kiyahudi ya Yom Kippur. Misri ilishambulia upande wa Sinai na Syria ikashambulia wakati huohuo upande wa Golan Heights. Katika siku tatu Waarabu walikomboa sehemu kadhaa za ardhi yao zilizokuwa zikikaliwa na Israeli. Israeli ilichukua wiki mbili kujipanga na kujibu mapigo hayo ya kustukiza. Ndani ya wiki mbili wakaziteka upya sehemu zilizokuwa zimekombolewa na wakaenda mbali zaidi na kuteka sehemu mpya nyingine. Furaha ya Waarabu ilidumu chini ya wiki tatu wakaja wakapata kilio kikubwa zaidi. Waarabu hawakuweza kufanya cho chote mpaka Misri ilipokuja kurudishiwa kwa amani sehemu ya Sinai kutokana na mazungumzo ya Camp David kati ya Rais Jimmy Carter wa Marekani, Rais Anwar Sadat wa Misri na Waziri Mkuu Menachem Begin wa Israeli. Masharti ya kurudishiwa Sinai yalikuwa pamoja na Misri kuitambua Israeli kama nchi halali na kuanzisha uhusiano wa kibalozi. Makubaliano hayo yalifanyika Oktoba 1978, miaka mitano baada ya vita vya Yom Kippur vya Oktoba 1973. Sinai aliyorudishiwa Misri ilikuwa kwenye meza ya mazungumzo na si kwa ukombozi wa mtutu wa bunduki.Kawaida hiyo.
Myahudi kishaxhezea kichapo ambacho hajawahi kupokea maisha yake yote.
Hata wafanye nini, ushindi bado ni wa Palestina, kwa muda mchache sana wameweza kukishikilia tena kipande cha nchi yao mpaka leo hii.
Leo alfajiri wamesukuma moto mwingine kutokea Lebanon.
ushabiki wa kijinga kwa sababu vita haiko mlangoni mwako. Watakaoumia zaidi na kwa wingi ni raia wasio na hatia wa palestina maana kwa ulipizaji kisasi wa mazayuni, wataiteketeza gaza kwa wiki nzima.Kawaida hiyo.
Myahudi kishachezea kichapo ambacho hajawahi kupokea maisha yake yote.
Hata wafanye nini, ushindi bado ni wa Palestina, kwa muda mchache sana wameweza kukishikilia tena kipande cha nchi yao mpaka leo hii. japo kidogo lakini wamekichukuwa tena.
Leo alfajiri wamesukuma moto mwingine kutokea Lebanon.
Waliwachokoza wenyeweushabiki wa kijinga kwa sababu vita haiko mlangoni mwako. Watakaoumia zaidi na kwa wingi ni raia wasio na hatia wa palestina maana kwa ulipizaji kisasi wa mazayuni, wataiteketeza gaza kwa wiki nzima.
Gaza strip itarudi kuwa katika zama za mawe.
na hawatarudia tena kwa miaka ya hivi karibuni na si ajabu masalia ya hamasi wakakimbia kabisa wakahamia nchi zingine au jangwa la sahara kujificha. retaliation watakayopata wiki hii hawataisahau milele.Waliwachokoza wenyewe
Kuna watu hawajitambui. Walau Angegusa msoto wa RTS angeelewa unachomwambia kupita pita NS wanajikuta mchezo wanaujua sana.Usiingie mtego wa MK254 kushabikia vita.
Mimi na ugalatia wangu sijapenda kabisa yanayoendelea pale Gaza, Ukraine, Sudan, DRC, Libya, Syria etc
Vita ni upumbavu na wehu mkubwa
HAMAS ni kundi la kigaidi.Kwa hiyo kwa maoni yako HAMAS walipaswa kuimbiwa taarabu baada ya kushambulia kwa maroketi.
Nguvu hua inatoka marekan wakishtukizwa mbona wepesi tuHii isitupe kiwewe kwamba kuna sehemu iliyokuwa imechukuliwa na Israeli imekombolewa. Tujikumbushe mwaka 1973 Waarabu waliposhambulia Israeli kwa kustukiza siku ya sikukuu ya Kiyahudi ya Yom Kippur. Misri ilishambulia upande wa Sinai na Syria ikashambulia wakati huohuo upande wa Golan Heights. Katika siku tatu Waarabu walikomboa sehemu kadhaa za ardhi yao zilizokuwa zikikaliwa na Israeli. Israeli ilichukua wiki mbili kujipanga na kujibu mapigo hayo ya kustukiza. Ndani ya wiki mbili wakaziteka upya sehemu zilizokuwa zimekombolewa na wakaenda mbali zaidi na kuteka sehemu mpya nyingine. Furaha ya Waarabu ilidumu chini ya wiki tatu wakaja wakapata kilio kikubwa zaidi. Waarabu hawakuweza kufanya cho chote mpaka Misri ilipokuja kurudishiwa kwa amani sehemu ya Sinai kutokana na mazungumzo ya Camp David kati ya Rais Jimmy Carter wa Marekani, Rais Anwar Sadat wa Misri na Waziri Mkuu Menachem Begin wa Israeli. Masharti ya kurudishiwa Sinai yalikuwa pamoja na Misri kuitambua Israeli kama nchi halali na kuanzisha uhusiano wa kibalozi. Makubaliano hayo yalifanyika Oktoba 1978, miaka mitano baada ya vita vya Yom Kippur vya Oktoba 1973. Sinai aliyorudishiwa Misri ilikuwa kwenye meza ya mazungumzo na si kwa ukombozi wa mtutu wa bunduki.
Hali kadhalika hivi sasa. Tusibweteke kwa mafanikio hayo ya kustukiza ya Oktoba 2023. Hatujui kilio kinachoweza kufuata. Aidha, sijui mwezi Oktoba unaashiria nini kati ya Israeli na Waarabu kwani vitu vingi vinatokea mwezi huo.
Solution ni mbili either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha.
Yaani nchi ya Palestine isiwepo.
HAMAS ni kundi la kigaidi.
Two mistakes wont correct the first mistake
CHildren of Israel and Palestines deserve protection. I believe the huntungdown the terrorists must also abstain the children phenomenum in the warzones.
Codetion imetulia sana, kwa mwenye akili atakubali na ku-likeKuna watu hawajitambui. Walau Angegusa msoto wa RTS angeelewa unachomwambia kupita pita NS wanajikuta mchezo wanaujua sana.
Wawaulize ndugu zao wanaoenda walau PKO.