Nimesema waarabu sijataja nchi, hizo nchi nyingine ziliunga mkono wenzao tu.Una C&P inaonekana hata huijui hii vita vizuri.
Jordan hakupigana vita ya siku sita bali alihusika na mapigano ya nyuma ya tangu 1955 kuja 1967 yaliyochangia vita ya siku sita.
Rudi kasome tena ulipo C&P.
Kama waliwaunga mkono maana yake nini? Wamepigwa wote, tuache ubishi usiojenga. Kama lengo ni ubishi basi umeshinda! Hatuonyeshani uhodari wa kubishana, haina maana.Kama hujui kitu nyamaza tu.
Vita ya six days war ilihusisha Israel kulipua Egypt airbase ya Sinai peninsula na kuiteka Sinai yote baada ya kulipua airbase ya Egypt.
Vita ikaamia Gollan heights kwa Syria ambako Israel alifanya shambulizi la anga zito na kuiteka Gollan heights.
Kipindi Israel inajiandaa kizidisha mashambulizi hadi Central Syria rais wa USA Lyndon Johnson aliwazuia Israel wasiendelee na mashambulizi.
Israel ndio ikaweka buffer zone Gollan heights na hawajairudisha hadi sasa.
Sinai wamekuja kuirudisha baada ya vita ya Yomkippur war baada ya Egypt kuwapora 70% ya ardhi 30% iliyobaki ikaja kurejeshwa kwa mkataba wa Camp david.
Waarabu gani wote unaowasemea wewe walipigana na Israel!?
Egypt na Syria ndio waarabu wote!??
Kwani hata ninabishi basi?Mwabeshi alifuata nini huko Yemen? kila anayeishi middle east ni kwa hisani ya myahudi. Myahudi akiamua kumuondoa yeyote ni kama kutema mate.
Nani alimuunga mkono nani!?Kama waliunga m
Kama waliwaunga mkono maana yake nini? Wamepigwa wote, tuache ubishi usiojenga. Kama lengo ni ubishi basi umeshinda! Hatuonyeshani uhodari wa kubishana, haina maana.
Sijapotosha maana.
Nimechoka kishenziYaudi kama mtoto Idd. Yupo kama kapandwa na kichaa.
Anyway na nyie mnamchokozaga wa nini?
Naww umeamini kweli akuna aliekufa!!!!Kwanza jifunze kuandika kwa ufasaha. Pili mchungaji wangu ni Yesu anayeniongoza kwenye njia ya uzima. Kama Tel Avivu ilihimil balistics 200 za wahuni pasipo kupoteza hata mtu mmoja ni kitu gani kitakachoiangamiza?
Nasraallah alishi maisha ya siri kuliko digidigi. Makaz yake yalikuwa kwenye bunkers almost 20m chini ya surface, myahudi alipomwamulia ilibaki pete tu. Ayatoallah anaishi sababu myahudi hajaamua kumfanya target, ole wake ajichanganye.Kwani hata ninabishi basi?
Kiongozi wa Hamas kwenda kuchinjiwa Tehran jirani kabisa na makazi matakatifu ya mheshimiwa Ayatollah, mi sina hamu nao.
Hao ni relief program, so usishangae mashambulizi yakamkuta sehem ambayo ilipangwa kushambuliwaWHO walienda kwa hao magaidi kufanya nini?
Katika vitu ambavyo myahudi hatothubutu ni kumuua kiongozi wa dini wa kishia.Nasraallah alishi maisha ya siri kuliko digidigi. Makaz yake yalikuwa kwenye bunkers almost 20m chini ya surface, myahudi alipomwamulia ilibaki pete tu. Ayatoallah anaishi sababu myahudi hajaamua kumfanya target, ole wake ajichanganye.
Mtoto idddi kazua balaaa mtoto netanyau kazua mikosi, netanyau kama kapandwa na kichaa anaitaj kurekebishwwa..Yaudi kama mtoto Idd. Yupo kama kapandwa na kichaa.
Anyway na nyie mnamchokozaga wa nini?
Six-Day War, or Arab-Israeli War of 1967, War between Israel and the Arab countries ofKama hujui kitu nyamaza tu.
Vita ya six days war ilihusisha Israel kulipua Egypt airbase ya Sinai peninsula na kuiteka Sinai yote baada ya kulipua airbase ya Egypt.
Vita ikaamia Gollan heights kwa Syria ambako Israel alifanya shambulizi la anga zito na kuiteka Gollan heights.
Kipindi Israel inajiandaa kizidisha mashambulizi hadi Central Syria rais wa USA Lyndon Johnson aliwazuia Israel wasiendelee na mashambulizi.
Israel ndio ikaweka buffer zone Gollan heights na hawajairudisha hadi sasa.
Sinai wamekuja kuirudisha baada ya vita ya Yomkippur war baada ya Egypt kuwapora 70% ya ardhi 30% iliyobaki ikaja kurejeshwa kwa mkataba wa Camp david.
Waarabu gani wote unaowasemea wewe walipigana na Israel!?
Egypt na Syria ndio waarabu wote!??
Six-Day War, or Arab-Israeli War of 1967, War between Israel and the Arab countries of Egypt, Syria, and Jordan. Palestinian guerrilla attacks on Israel from bases in Syria led to increased hostility between the two countries. A series of miscalculations by both sides followed.Kama waliunga m
Kama waliwaunga mkono maana yake nini? Wamepigwa wote, tuache ubishi usiojenga. Kama lengo ni ubishi basi umeshinda! Hatuonyeshani uhodari wa kubishana, haina maana.
Sijapotosha maana.
Mlikuwa mnasema Iran haigusiki, mara ina nuclear na blah blah kibao. Mwisho wa siku yahudi katungua raisi, viongoz wa vikundi, vituo vya kijeshi ndani ya Iran na hakuna anayeongea. Siku Ayatoallah akijichanganya itakuwa ngumu kuilam Israel maana hakuna atakayejua ameondolewaje. Ukimchokoza myahudi haangalii cha shia wala sunni, yeye ni kutwanga tu.Katika vitu ambavyo myahudi hatothubutu ni kumuua kiongozi wa dini wa kishia.
Kama Israel waliweza kumuua kiongozi wa Hamas katika safe house ya Tehran hawashindwi kumuua Ayatollah.
Ila hawatothubutu,ukitaka kuwaona mashia ni wafia dini ua kiongozi wao wa dhehebu lao la shia.
Aisee hadi watoto wenu watachinjwa.
Na ogopa sana shia wakianzisha vita ya kidini,sunni wenyewe wanajua mziki wa shia.
Jordan na Palestine hawakupigana vita ya siku sita.Six-Day War, or Arab-Israeli War of 1967, War between Israel and the Arab countries of
1. Egypt,
2. Syria,
3. Jordan.
4. Palestinian guerrilla
attacks on Israel from bases in Syria led to increased hostility between the two countries. A series of miscalculations by both sides followed.
Usitudanganye wewe acha uongo.Mlikuwa mnasema Iran haigusiki, mara ina nuclear na blah blah kibao. Mwisho wa siku yahudi katungua raisi, viongoz wa vikundi, vituo vya kijeshi ndani ya Iran na hakuna anayeongea. Siku Ayatoallah akijichanganya itakuwa ngumu kuilam Israel maana hakuna atakayejua ameondolewaje. Ukimchokoza myahudi haangalii cha shia wala sunni, yeye ni kutwanga tu.
Six-Day War, or Arab-Israeli War of 1967, War between Israel and the Arab countries ofJordan na Palestine hawakupigana vita ya siku sita.
Bali walipigana vita za nyuma yake zilizochagiza vita ya siku sita.
Wacha nikuletee article nzima ya six days war.Six-Day War, or Arab-Israeli War of 1967, War between Israel and the Arab countries of
1. Egypt,
2. Syria,
3. Jordan.
4. Palestinian guerrilla
attacks on Israel from bases in Syria led to increased hostility between the two countries. A series of miscalculations by both sides followed.
Jordan na Palestine hawakupigana vita ya siku sita.
Bali walipigana vita za nyuma yake zilizochagiza vita ya siku sita.
Kila article unaleta tu mkuu.