Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 8,072
- 8,942
Sitamani with all means iendelee
Italeta balaa kubwa sana
Sitamani with all means iendelee
Hapo anayetafutwa kudhoofishwa ni Iran.. UN hawana ubavu maana wafadhili wao ndio haohao wachonganishiUN wana upendeleo ila vita ingeshaisha kitambo , kama wangeweza kumzuia jamaa asiue watu kule Gaza nafikria mpaka leo pasingekuwa na vita ..Tatizo la hao jamaa wanajipa justification means ya kuua viongozi wa wengine kwa kumuona adui yao ni mdogo
Mbaya zaidi marekani n taifa selfish sana na mwenye nguvu ya ushawishi sahiv amepiga hatua moja nyuma Trump kama kawaida yake ni maslai ya marekani kwanza hawezi toa silaha nzito kama alivyosema ni ushauri tu ndo upo…Mungu asaidie hii vita wapatane hawa wa iran akili hawana wanaweza tumia ata nuclear wakajifanya wamekosea.Israel bhana ni moja ya Taifa lilikua linajali sana raia wake ila sasa hivi wamekua kama Puerto Rico wanaanzisha vita kumfurahisha Trump ambae miaka minne ijayo nae anakua mvunja kuni tu uraiani kama Marais wengine waliopita USA.
Wapigwe tu hao vibaraka wa Marekani. Wamezidi kuwaua raia wasiokuwa na hatia.Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz amesema Iran usiku wa kuamkia leo imevuka mstari mwekundu kutokana na mashambulizi yake ya makombora kulenga maeneo ya kiraia hivyo ijiandae kwa majibu makali
Katz amesema mashambulizi ya Iran yatajibiwa kwa viwango vya juu kuharibu uwezo wa Iran kushambulia tena raia wa Israel.
Shirika la habari la Iran International limeonya kwamba taarifa kutoka maafisa wa Israel mpango uliopo mezani kama moja ya majibu hayo ni kushambulia miundombinu ya mafuta na gesi
Iran imesema mashambulizi dhidi ya Israel yataendelea na yatafanyika hadi kwenye kambi za mshirika mkuu wa Israel Marekani zilizopo ukanda huo wa mashariki ya kati
Wakati huo huo asubuhi hii kumeripotiwa mlipuko mkubwa katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa Mehrabad nchini Iran katika shambulio kubwa la Israel la kimkakati ambalo bado haijafahamika lilikuwa limemlenga nani, Shirika la habari la AP limeripoti taarifa hiyo nmekuekea hapo chini kwenye comments
Pichani ni picha za matokeo ya mashambulizi ya Iran usiku wa kuamkia leo nchini IsraelView attachment 3368043
Wapige tu mahali popote. Mbona waisrael wao wanapiga hadi hospitali na kuwaua wagonjwa?Mbaya zaidi marekani n taifa selfish sana na mwenye nguvu ya ushawishi sahiv amepiga hatua moja nyuma Trump kama kawaida yake ni maslai ya marekani kwanza hawezi toa silaha nzito kama alivyosema ni ushauri tu ndo upo…Mungu asaidie hii vita wapatane hawa wa iran akili hawana wanaweza tumia ata nuclear wakajifanya wamekosea.
Ukame mkali umeikumba Iran na kupelekea janga la uhaba wa maji hata ya kutumia majumbani, kilimo kimeathiriwa zaidi. IRAN inaituhumu Israel kwa kutmia science kuiba mawingu ya anga ya Iran hivyo kupelekea uhaba wa mvua uliosababisha ukameWaziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz amesema Iran usiku wa kuamkia leo imevuka mstari mwekundu kutokana na mashambulizi yake ya makombora kulenga maeneo ya kiraia hivyo ijiandae kwa majibu makali
Katz amesema mashambulizi ya Iran yatajibiwa kwa viwango vya juu kuharibu uwezo wa Iran kushambulia tena raia wa Israel.
Shirika la habari la Iran International limeonya kwamba taarifa kutoka maafisa wa Israel mpango uliopo mezani kama moja ya majibu hayo ni kushambulia miundombinu ya mafuta na gesi
Iran imesema mashambulizi dhidi ya Israel yataendelea na yatafanyika hadi kwenye kambi za mshirika mkuu wa Israel Marekani zilizopo ukanda huo wa mashariki ya kati
Wakati huo huo asubuhi hii kumeripotiwa mlipuko mkubwa katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa Mehrabad nchini Iran katika shambulio kubwa la Israel la kimkakati ambalo bado haijafahamika lilikuwa limemlenga nani, Shirika la habari la AP limeripoti taarifa hiyo nmekuekea hapo chini kwenye comments
Pichani ni picha za matokeo ya mashambulizi ya Iran usiku wa kuamkia leo nchini IsraelView attachment 3368043
kama ni kweli hii ni silaha gani?