Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Hakuna kitu kama hicho

Hizo ni porojo tu.
Hitting nuclear sites in Iran is in the best interest of US. Itakuwa Pentagon wanapiga vigelegele kimya kimya muda huu
Ameshindwa kupiga nuclear sites pale Korea aende akapige Iran ?
US haihitaji kuingia vitani hivi sasa, Israel ndio anataka kushinikiza kwa namna yeyote ile US iingie vitani, wanapeleka kila aina ya maneno ya uongo na intelligence zao uchwara za mchongo ili kuishawishi US kwamba Iran inarutubisha nuclear kwa matumizi ya silaha hatari ambapo itapelekea kuharibu amani ya dunia.

Lakini kwa response navyoona kwa US ni wazi sasa wamegundua waajemi hawana nia mbaya yeyote ya kuchafua amani hata kama wakimiliki silaha za nuclear.
 
Hii text yangu ya mwisho kwako usiponielewa basi.
Nina mashaka na uelewa wako.
Hii ni JF mzee watu wengine wapo humu for fun tu kujifurahisha basi.
Sasa wewe unapochukulia mambo serious nakushangaa sana.
Humu haulipwi mkuu.
Aisee😂😂😂😂 ujinga mzigo sana.
Halafu narudia tena hujui hujai niona unapokomalia suala langu la rangi unadhihirika kuwa ni mjinga.
Umewahi kuniona?
Unanijua nilivyo?
Usipende kupanik kwa ujinga mzee hii JF watu wanaongea na kuacha mambo hapa hapa.
Jaribu kuwa mtu mzima narudia tena jaribu kuwa mtu mzima haulipwi acha kupanik kwa ujinga.
Ungekua unajua humu haulipwi usingekesha kumtukana mweusi mwenzio kisa vita ya watu weupe nyie weusi msiojielewa ndio mnasababisha wenzenu kuitwa nyani hujielewi eti unasema for fun yaani hata hujui maana ya mtandao unachokiandika hapa kinadumu milele watoto watakua wanasoma ujinga wa babu yao kweli jitu jeusi kama wewe kujielewa mpaka litawaliwe tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ameshindwa kupiga nuclear sites pale Korea aende akapige Iran ?
US haihitaji kuingia vitani hivi sasa, Israel ndio anataka kushinikiza kwa namna yeyote ile US iingie vitani, wanapeleka kila aina ya maneno ya uongo na intelligence zao uchwara za mchongo ili kuishawishi US kwamba Iran inarutubisha nuclear kwa matumizi ya silaha hatari ambapo itapelekea kuharibu amani ya dunia.

Lakini kwa response navyoona kwa US ni wazi sasa wamegundua waajemi hawana nia mbaya yeyote ya kuchafua amani hata kama wakimiliki silaha za nuclear.
Mwana intel wa kiajemi na habari za ndaaani kabisa
 
Wacha kuimba kwaya wewe Netanyahu mwenyewe ka Kakiri hataki vita na Iran hakuna cha ndege wala Missiles wala drone zimetokea Israel kupiga Iran.

Hizo drones ni za wapinzani wa Iran tena hazikufanya madhara yeyote yale zimetunguliwa kama njiwa 😄
{}
 
Back
Top Bottom