Israel yakubali masharti ya HAMAS kwenye kusitisha mapigano ya vita kwa siku 4. Kwa masharti haya,nani kaelemewa?!!

Kwa masharti haya, si bure Hamas walikuwa wamelewa KVant
 
Wewe ni mjinga sana hivi kwa elimu yako ya madrasa wewe unaona nani kalemewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Inategemea na value ya mateka

Kama hao Hamas wameteka watu potential kwa Taifa la Israel maana yake wako sahihi ku trade mateka mmoja kwa watatu ikiwa hao mateka wa kipalestina ni raia wa kawaida au sio big asset kwa Taifa
Wenzetu raia wao ana thamani kubwa sana na siyo kama unavyoongea hapa
Kama ikibidi wanaweza kuachia hata palestinia kumi kwaajili ya huyo raia mmoja unayeona siyo potential
Lakini kinachoendelea nasikia ni muendelezo wa matumizi ya akili ambazo hao jamaa wametajwa kuwa nazo sana
Ya kukubali masharti na kuachiana mateka ili wakishachukua watu wao warudi kuwateka tena au kuwauwa wote huwenda hata hao mateka wa palestinia wamefungwa chip za kuwatrak popote watakapokuwa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kitanda Cha Mungu.

Yale Yale ya Ukraine,Kamikaze inauzwa dollar 20,000k,iliuitungue utumie dollar 150,000K.

Ukiiacha hasara,ukiitungua hasara
Heheeeeee ukiacha hasara ukiitungua hasara
Sijui ufanyeje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe ni mjinga sana hivi kwa elimu yako ya madrasa wewe unaona nani kalemewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kama wewe sio mjinga wahedi, niambie Israel imetumia kila silaha kuua na kuangamiza miji kwa siku 52 na haikufanikiwa kupata mateka hata mmoja mpaka ilipokubali maridhiano ndio ikapewa mateka.

Vita yake ilifanikiwa kukomboa nini?!!

Wakati anapigana na kuua watoto na wanawake - ndio lilikua lengo na sio kugomboa mateka?!!

Punguza chuki ya kipumbavu ya udini,nenda kwenye fact!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…