profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
tena biblia imekataza..Kutokuwa upande wowote Ni unafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tena biblia imekataza..Kutokuwa upande wowote Ni unafiki.
Hii Vita itakuwa mwanzo wa kumalizika kwa enzi za mbabe Putin...eti kila mtu ashinde mechi zake....Ukraine wamekubali kuwa uwanja wa vita kati ya NATO na RU
hii itupe funzo la kutoegemea mrengo wowote...tuwe neutral when it comes to foreign affairs
Sasa mkuu kuna vita ambayo haina taarifa? Unachotakiwa wewe ni kuleta taarifa yako ambayo kwa mtazamo wako unaona haina ushabiki ingawa hakuna asiye shabiki kwenye vita yeyote maana yake ni either una support au unapingana yote hiyo ni ushabiki.Taarifa nyingi humu naona ni za ushabiki sijui kwanini watu wanashabikia majanga na vita vinavyo ondoa uhai wa watu.
Binafsi staki kuegemea upande wowote Ila nashauri Waanzisha Vita hivyo wasitishe haraka ili kunusuru mamaisha ya watu wasio na hatia yeyote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo udugu wao unakuja vipi hebu tufafanulie[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Israel na Russia ndugu hao ,,
Atakama hajaweka chanzo ila Israel haitoisaidia Ukraine kwenye huu mgogoro cos ya viashiria kuwa Warusi wanaunasaba wa mbali na Wayahudi!Acha propaganda lete chanzo cha habari hii iliyojaa uputini putini
Misaada ya kibinadamu ni silaha .....Taarifa yako uliipata wapi hii?!!. wakati Israel kapeleka misaada ya kibinadamu huko Ukraine na wanachunguza vifo vya waisrael vilivyotokea hivi punde!!... Anyone included in harm of Israelis in Ukraine will be accountable
Kati ya nchi yenye Wayahudi wengi Ulaya ni Ukraine, hata Rais wa Ukraine ni Myahudi. Hivyo kama kuna urafiki kati ya Israeli na Russia basi inawezekana iwe katika kigezo kingine.Atakama hajaweka chanzo ila Israel haitoisaidia Ukraine kwenye huu mgogoro cos ya viashiria kuwa Warusi wanaunasaba wa mbali na Wayahudi!
Waziri mkuu mstaafu wa Israel Bwana Netanyau alikuwa hawezi kukaa miezi 5 hajaenda Russia kuonana na Putin.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukraine ina wayahudi wengi hata Raisi wao ni uzao wa Israel!!..Atakama hajaweka chanzo ila Israel haitoisaidia Ukraine kwenye huu mgogoro cos ya viashiria kuwa Warusi wanaunasaba wa mbali na Wayahudi!
Waziri mkuu mstaafu wa Israel Bwana Netanyau alikuwa hawezi kukaa miezi 5 hajaenda Russia kuonana na Putin.
Sent using Jamii Forums mobile app
Story za vijiweni ni ngumu kidogo!!!.. Raisi wa Ukraine ni Uzao wa Israel alafu wayahudi waliopo Ukraine ni wengi na wananafasi kwenye serikali kuliko Nchi nyingine za Ukanda huo!!.. Russia wakati wake ndio huu kuangamia!!amesema israel kakataa kutoa silaha kwa ajili ya kuipiga russia,sio misaada ya kibinadamu,hata kwa akili ndogo tu,israel hawezi kuigeuka russia,utakuwa ndio mwisho wa operation zake Syria..
Sasa Putin kasema wakizingua anaweka Nuke unafikiri wao hawajamuelewa hapo.EU wamekataa maombi ya Ukraine ya kujiunga na umoja huo. Hawa EU ni wanoogopa kujiingiza kwenye direct confrontation with RU. Wanafiki ni wengi sana humu duniani
Story za vijiweni ni ngumu kidogo!!!.. Raisi wa Ukraine ni Uzao wa Israel alafu wayahudi waliopo Ukraine ni wengi na wananafasi kwenye serikali kuliko Nchi nyingine za Ukanda huo!!.. Russia wakati wake ndio huu kuangamia!!
Idadi ya wayahudi waliopo Russia ni kubwa kuliko Ukraine. Pia lugha ya kirusi ki Russia ni moja ya lugha 3 za Taifa la Israel.. YA kwanza ni kiebrania ya pili kiarabu na tatu kirusi.Story za vijiweni ni ngumu kidogo!!!.. Raisi wa Ukraine ni Uzao wa Israel alafu wayahudi waliopo Ukraine ni wengi na wananafasi kwenye serikali kuliko Nchi nyingine za Ukanda huo!!.. Russia wakati wake ndio huu kuangamia!!
Ukraine ina wayahudi wengi hata Raisi wao ni uzao wa Israel!!..
Idadi ya wayahudi waliopo Russia ni kubwa kuliko Ukraine. Pia lugha ya kirusi ki Russia ni moja ya lugha 3 za Taifa la Israel.. YA kwanza ni kiebrania ya pili kiarabu na tatu kirusi.
Kwa sababu ya Sera ya Zionism ambayo ilikuwa a nawaomba wayahudi walioko nje ya Israel kurudi Israel.. Na wengi walioitikia mwito huo ni kutoka Russia baada ya kusambaratika kwa usovieti. Mf yule aliyekuwa waziri wa ulinzi islael Igor lieberman alikuwa mrusi..
Kaoge ukalale.....idadi ya wayahudi Ukraine haifiki hata nusu ya waliopo RussiaStory za vijiweni ni ngumu kidogo!!!.. Raisi wa Ukraine ni Uzao wa Israel alafu wayahudi waliopo Ukraine ni wengi na wananafasi kwenye serikali kuliko Nchi nyingine za Ukanda huo!!.. Russia wakati wake ndio huu kuangamia!!
Nawajua Watanzania mlivyokua wabishi mnapenda data wakati zikiwa side yako!!..Kesho zikiwa tofauti utakana!!...Kwa Udogo wa Ukraine na Kwa visa vya Russia dhidi ya Israel na Kwa uhasama baina ya Syria na Israel utakua mjinga wa Mwisho Kwa hayo unayoambiwa huko Kwa muuza kahawa!!Kaoge ukalale.....idadi ya wayahudi Ukraine haifiki hata nusu ya waliopo Russia View attachment 2135592View attachment 2135593
Kwahiyo Duniani kuna Lugha inaitwa Kirusi!!..Tanzanian wonders shall never endIdadi ya wayahudi waliopo Russia ni kubwa kuliko Ukraine. Pia lugha ya kirusi ki Russia ni moja ya lugha 3 za Taifa la Israel.. YA kwanza ni kiebrania ya pili kiarabu na tatu kirusi.
Kwa sababu ya Sera ya Zionism ambayo ilikuwa a nawaomba wayahudi walioko nje ya Israel kurudi Israel.. Na wengi walioitikia mwito huo ni kutoka Russia baada ya kusambaratika kwa usovieti. Mf yule aliyekuwa waziri wa ulinzi islael Igor lieberman alikuwa mrusi..
Labda kama muuza kahawa ni mjomba wako..............hilo povu kapigie puchu tu ulaleNawajua Watanzania mlivyokua wabishi mnapenda data wakati zikiwa side yako!!..Kesho zikiwa tofauti utakana!!...Kwa Udogo wa Ukraine na Kwa visa vya Russia dhidi ya Israel na Kwa uhasama baina ya Syria na Israel utakua mjinga wa Mwisho Kwa hayo unayoambiwa huko Kwa muuza kahawa!!