Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Na Ukithubutu kuhoji ujue Jambia linakuhusu.Nchini Iran raia wanahesabika kama mateka tu wa watawala wa nchi hiyo, hawana sauti wala hawana haki hata kidogo ya kuhoji utawala uliopo huko.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Ukithubutu kuhoji ujue Jambia linakuhusu.Nchini Iran raia wanahesabika kama mateka tu wa watawala wa nchi hiyo, hawana sauti wala hawana haki hata kidogo ya kuhoji utawala uliopo huko.

Iran wanasema "wote ni uzushi tu". Vishindo vilivyosikika ni mitambo ya Iran ilikuwa inavyovyatua vi drones vilivyotumwa kuchokoza mambo:
View: https://youtu.be/-SkHin7oHIc?si=dT4FW5vuGE3YMBze
Iran siyo Waarabu.Huo ndio ukweli mchungu
Waarabu wajikite tu kwenye kuzalisha mafuta mambo ya Vita siyo fani tangu Ulimwengu uasisiwe
Israel inatisha 🐼
Kwako Malaria 2 ukiwa Rafah
Algeria, Egypt, Morocco wanamchakaza Israel bila wasi wasi.Iran siyo Waarabu.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Pale kuna base ya jeshi mlipuko ulipotokea 🤔Sasa unabisha nini na kukubali nini!?
Shambulio la Israel limefeli,nia yao ilikua kulipua Nuclear facility hapo Isfahan ila wakafeli makombora yakalipuka maeneo jirani na hapo na drone tatu zimedunguliwa za Israel.
Bora ya hayo, leo Israeli 80% ni mashoga uhuru ukizidi ni hatari kwa binadamu.Nchini Iran raia wanahesabika kama mateka tu wa watawala wa nchi hiyo, hawana sauti wala hawana haki hata kidogo ya kuhoji utawala uliopo huko.
Mlipuko umetokea karibia na Isfahan airbase ila sio ndani ya Isfahan airbase.Pale kuna base ya jeshi mlipuko ulipotokea 🤔
....
Reports of an attack in Iran. Here is what you should know:
- An attack targeting the Isfahan area - an air base of the Iranian army in the Isfahan airport area. A military facility and not a nuclear facility.
- According to the Iranians, the attack was carried out using drones. They claim that they managed to intercept them all. Iranian attempts to reduce the size of the event.
- Shortly before the attack in Isfahan: attacks on several targets of the Iranian militias in Syria, according to reports the Iranian air defense systems stationed in Syria.
This is the Iranian base in Isfahan where drone strikes were hit.
This is a transport base of the Iranian Air Force, which also has a fighter squadron and the deployment of 2 air defense batteries, including an S-300 battery.
View attachment 2968418
Kama unakataa haya ila vyombo vya kimataifa vimesema drone 3 na makombora kadhaa.Kwa akili ya kawaida tu hii inagoma. Yani Israeli atume drone 3 kwenda kushambulia eneo lililo na mifumo advanced ya ulinzi?
Umekurupuka kujibu utake usitake lengo la Israel lilikua kushambulia vinu vya nuclear.Ndio maana umeambiwa level yako ya uelewa wa propaganda za kivita ni ndogo mno, lengo la Israel sio kushambulia vinu vya nuclear bali kutuma ujumbe kuwa vinu hivyo vinafikika iwapo ataamua kuvishambulia, vivyo hivyo lengo la Iran kutuma drones 300 lilikuwa si kushambulia bali onyo
Unadhani waarabu asa hivi uchumi wao unategemea mafuta!?Israel haiuzi mafuta, watakaoumia ni hao wauza mafuta wenzake Kuwait, Qatar, Saudi Arabia, UAE na Oman ambao hawatakubali ujinga wake.
Habari za muda huu.......
Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq.
PIA SOMA:
- LIVE - UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel
====
Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan
Israeli missiles have hit a site in Iran, the United States' ABC News has reported, citing a US official, days after Iran launched a drone strike on Israel in response to an attack at the Iranian embassy in Syria.
Iran's Fars news agency said an explosion was heard at an airport in the Iranian city of Isfahan but the cause was not immediately known.
Several Iranian nuclear sites are located in Isfahan province, including Natanz, the centrepiece of Iran's uranium enrichment program.
Several flights were diverted over Iranian airspace, CNN reported.
Over the weekend, Iran launched hundreds of drones and missiles in a retaliatory strike after a suspected Israeli strike on its embassy compound in Syria earlier in April.
Most of the drones and missiles were downed before reaching Israeli territory.
Iran told the United Nations Security Council on Thursday that Israel "must be compelled to stop any further military adventurism against our interests" as the UN secretary-general warned that the Middle East was in a "moment of maximum peril".
Israel had said it was going to retaliate against Iran's 13 April missile and drone attack.
Analysts and observers have been raising concerns about the risks of the Israel-Gaza war spreading into the rest of the region.
Israel's assault on Gaza began after Palestinian Islamist group Hamas attacked Israel on 7 Ocober, killing 1,200, according to Israeli tallies.
Israel's military offensive has killed over 33,000 Palestinians in Gaza, according to the local health ministry.
Iran-backed groups have declared support for Palestinians, launching attacks from Lebanon, Yemen and Iraq.
This is a developing story and this article will be updated.
Follow the latest from SBS News at
, or on the SBS News app available on
or
View attachment 2967853
Israel is bombing Iran, Syria and Iraq at the same time.
Acha ufala Iran ina silaha zake alizounda 100% pasi na kusaidiwa.iran hakuna silaha aliyotengeneza yeye sababu hana technolojia hiyo, silaha zote za iran ni za kirusi, anachofanya yeye ni kubadilisha housing na kuweka jina la kiarabu
Acha basi, unahisi viongozi wa Iran ni mbumbumbu kiasi cha kushindwa kutofautisha kati ya Israel na Msumbiji!?
Kwan Israel hajasema kwamba ameshalia yeyote uwo unaousikia ni udadisi wa watuinaonekana ilikuwa very limited strike, haifikii hata kiwango kile iran ilifanya kwa israel, naona walikuwa kama wanatoa msg kuonyesha kuwa wanao uwezo wa kuingia hadi ndani ya nchi. nafikiri cha kuangalia ni kama watapiga tena au la, ila hadi sasa iran bado ni boss. alichofanya israel ni kama kupiga alimradi tu ili na yeye aonekane hakukubali kupigwa, na inaonekana baada ya hii, hawatarushiana tena, kila mtu atamheshimu mwenzake. ugomvi utaishia hapo na iran itaendelea kuogopwa kwamba sio ya kitoto. let truth be told.