Israel yaishutumu Iran kuvuka mstari mwekundu

UN wana upendeleo ila vita ingeshaisha kitambo , kama wangeweza kumzuia jamaa asiue watu kule Gaza nafikria mpaka leo pasingekuwa na vita ..Tatizo la hao jamaa wanajipa justification means ya kuua viongozi wa wengine kwa kumuona adui yao ni mdogo
Hapo anayetafutwa kudhoofishwa ni Iran.. UN hawana ubavu maana wafadhili wao ndio haohao wachonganishi
 
Israel bhana ni moja ya Taifa lilikua linajali sana raia wake ila sasa hivi wamekua kama Puerto Rico wanaanzisha vita kumfurahisha Trump ambae miaka minne ijayo nae anakua mvunja kuni tu uraiani kama Marais wengine waliopita USA.
Mbaya zaidi marekani n taifa selfish sana na mwenye nguvu ya ushawishi sahiv amepiga hatua moja nyuma Trump kama kawaida yake ni maslai ya marekani kwanza hawezi toa silaha nzito kama alivyosema ni ushauri tu ndo upo…Mungu asaidie hii vita wapatane hawa wa iran akili hawana wanaweza tumia ata nuclear wakajifanya wamekosea.
 
Wapigwe tu hao vibaraka wa Marekani. Wamezidi kuwaua raia wasiokuwa na hatia.
 
Wapige tu mahali popote. Mbona waisrael wao wanapiga hadi hospitali na kuwaua wagonjwa?
 
Ukame mkali umeikumba Iran na kupelekea janga la uhaba wa maji hata ya kutumia majumbani, kilimo kimeathiriwa zaidi. IRAN inaituhumu Israel kwa kutmia science kuiba mawingu ya anga ya Iran hivyo kupelekea uhaba wa mvua uliosababisha ukame kama ni kweli hii ni silaha gani?
  • Weather manipulations warfare
  • Weather warfare
  • Environmental manipulation warfare
  • Altering enemie's weather pattern to gain military advantage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…