Israel yafaulu kumuua waziri wa uchumi wa HAMAS

Israel yafaulu kumuua waziri wa uchumi wa HAMAS

Kuna Kitu kikubwa ambacho Huwa hakizungumzwi na wengi.... ama hawajui!?....ama kinapuuzwa!

Palestine Wana support kubwa sana! ya kifedha na dhana za kivita sawa sawa na Israel!

Kama wanazidiwa ... labda ni kwa uchache mnoo!

Na baadhi ya zana hizo hununuliwa Israel kwa mgongo wa nchi zinazojifanya kutokufungamana na upande wowote...

wakati kiuhalisia wanaonunua ni Palestine hao hao.

Pesa iko kwa Waarabu!.... Hawawezi kukubali kuona mwenzao anaangamia!
 
Asante. Nakubali ugomvi huu ni "complicated" na hasa pale anayejiona ni kiranja wa dunia- USA anapopendelea upande mmoja hata pale maazimio ya UN yanapokanyagwa.
USA anahofia Iran na Sio hamas zile zana ni kwa ajili ya Iran,naona hizibolla washaanza kukipasha
 
Nawashauri Israel wafanye extinction ya wanaume wote Gaza wabakie wanawake ambao wakizaa mtoto wa kume wanam-Kolimba.......tabu imeisha!
Wakishadhibiti Gaza tu na kuwaondoa Wapalestina wote hapo tatizo litakuwa limetatuliwa.
Shida ni kuwa Waisrael nje ya Israel wataanza umizwa
 
Solution ni tatu either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha.
Yaani nchi ya Palestine isiwepo.
Waarabu waache ubinafsi wawachukue ndugu zao kuliko kuwaacha wauwawe wengi hawana hatia bali ni wahanga tu wa udhalimu.
Au waachwe wauwane atakaemmaliza mwenzio ndio apewe haki.
Wasomali hawakushaurika waliachwa wakauwana hadi wamechoka kuuwana wamepumzika.
Shetani ndie aletae vita ili kupata damu kwenye vita wanauhakika wa kupata lita nyingi sana za damu tofauti na ajali.
Waarabu hawawataki maana hao ni magaidi
 
Solution ni mbili either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha.
Yaani nchi ya Palestine isiwepo.
No, Palestina pale ni kwao. Solution ipo tayari ila mataifa yanayo wa backup Wapalestina hawaitaki hiyo solution.
 
Kawaida hiyo.

Myahudi kishachezea kichapo ambacho hajawahi kupokea maisha yake yote.

Hata wafanye nini, ushindi bado ni wa Palestina, kwa muda mchache sana wameweza kukishikilia tena kipande cha nchi yao mpaka leo hii. japo kidogo lakini wamekichukuwa tena.

Leo alfajiri wamesukuma moto mwingine kutokea Lebanon.
Hamas inaenda kufutika kabisa hutokaa uisikie tena ofisi zao zimebakia mapangoni na baada ya muda mfupi wanatolewa humo kama nguruwe mwitu
 
Sikuelewi kabisa, yaani mpaka sasa haueleweki, ina maana Israel walipaswa wafanye nini baada ya hayo makombora 4,000 ya HAMAS kuelekezwa Israel. Hebu weka nadharia pembeni utazame uhalsia.
Vivyo hivyo
 
Option ni ya serikali ya majimbo ambako Palestina inakuwa jimbo huru ndani ya Palestina kama ilivyo Marekani, NK

Lakini Palestina hawataki wanataka lazima Palestina iwe nchi na ijitenge na Israel na Israel hawataki wanataka nchi iwe moja
Basi watauwana
 
Hamas inaenda kufutika kabisa hutokaa uisikie tena ofisi zao zimebakia mapangoni na baada ya muda mfupi wanatolewa humo kama nguruwe mwitu
Labda wewe ungekuwa mungu.

Tazama mambo ya Mwenyezi Mungu, mayahudi wanajuwa wamemaliza kazi wanang'oa bendera za Wapelestina, walivyojikusanya kimbembe kikawashukia:

Allahu Akbar
 
Kawaida hiyo.

Myahudi kishachezea kichapo ambacho hajawahi kupokea maisha yake yote.

Hata wafanye nini, ushindi bado ni wa Palestina, kwa muda mchache sana wameweza kukishikilia tena kipande cha nchi yao mpaka leo hii. japo kidogo lakini wamekichukuwa tena.

Leo alfajiri wamesukuma moto mwingine kutokea Lebanon.
Duh mbona balaa hii dunia
 
Huyu kazi yake ilikua kupanga mipango yote ya matumizi ya fedha, yaani zipi zitumike kwenye ugaidi upi na wapi. Poleni kwa msiba wenzetu wa huku uswahilini mnaowaita wale ndugu.

Israel bado haijaanza kulipiza kisasi.

=========

Israel kills Hamas Economy Minister

PHOTO: GETTY IMAGES

Rear Admiral Daniel Hagari, spokesman for the Israel Defence Forces (IDF), has announced that the Israeli army has killed Jawad Abu Shamala, Hamas' Minister of Economy.

"Tonight [on the night of 9-10 October – ed.], an IDF aircraft killed Jawad Abu Shamala, the Minister of Economy of the Hamas terrorist organisation.

He was in charge of the organisation's finances and allocated funds to finance and manage terrorism inside and outside the Gaza Strip."

Hagari also stated that "one of the senior members of the political bureau of the Hamas terrorist organisation, who served as the head of the organisation's national relations department," had been killed as well.

pravda.com.ua
Kazi iendelee. Huyo nae akawahi wale 72 kwenye ziwa la liwakalo moto na kiberiti. Takbirrrr 😂😂😂😁😀
 
mnafurahia kupiga ngumi moja huku mnapigwa ngumi 20 , hiyo ni dalili ya ukilaza , raha ngumi uzipige muda wote sio kupigwa muda wote uku unashangilia ngumi uliyopiga jana
Kwa israel lile pigo sio tu limeua watu limeharibu pia image yao ,wao wamepoteza sana kuliko hata hamas , lengo la israel ni kuimanisha dunia kwamba kwao ni salama na ina hadhi ya europe na wanategemea utalii na kunadi kuwa intelligence yao ni best, kwa kilichotokea hata marekani kachanganyikiwa ukiangalia gharama anayotumia kuilinda israel msaada anapeleka kila mwezi wa silaha na hela ila kupigwa na vimgambo kirahisi vile ni hasara hawataweza kuisahau maishani yao yote
 
Muisrael au mpalestina wakiuana hakunipunguzii wala kuniongezea kula yangu huku Tabata.

Kuna watu wanajikuta na wao wayahudi au wapelistina jinsi wanavyoshangilia yanayotekea huko, kipindi hicho si mu Israel wala Mpalestina anaejua kama kuna Kenya au Tanzania.
Hata wakati vita vya ukraine vinaanza kuna watu walisema maneno haya!! Ila badaye walikuja kugundua kumbe walikuwa na upeo mdogo wa mambo!! Baada ya kushangaa kila kitu kina panda bei, kisa vita hiyo. Pole
 
Kwa israel lile pigo sio tu limeua watu limeharibu pia image yao ,wao wamepoteza sana kuliko hata hamas , lengo la israel ni kuimanisha dunia kwamba kwao ni salama na ina hadhi ya europe na wanategemea utalii na kunadi kuwa intelligence yao ni best, kwa kilichotokea hata marekani kachanganyikiwa ukiangalia gharama anayotumia kuilinda israel msaada anapeleka kila mwezi wa silaha na hela ila kupigwa na vimgambo kirahisi vile ni hasara hawataweza kuisahau maishani yao yote
Sasa gaidi aliye vamia kwa kuvizia raia wasio na hatia kweli..??
 
Back
Top Bottom