Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Naomba unicheki plzTufanye ni kweli amesema anakaa kando, Je, atatulia bila kufanya chochote wakati vita ikizidi kupamba moto?
Umepotea sana mkuu
Tokea lini Iran anazungumza kiarabu,hivi hizi bhangi huwa unavutia wapi!iran hakuna silaha aliyotengeneza yeye sababu hana technolojia hiyo, silaha zote za iran ni za kirusi, anachofanya yeye ni kubadilisha housing na kuweka jina la kiarabu
Mnabishana na vijana wa O level humu ndani....ukishalijua hili basi hutakaa usumbuke...unawaacha na ujinga waoTokea lini Iran anazungumza kiarabu,hivi hizi bhangi huwa unavutia wapi!
tokea uislam ulipoingia persia, sababu uislamu ndio unaoeneza lugha ya kiarabuTokea lini Iran anazungumza kiarabu,hivi hizi bhangi huwa unavutia wapi!
Jifunze kusoma nasio kuongozwa na mihemko yenye mahaba ndani yake Iran hazungumzi kiarabu.tokea uislam ulipoingia persia, sababu uislamu ndio unaoeneza lugha ya kiarabu
Ona huyu nae anavyoropa!iran hakuna silaha aliyotengeneza yeye sababu hana technolojia hiyo, silaha zote za iran ni za kirusi, anachofanya yeye ni kubadilisha housing na kuweka jina la kiarabu
ππππππDoh huyo kijana kweli kaishia au yupo O level.Jifunze kusoma nasio kuongozwa na mihemko yenye mahaba ndani yake Iran hazungumzi kiarabu.