Nimesema waarabu sijataja nchi, hizo nchi nyingine ziliunga mkono wenzao tu.Una C&P inaonekana hata huijui hii vita vizuri.
Jordan hakupigana vita ya siku sita bali alihusika na mapigano ya nyuma ya tangu 1955 kuja 1967 yaliyochangia vita ya siku sita.
Rudi kasome tena ulipo C&P.