Israel yaichakaza miundombinu ya magaidi wa Houthi na kumjeruhi mkuu wa WHO

Israel yaichakaza miundombinu ya magaidi wa Houthi na kumjeruhi mkuu wa WHO

Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom akiwa na wafanyakazi wengine wamenusurika kuuawa katika shambulio la anga, linalodaiwa kufanywa na ndege za kivita za Israel kwenye uwanja wa ndege wa Yemen, ambalo limesababisha vifo vya watu watatu na wengine kujeruhiwa.

Mhariri | @abuuyusuftz

#UTV108 #AzamTV #AdhuhuriLive
Hawa watu siku wajichanganye wapige himaya ya Urusi ndio utakuwa mwisho wao.
 
Kuichokoza Israel ni kuitafuta hukumu ya kifo. Tangu October 7 magaidi wanapewa haki yao ya kutangulizwa akhera kwa upumbavu wao.
Izo picha nimetuma wote ni wapo matoni kwasasa nini kuchokoza watu wamewauwa kabisa na washafukiwa milele kwa milele
 
Izo picha nimetuma wote ni wapo matoni kwasasa nini kuchokoza watu wamewauwa kabisa na washafukiwa milele kwa milele
Nyie endeleen kuimba kuwapamba lkn watu awajui kuusu taifa teule wanapitanao na kuzikwa zivuli. Utaifa teule nibaki nao sisi tunajua wavamiz kutoka Ulaya. Dawa yao kuu mtutu watakufa adi wakimbie mwarabu taifa teule lisingevamia ardhi ya watu.
 
Tena iyo idad ni ndogo sana IDF wamekufa wengi ikisha vita itawachukua miaka 20 kutokuchokoza vita ili watoto wapya wakue ndio wawategemee lkn awa wasasa wakiondoka uko vitani ndio kwaeri ya milele wakija sio kwenye vita ndio mana Iran anapigana na Israel kwaakili sana anajua uko mbele adui atakuwa dhaifu kama nyanya.
 
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom akiwa na wafanyakazi wengine wamenusurika kuuawa katika shambulio la anga, linalodaiwa kufanywa na ndege za kivita za Israel kwenye uwanja wa ndege wa Yemen, ambalo limesababisha vifo vya watu watatu na wengine kujeruhiwa.

Mhariri | @abuuyusuftz

#UTV108 #AzamTV #AdhuhuriLive
Kama unajua lugha pata maelezo hapa jinsia askari wa kizayuni wamekumbwa na wimbi la woga na wasiwasi
 
Katika vitu ambavyo myahudi hatothubutu ni kumuua kiongozi wa dini wa kishia.
Kama Israel waliweza kumuua kiongozi wa Hamas katika safe house ya Tehran hawashindwi kumuua Ayatollah.
Ila hawatothubutu,ukitaka kuwaona mashia ni wafia dini ua kiongozi wao wa dhehebu lao la shia.
Aisee hadi watoto wenu watachinjwa.
Na ogopa sana shia wakianzisha vita ya kidini,sunni wenyewe wanajua mziki wa shia.
Ameuawa kipenzi chao, general soleyman na wakakaa kimya , bure kabisa
 
Kwani hao wengine walioondolewa ilitangazwa wataondolewa lini? We subiri, "time will tell".
Siku akijaa kwenye mfumo huenda isijulikane kaondolewa kwa kitu gani. Yule Rais wa Iran hadi leo kuna watu wanaamini ilikuwa ajali ya kawaida tu.
 
Back
Top Bottom