Israel yakatalia mbali ombi la HAMAS kwamba iache vita kabisa ili mateka waachiwe

Israel yakatalia mbali ombi la HAMAS kwamba iache vita kabisa ili mateka waachiwe


Afu kuna vifaranga hapa wanajidai Israel ataifuta Hamasi, utaifuta vipi Hamasi na wewe unakimbiza kikosi chako hodari nje ya Gaza 😄

Wao wanadhani kurusha moboom ndio ushindi, watacho fanya ni kuvunja majumba tu.

Yemen kawashika paa baya Nchi nyingi zimeamua kuomba vita vishe wa kwanza uingereza BP inakula mamillion ya hasara kwa siku huyo si ndio kama America walijidai kumpa Israel licence ya kuwauwa raia wa Gaza, leo analia vita visimame 😄

Hawa Uingereza hawajui utu, wanajua maslaha yao tu, Yemen shikilia hapo hapo hawa wanao msaidia Israel waipate jiwe la moto 😄
 
Hamas endeleeni kuwachinja hao magaidi wa kizayuni
Kwa mwezi huu tu magaidi 2000 ya hamas yameangamizwa na IDF. I'm watching aljazeera live. Bila shaka utapinga taarifa hii na kusema hizi ni propaganda za IDF.
 

View: https://youtu.be/4Vq7aJBEjho?si=SpKAL4JzYfsZvP85
Mnaanza wenyewe kuwasha moto wazayuni wakiukoleza mnakuja humu kulia
Tuliambiwa Hamasi inafutwa na Israel anaichukua Gaza hakuna ceasefire kabisa tukaona ceasefire badaye tukaimbiwa hakuna tena ceasefire mpa tuwamalize Hamasi tunaona aisrael ndio anaomba ceasefire vipi tena.

Tukambiwa kikosi cha Golan kitamaliza Hamasi tunaona Hamasi wapo na Golan anakimbia Gaza vipi tena?

Waisrael wanapoteza kazi huko, karibu watu 500,000 hawana kazi, na wanafatwa wanafunzi kwenye ma college wanambiwa wa jiunge na jeshi vipi tena? Mlisema mna askari zaidi ya 100,000 vipi tena wamebaki wangapi? 😄
 
Kawaida mkuu uliitaka viongozi wawe wapi?. Mbona NETA hatumuoni mstali wambele?. Israel BTW hamna kitu nichui wamakaratasi, hivi angekua hapewi msaada na west&USA siangepiga NUCLEAR?. Kila siku nasema wajifunze Kwa Might RUSSIA, USA naukubwa wake wote anaikusanya mpaka shelisheli eti walinde RED SEA, sivituko hivyo?.
Well said be blessed; kitu kingine Israel ina uhakika gani kwamba wao ndio wanao miliki silaha za nuclear mashariki ya kati - nani
ambaye hajui ukaribu wa nuclear scientists wa North Korea walishirilkiana na nuclear scientists wa Urusi pamoja na mascientists wa Pakistan (or have you forgotten about the so called Islamic bomb - western propaganda tu kwani nuclear bom lina dini??).

Binafsi nina uhakika kwamba Wanasayansi wa hinchi tajwa hapo juu walisha wafundisha Wairan jinsi ya kuunda mabom ya nuclear na wanayo, si hilo tu hata modern delivery sysyem za mabom hayo any where in the world.
 
Kila nikiangalia mauaji ya vichanga pale ghaza moyo unaniuma sana
Hao vichanga wa Gaza wanakuhusu nini wakati magaidi wamemuua Mtanzania asiye na hatia.

You're still adoring your former slave masters despite brutally slaying your innocent compatriot. Bogus.
 
Back
Top Bottom