Israel yakatalia mbali ombi la HAMAS kwamba iache vita kabisa ili mateka waachiwe

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hivi kwa anayejua atusaidie kuelewa, baada ya HAMAS kuteka hao watu, walitoa sharti gani mwanzo ili kuwaachia, maana naona sasa wamekubali yaishe almradi Israel iache mapigo zaidi, na hii ni baada ya Israel kuua Wapalestina 20,000 na kuifanya Gaza kuwa shamba.
Je sharti la mwanzo la HAMAS kabla ya uvamizi wa Israel limetimizwa?
============================

Israel on Thursday firmly rejected a Hamas demand to permanently halt fighting before releasing any more hostages being held by terrorists in Gaza, as talks in Cairo for a truce deal appeared to make little progress.
 
Hamas ni kundi la kiislamu la kigaidi yaani Harakat al-Muqawama al-Islamiya (Islamic Resistance Movement)wale viongozi wao wapo tayari waparestina wafe kwa idadi yoyote ile wakati wao wapo ughaibuni Qatar wanakula bata, ni ujinga mkubwa.

Sasa ni hivi, Israel hawawezi kukubali kuliacha hili kundi, ni lazima nitaisha ili wabakie hao wanatoa amri wakiwa ughaibuni huku wanaogelea na familia zao.

Poleni waparestina, haya ndiyo mambo ya dini, hata hapa kwetu kina Kibwetere walikuwepo kuwajaza watu ujinga.
 
Amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga. Iran ndio shida hapo mashariki ya kati, wamewaingiza hao magaidi kwenye choo cha kike kisha wenyewe wametokomea kusikojulikana. Iran bure kabisa.
Lakini hao unaowaita magaidi Jana wameishukuru Iran pamoja na Yemen Kwa msaada wanaotoa, Sasa jiulize Iran anatoa msaada gani?.
 
Hamas ni kundi la kiislamu la kigaidi yaani Harakat al-Muqawama al-Islamiya (Islamic Resistance Movement)wale viongozi wao wapo tayari waparestina wafe kwa idadi yoyote ile wakati wao wapo ughaibuni Qatar wanakula bata, ni ujinga mkubwa.

Sasa ni hivi, Israel hawawezi kukubali kuliacha hili kundi, ni lazima nitaisha ili wabakie hao wanatoa amri wakiwa ughaibuni huku wanaogelea na familia zao.

Poleni waparestina, haya ndiyo mambo ya dini, hata hapa kwetu kina Kibwetere walikuwepo kuwajaza watu ujinga.
Kawaida mkuu uliitaka viongozi wawe wapi?. Mbona NETA hatumuoni mstali wambele?. Israel BTW hamna kitu nichui wamakaratasi, hivi angekua hapewi msaada na west&USA siangepiga NUCLEAR?. Kila siku nasema wajifunze Kwa Might RUSSIA, USA naukubwa wake wote anaikusanya mpaka shelisheli eti walinde RED SEA, sivituko hivyo?.
 
Wewe ni popoma, Israel haijaribiwi, chezeeni mataifa ya Ulaya ambayo yana huruma na demokrasia, kila kukicha magaidi uanachama visu watu huko Ulaya halafu polisi wanaishia kuwapeti peti. Kwa hiyo Israel ampige nuclear sisimizi?
 
Bila msaada wa USA, Israel nisawa na DRC, anapigana nawavaa kobazi miez 3 ambao wanamiliki magari ya Toyota na SMG tu.
 
Hivi kwa anayejua atusaidie kuelewa, baada ya HAMAS kuteka hao watu, walitoa sharti gani mwanzo ili kuwaachia, maana naona sasa wamekubali yaishe almradi Israel iache mapigo zaidi, na hii ni baada ya Israel kuua Wapalestina 20,000 na kuifanya Gaza kuwa shamba.
Je sharti la mwanzo la HAMAS kabla ya uvamizi wa Israel limetimizwa?
============================

Israel on Thursday firmly rejected a Hamas demand to permanently halt fighting before releasing any more hostages being held by terrorists in Gaza, as talks in Cairo for a truce deal appeared to make little progress.
Uharo mtupu
 
Israel ua hawa inzi wa kiarabu wote,ua wote Takataka hawa walimuua Joshua bila kosa
 
Israel bado wananiangusha... vifo vinapaswa vifike laki tano hao Hamas ushenzi walioufanya majibu yake yanapaswa yawe ya nguvu kupindukia
 
Israel anakimbia Gaza afu unasema hataki vita iishe, sa utamfuta vipi Hamasi bila kuingia Gaza huyo anacho taka auwe watoto na wanawake kwa kutumia air force 😄

Kaona Hamasi hamuwezi lakini asubiri karibu ataona Heavy Missiles zinashuka kama mvua Tel Aviv

Israel akubali vita hashindi hata siku moja hizo kelele za media hazitamsaidi kitu.

Askari wake wa Kikosi kinacho sifiwa Golan kakikimbiza kakitoa Gaza na wamefurahi kweli kawakimbiza wasimalizwe 😄
 
Bila msaada wa USA, Israel nisawa na DRC, anapigana nawavaa kobazi miez 3 ambao wanamiliki magari ya Toyota na SMG tu.
Ulitaka Israel waingie kichwa kichwa kwenye mahandaki yaliyotegwa milipuko ili wafe? Unazani tangu vita ianze hakuna hata Hamas mmoja aliyekamatwa na kuteswa akatoa siri? Hakuna jeshi lolote duniani linaweza kufanya ujinga wa namna hiyo
 
Back
Top Bottom