MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #41
Halafu kingine, Israel hufuata watu hata kwa mataifa ya mbali, yaani kuna NAZI remnant walifuatwa hadi Argentina.Ninavyowakubaligi mitu ya Israel wote wanajitolea sans kwa ajili ya Taifa lao. Na hawanaga kuremba wala kukata tamaa. Na hapo ndio kwanza kazi inaanza. Ndio maana waziri mkuu katangaza ni vita vya muda mrefu. Hapo hizo za kutangazwa baadae zitaachwa,atakuwa anadokolewa mmoja mmoja kokote aliko. Na wote waliopanga mipango hii ovu na nyumba iliyopangiwa mipango na mtu alieanza anza hii mipango wote hesabuni hasara kwenu
Myahudi hulipiza kisasi hata kama itachukua miaka 50, huwa mwendo wa kuiwanda tu.