Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

iran hakuna silaha aliyotengeneza yeye sababu hana technolojia hiyo, silaha zote za iran ni za kirusi, anachofanya yeye ni kubadilisha housing na kuweka jina la kiarabu
Ona huyu nae anavyoropa!
Kazifuatilie Bavaar,khordak na shaheed drones pamoja na Ghaza drones uone nani kaunda from scratch.
 
Jifunze kusoma nasio kuongozwa na mihemko yenye mahaba ndani yake Iran hazungumzi kiarabu.
😂😂😂😂😂😂Doh huyo kijana kweli kaishia au yupo O level.
Eti Iran anaongea kiarabu tangu uislam uingie Iran.
Mbona Mali uislam umeingia kwa wingi na hawaongei kiarabu!?
 
Back
Top Bottom