ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
WHO walienda kwa hao magaidi kufanya nini?Daaa Israel hawana simile asee hatari sanaaa....pole sana WHO
Israeli ha1apigi bure, lazima walinusa kwanza!hawawezi kumpiga huyo bila intelligence imara!
We jamaas uyo mchungaji wako kafanikiwa kukuvuta kama mbuzi asiejua snapelekwa wapi!!!! Ila kipigo uko Telaviv ali ni mbaya nyie tulizani muda huu mmekusanyika kulia kumbe mnapeana moyo apa poleni wabantu wezangu!Mwabeshi alifuata nini huko Yemen? kila anayeishi middle east ni kwa hisani ya myahudi. Myahudi akiamua kumuondoa yeyote ni kama kutema mate.
Atatulia tu kama Saudia alisanda zayuni nani zawani muoga zaid atapelekewa moto mwenyewe ataomba kwa marekani amuokoe kupitia UN! Huu mwaka 2024 watazikana sio kidogo uko Israel fakeYaudi kama mtoto Idd. Yupo kama kapandwa na kichaa.
Anyway na nyie mnamchokozaga wa nini?
Kwanza jifunze kuandika kwa ufasaha. Pili mchungaji wangu ni Yesu anayeniongoza kwenye njia ya uzima. Kama Tel Avivu ilihimil balistics 200 za wahuni pasipo kupoteza hata mtu mmoja ni kitu gani kitakachoiangamiza?We jamaas uyo mchungaji wako kafanikiwa kukuvuta kama mbuzi asiejua snapelekwa wapi!!!! Ila kipigo uko Telaviv ali ni mbaya nyie tulizani muda huu mmekusanyika kulia kumbe mnapeana moyo apa poleni wabantu wezangu!
Taifa teule, hata kama wanakosea husamehewa. Na mwisho Mungu atawakomboa pamoja na kuwa wana shingo ngumu. Hayo ni Maandiko!Telaviv wanaombe msiwasaau kwenye maombi yenu!!!
Unakumbuka mwaka 1967 ile vita ya siku 6?We jamaas uyo mchungaji wako kafanikiwa kukuvuta kama mbuzi asiejua snapelekwa wapi!!!! Ila kipigo uko Telaviv ali ni mbaya nyie tulizani muda huu mmekusanyika kulia kumbe mnapeana moyo apa poleni wabantu wezangu!
Tudanganye 1967 kilitokea nini!?Unakumbuka mwaka 1967 ile vita ya siku 6?
Waarabu wote kwa ujumla wao walipigwa na baadhi ya ardhi zao kutekwa. Kama angekuwa na tamaa ya kumiliki au kuongeza ardhi asingewarudishia. Sio suala la kudanganya, unatikisa kibiriti?Tudanganye 1967 kilitokea nini!?
Tudanganye 1967 kilitokea nini!?
Kama hujui kitu nyamaza tu.Waarabu wote kwa ujumla wao walipigwa na baadhi ya ardhi zao kutekwa. Kama angekuwa na tamaa ya kumiliki au kuongeza ardhi asingewarudishia. Sio suala la kudanganya, unatikisa kibiriti?
Una C&P inaonekana hata huijui hii vita vizuri.Vita vya Siku 6
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya Kiarabu na Israeli vya 1948.
Israeli ilijengwa na muundo wake kuelekezwa na vita . Kila mzozo wa mapigano , makubwa na madogo, uliacha alama yake.
Lakini ni vita vifupi zaidi, vya Siku Sita vya Juni 1967, ambavyo vinaonekana kusikika zaidi kuliko vingine vyote.