Israel yafaulu kumuua waziri wa uchumi wa HAMAS

Israel yafaulu kumuua waziri wa uchumi wa HAMAS

Solution ni mbili either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha.
Yaani nchi ya Palestine isiwepo.
Waarabu waache ubinafsi wawachukue ndugu zao kuliko kuwaacha wauwawe wengi hawana hatia bali ni wahanga tu wa udhalimu.
 
Wapi nimesema "kwa ajili ya Watanzania peke yao"?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ndiyo, shule mimi na wewe tulienda kusomea ujinga na wewe ulikuwa unapata A ya ujinga [emoji4]
 
Kawaida hiyo.

Myahudi kishachezea kichapo ambacho hajawahi kupokea maisha yake yote.

Hata wafanye nini, ushindi bado ni wa Palestina, kwa muda mchache sana wameweza kukishikilia tena kipande cha nchi yao mpaka leo hii. japo kidogo lakini wamekichukuwa tena.

Leo alfajiri wamesukuma moto mwingine kutokea Lebanon.
Nawashauri Israel wafanye extinction ya wanaume wote Gaza wabakie wanawake ambao wakizaa mtoto wa kume wanam-Kolimba.......tabu imeisha!
 
Utu umeisha watu wanaposhangilia vifo vya wengine kwa misingi ya dini walizoletewa na watesi wao. Smh
kauli hz ilibid mziseme siku yq jmos , hamas alipovamia Israel na kuuq raia wema waliokuwa kwenye starehe zao , ila hapa mnajifanya wanafiki tu baada ya kuona upepo mbaya
 
Solution ni mbili either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha.
Yaani nchi ya Palestine isiwepo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
HAMAS ni kundi la kigaidi.

Two mistakes wont correct the first mistake

CHildren of Israel and Palestines deserve protection. I believe the huntungdown the terrorists must also abstain the children phenomenum in the warzones.
unajuwa kuwa wapalestina ndo wanawatunza na kuwalisha HAMAS ?
 
Hivi ni vita mzee, reality not a movie, kule kwenye muvi ndio huwa tunaona magaidi yakishambulia na kujificha ndani ya raia wa kawaida, halafu makomando wanaingia kiaina na kuwaua humo humo bila raia yeyote kuathirika, ila hapa sasa hao magaidi kuwachomoa ndani ya raia sio rahisi kihivyo, unalazimika kupiga carpet bombing.

Kwako wewe ni rahisi kuongea ongea na kuandika kwenye mitandao maana upo sehemu yenye amani, hakuna anayeshambulia familia yako, ila ikujie mtu ashambulie watoto wako kisha aende akajifiche kwenye raia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haelew huyo mvaa vibukta na dela juu
 
Nisikilize vizuri mkuu
Kama unaamini katika kisasi cha jino kwa jino basi mjadala huu una maana

Taifa la Israel lina Haki ya Kujilinda. Mimi na wengine tunaojua Historia tunaamini bila shaka kabisa kuwa waarabu wameikalia ardhi ya Israel isivyo haki lakini je kuua watoto kama HAMAS walivyofanya ndivyo kunaleta haueni?

Mtu mjinga ama mpumbavu asikulazimishe ukahama kutoka kwenye hekima na kufuata mkumbo wa upumbavu wake.

Tuikemee na kuilaani vita (aina yeyote), hata ya maneno bali tuwatafutie suluhu wanaogombana ili kustawisha amani na mshikamano.

Tanzania tuna utamaduni wa utani wa kikabila ambao unafanyika ktk misiba, sherehe na kadhalika. Chanzo cha utani huo ni kufunika machungu ya mauaji ya vita za kikabila zilizopelekea kugharimu maisha ya watu wengi. Waliamua kupatana na kugeuza uchungu kuwa utani.

Ukitumia akili kidogo utaona namna ambayo amani haijawahi kuwa chaguo baya
inabid uelewe kuwa Hamas wanatunzwa na kulishwa kwa kodi za wapalestina yaan kila wafanyacho kimebarikiwa na wapalestina
 
Mwisho wa siku Wapalestina watakuwa wakimbizi kabisa
kama wao walivyowafanyia wenzao kipindi cha vita vya msalaba mwekundu , waliwapa ahadi wayaudi ila hawakuzitimiza ikapelekea wayaudi kupakimbia kwao
 
inabid uelewe kuwa Hamas wanatunzwa na kulishwa kwa kodi za wapalestina yaan kila wafanyacho kimebarikiwa na wapalestina
Mkuu usihamishe mjadala.

Naongelea watoto. Nieleze mchango wao kwenye haya yanayoendelea Gaza
 
Yupo kwa denial so ni lazima awe anarudia rudia tukio liliotokea siku 4 nyuma.Ukimwambia aongelee yanayoendelea sasa hivi utakuwa unamtesa sana.
kbs kizee anamuhahoo ya yanayoendeleaa
 
Ninavyowakubaligi mitu ya Israel wote wanajitolea sans kwa ajili ya Taifa lao. Na hawanaga kuremba wala kukata tamaa. Na hapo ndio kwanza kazi inaanza. Ndio maana waziri mkuu katangaza ni vita vya muda mrefu. Hapo hizo za kutangazwa baadae zitaachwa,atakuwa anadokolewa mmoja mmoja kokote aliko. Na wote waliopanga mipango hii ovu na nyumba iliyopangiwa mipango na mtu alieanza anza hii mipango wote hesabuni hasara kwenu
Yaani mpaka karatasi walizotumia kidraft mipango italipuliwa 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom