B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Hao kobaz hawnaa akiliIsraeli imeweka kambi zao za kijeshi katikati ya miji na sehemu zenye mikusanyiko ya watu na changanyikeni. Anatumia raia kama ngao.
Kingine jeshi la israel linaendesha operesheni zao wakiwa kwenye mahandaki ya siri, na Iran hakuwa na budi akafurumua makombora kwenye makao makuu ya IDF ambapo yamezungukwa na makazi ya raia kibao.
View attachment 3368286
π΅ Kituo cha Kati: Rabin Camp (IDF HQ)
Hiki ndicho kituo cha kijeshi kilicholengwa na Iran kulingana na madai yao.
Kiko katikati ya mji wa Tel Aviv, kwenye eneo lenye shughuli nyingi za kiraia.
π΄ Mizunguko ya umbali (radius rings)
Ramani inaonyesha mizunguko ya umbali wa mita 300, 600, 900, 1,200, 1,500, hadi 1,800 kutoka Rabin Camp.
Hii inaonyesha ndani ya kilomita moja na nusu tu, kuna makazi na shughuli nyingi za kiraia.
---
ποΈ Majengo ya kiraia yanayoonekana karibu (ndani ya 1 km):
1. Azrieli Mall β jengo kubwa la biashara na burudani.
2. Tel Aviv Museum of Art β taasisi ya sanaa ya kiraia.
3. Habima Theater β jumba la sanaa la taifa.
4. Rothschild Boulevard β eneo la makazi na ofisi.
5. Dizengoff Square β eneo la kijamii na kiraia.
6. Opera Building, Tel Aviv Town Hall, nk.
π’ Majengo ya kibiashara na makazi (karibu zaidi):
Tel Aviv Towers, Stock Exchange Complex, Akro Towers, nk β yote ni ya kiraia, na yana watu wengi wa kawaida.
Β© Grok
Kwamba Ayatola anajina la matusi?Nilijua tu watashambulia majengo na makazi ya watu na kulenga raia wa kawaida kabisa...hii wave itakayokuja lazima iondoke na kichwa Cha AYA TOA KHUMA NEI...
Iran usiichukulie poa bro,kitendo cha kurusha hata jiwe kwa manati na kufikia target ndani ya israel kwa iron dome zile,ujue hapo si pa mzaha mzaha,yote kwa yote vita wanaoumia na kuteseka ni watoto,wakinamama na wazee wasio na hatia,vita sio nzuri hata kidogoBaadae mtaanza kulia justice for iran tupo
Kule gaza israel target zake uwa zinakuaje?Nilijua tu watashambulia majengo na makazi ya watu na kulenga raia wa kawaida kabisa...hii wave itakayokuja lazima iondoke na kichwa Cha AYA TOA KHUMA NEI...
Hivi inakuaje mpaka wakuu wa jeshi wanauliwa na Makombora ina maana viongozi wa kijeshi ata kujiongeza walishindwa kwa kujificha uswahiliniIran inapiga raia israel inaua viongozi wa kijeshi kwelii akili ni nywele.
Ayatollah ashikilie hapohapo, makafir wapokee kichapo takatifu
Kiufupi kanchi ni kadogo , Iran kama akiendelea kupiga ataleta maafa labda wakimbie kama watu wa Gaza ..Kuna tetes familia moja wamekufa woteIsraeli imeweka kambi zao za kijeshi katikati ya miji na sehemu zenye mikusanyiko ya watu na changanyikeni. Anatumia raia kama ngao.
Kingine jeshi la israel linaendesha operesheni zao wakiwa kwenye mahandaki ya siri, na Iran hakuwa na budi akafurumua makombora kwenye makao makuu ya IDF ambapo yamezungukwa na makazi ya raia kibao.
View attachment 3368286
π΅ Kituo cha Kati: Rabin Camp (IDF HQ)
Hiki ndicho kituo cha kijeshi kilicholengwa na Iran kulingana na madai yao.
Kiko katikati ya mji wa Tel Aviv, kwenye eneo lenye shughuli nyingi za kiraia.
π΄ Mizunguko ya umbali (radius rings)
Ramani inaonyesha mizunguko ya umbali wa mita 300, 600, 900, 1,200, 1,500, hadi 1,800 kutoka Rabin Camp.
Hii inaonyesha ndani ya kilomita moja na nusu tu, kuna makazi na shughuli nyingi za kiraia.
---
ποΈ Majengo ya kiraia yanayoonekana karibu (ndani ya 1 km):
1. Azrieli Mall β jengo kubwa la biashara na burudani.
2. Tel Aviv Museum of Art β taasisi ya sanaa ya kiraia.
3. Habima Theater β jumba la sanaa la taifa.
4. Rothschild Boulevard β eneo la makazi na ofisi.
5. Dizengoff Square β eneo la kijamii na kiraia.
6. Opera Building, Tel Aviv Town Hall, nk.
π’ Majengo ya kibiashara na makazi (karibu zaidi):
Tel Aviv Towers, Stock Exchange Complex, Akro Towers, nk β yote ni ya kiraia, na yana watu wengi wa kawaida.
Β© Grok
UN wana upendeleo ila vita ingeshaisha kitambo , kama wangeweza kumzuia jamaa asiue watu kule Gaza nafikria mpaka leo pasingekuwa na vita ..Tatizo la hao jamaa wanajipa justification means ya kuua viongozi wa wengine kwa kumuona adui yao ni mdogoSitamani with all means iendelee