Wanaomzunguka
Hebu fanya utafiti kuhusu hayo makundi matiifu kwa Iran kwenye hayo mataifa na uangalie idadi ya wapiganaji ,vifaa na experience ya vita walionayo
We jamaa , kwa hiyo zile proxy za Iran kule Yemen ,Lebanon ,Syria na Iraq unafikiri ni majirani zake Marekani au sio , au unafikiri hayo mataifa yemeamka tu na kuruhusu hizo proxies kuexist humo kwenye hayo mataifa ?Iran ana mikwara mingi lakini hana ubavu wa kuendesha vita kubwa, nzito na muda mrefu kwa sababu hizi.
1. Ana matatizo makubwa mnoo ya kisiasa ndani ya taifa lake.
2. Hana uungwaji mkono kutoka taifa lolote kubwa lenye nguvu ya kijeshi.
3. Waarabu wanaomzunguka mpaka sasa wameshindwa kumuunga mkono.
4. Israel ina uungwaji mkono mkubwa kutoka mataifa makubwa ya kivita na wanaomzunguka.
Hebu fanya utafiti kuhusu hayo makundi matiifu kwa Iran kwenye hayo mataifa na uangalie idadi ya wapiganaji ,vifaa na experience ya vita walionayo