Israel yaishutumu Iran kuvuka mstari mwekundu

Israel yaishutumu Iran kuvuka mstari mwekundu

1749895145958.jpg
 
Cha kufanya, kabla hajashambulia vituo vya kijeshi vya marekani vilivyoko mashiriki ya kati wamuwahi mapema kuondoa kitisho. Maliza kabisa hiyo kitu mashariki ya kati na weka utawala mpya usio wa kiimla
 
Soon mtaijua Israel KOBAZII mtaanza kutafutanaa kama mmekunywa SIFONGOO
Israel ni Mali hadimu,Mtu kaigia kwa Muajemi,kawua top military brass wote,Kauwa magwiji wa wanaotengeza mitambo ya siraha za maagamizi.
Anashambulia vinu vya Nuklea 24 hour non stop.
Kama haitoshi ameharibu mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran anachagua pa kupiga bila wasiwasi.
Asubuhi ya leo Benjamin Netanyahu kaapa kumshikisha adabu Ayatola Ali Khameni.Kawahamasisha Waajemi hao wapindue serikali, Mossad majasusi ya Israel yapo ndani ya Iran wakipambana na serikali
 
Mashoga zao wa Saudi Arabia na Jordan wamegoma kutungua missiles za Iran.

Wameogopa kuununua ugomvi.
 
Ni Jambo la mudaa IRAN inasafishwa na kuwa taifa jipyaa na Sheria zao za ajabu ajabu zenaenda kufika ukingoni
 
Wakati unapiga makazi ya watu, wenzako washaua nuclear program yako na air defense system.

Wanachofanya asaiv Iran ni kupiga makazi kwa hasira bila kutumia akili wala kuwa na military tactics zozote.

Top military officers also dead, we jifurahishe na hizo video, ila pigo lililowakuta Iran ni kubwa sana.
 
Mashoga zao wa Saudi Arabia na Jordan wamegoma kutungua missiles za Iran.

Wameogopa kuununua ugomvi.
Tupo pamoja kwenye vita hii kumpata mshindi, ila msijekuomba msaada wa HURUMA kwa Iran
 
Ni Jambo la mudaa IRAN inasafishwa na kuwa taifa jipyaa na Sheria zao za ajabu ajabu zenaenda kufika ukingoni
Iran hadi muda huu ipo vibaya,hana ndege za uhakika,Navy yake imeishapigwa chini,Rushwa kubwa nayo ni shida kwenye manunuzi ya siraha za uhakika.
 
Unapiga makaz ya raia sasa wazee wanakuja kamili 😆😆😆 na mpaka sasa waliokufa wengi ni kule kwa makobazi
Israeli imeweka kambi zao za kijeshi katikati ya miji na sehemu zenye mikusanyiko ya watu na changanyikeni. Anatumia raia kama ngao.

Kingine jeshi la israel linaendesha operesheni zao wakiwa kwenye mahandaki ya siri, na Iran hakuwa na budi akafurumua makombora kwenye makao makuu ya IDF ambapo yamezungukwa na makazi ya raia kibao.

20250614_005208.jpg

🔵 Kituo cha Kati: Rabin Camp (IDF HQ)

Hiki ndicho kituo cha kijeshi kilicholengwa na Iran kulingana na madai yao.

Kiko katikati ya mji wa Tel Aviv, kwenye eneo lenye shughuli nyingi za kiraia.

🔴 Mizunguko ya umbali (radius rings)

Ramani inaonyesha mizunguko ya umbali wa mita 300, 600, 900, 1,200, 1,500, hadi 1,800 kutoka Rabin Camp.

Hii inaonyesha ndani ya kilomita moja na nusu tu, kuna makazi na shughuli nyingi za kiraia.

---

🏙️ Majengo ya kiraia yanayoonekana karibu (ndani ya 1 km):

1. Azrieli Mall – jengo kubwa la biashara na burudani.

2. Tel Aviv Museum of Art – taasisi ya sanaa ya kiraia.

3. Habima Theater – jumba la sanaa la taifa.

4. Rothschild Boulevard – eneo la makazi na ofisi.

5. Dizengoff Square – eneo la kijamii na kiraia.

6. Opera Building, Tel Aviv Town Hall, nk.

🏢 Majengo ya kibiashara na makazi (karibu zaidi):

Tel Aviv Towers, Stock Exchange Complex, Akro Towers, nk – yote ni ya kiraia, na yana watu wengi wa kawaida.

© Grok
 
Back
Top Bottom