Israel yaichakaza miundombinu ya magaidi wa Houthi na kumjeruhi mkuu wa WHO

Hawa watu siku wajichanganye wapige himaya ya Urusi ndio utakuwa mwisho wao.
 
Kuichokoza Israel ni kuitafuta hukumu ya kifo. Tangu October 7 magaidi wanapewa haki yao ya kutangulizwa akhera kwa upumbavu wao.
Izo picha nimetuma wote ni wapo matoni kwasasa nini kuchokoza watu wamewauwa kabisa na washafukiwa milele kwa milele
 
Izo picha nimetuma wote ni wapo matoni kwasasa nini kuchokoza watu wamewauwa kabisa na washafukiwa milele kwa milele
Nyie endeleen kuimba kuwapamba lkn watu awajui kuusu taifa teule wanapitanao na kuzikwa zivuli. Utaifa teule nibaki nao sisi tunajua wavamiz kutoka Ulaya. Dawa yao kuu mtutu watakufa adi wakimbie mwarabu taifa teule lisingevamia ardhi ya watu.
 
Tena iyo idad ni ndogo sana IDF wamekufa wengi ikisha vita itawachukua miaka 20 kutokuchokoza vita ili watoto wapya wakue ndio wawategemee lkn awa wasasa wakiondoka uko vitani ndio kwaeri ya milele wakija sio kwenye vita ndio mana Iran anapigana na Israel kwaakili sana anajua uko mbele adui atakuwa dhaifu kama nyanya.
 
Kama unajua lugha pata maelezo hapa jinsia askari wa kizayuni wamekumbwa na wimbi la woga na wasiwasi
 
Ameuawa kipenzi chao, general soleyman na wakakaa kimya , bure kabisa
 
Kwani hao wengine walioondolewa ilitangazwa wataondolewa lini? We subiri, "time will tell".
Siku akijaa kwenye mfumo huenda isijulikane kaondolewa kwa kitu gani. Yule Rais wa Iran hadi leo kuna watu wanaamini ilikuwa ajali ya kawaida tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ