Israel yakataa maombi ya Ukraine juu ya msaada wa silaha vita

eti kila mtu ashinde mechi zake....Ukraine wamekubali kuwa uwanja wa vita kati ya NATO na RU
hii itupe funzo la kutoegemea mrengo wowote...tuwe neutral when it comes to foreign affairs
Ukisema mimi niko neutral maana yake uko upande wa MWONEVU.

Hapo waisrael walipo sema wamekataa,vice versa yake ni kuwa amekubali kisirisiri.(hahahah)
Nalog off
 

I missed a word Humanitarian, thanks
 
Hayo maombi ya dharula ya Ukraine kujiunga nato ni viinimacho tu vinavyo chezwa na Nato na Ukraine.

Wanamchanganya russia tu kwenye maamuzi yake katika hii vita.
wanajichaganya wenyewe RUSSIA hachanganywi namtu nandio maana anawanyuka kweli kweli
tunaangalia pengine pakuelekea maana UKRAINE tushamalizana napo
 
Unasikika mlio mmoja toka kwa Zelensk jinsi anapigwa nyundo za kimya kimya na Russia
 
Kati ya nchi yenye Wayahudi wengi Ulaya ni Ukraine, hata Rais wa Ukraine ni Myahudi. Hivyo kama kuna urafiki kati ya Israeli na Russia basi inawezekana iwe katika kigezo kingine.
Hizo mbwembwe hata angelekua kazaliwa Jerusalem acha apigwe nyundo za mapumbu
 
Russsia kuna wayahudi kibao

Abramovich mwenyewe myahudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…