Israel yakubali masharti ya HAMAS kwenye kusitisha mapigano ya vita kwa siku 4. Kwa masharti haya,nani kaelemewa?!!

Israel yakubali masharti ya HAMAS kwenye kusitisha mapigano ya vita kwa siku 4. Kwa masharti haya,nani kaelemewa?!!

Kwa masharti haya, si bure Hamas walikuwa wamelewa KVant
Screenshot_20231124_131141_Gallery.jpg
 
Mgogoro wa Israel na Palestine huku ukiendelea kwa mashambt makali,kesho vita vitasinama kwa siku 4.

Yafuatayo ni masharti ambayo Israel na HAMAS zimekubaliana kwenye mazungumzo ambayo yamekua yakifanyika nchini Qatar kwa takribani wiki 2 Sasa.

Makubaliano hayo yameungwa mkono na USA ambae ni mdhamini mkubwa wa Israel.

Kwa makubaliano hayo,nani ameelemewa uwandani?!

Statement issued by Hamas:

• Truce will start on Friday at 7:00AM
• The truce will last for 4 days,
• Cessation of all military actions by the Al-Qassam, the Palestinian resistance, and the Zionist enemy throughout the truce period.
• Cessation of aircraft activity in southern Gaza Strip.
• No aircraft activity for 6 hours/day (10:00-16:00) in Gaza City & the north
• 3 Palestinian prisoners released for every 1 israeli prisoner.
• Within 4 days, 50 israeli prisoners, women & children under the age of 19, will be released.
• Entry of 200 aid trucks & medical supplies per day to all areas of the Gaza Strip.
• Entry of 4 trucks of fuel and cooking gas per day to all areas of the Gaza Strip.
Wewe ni mjinga sana hivi kwa elimu yako ya madrasa wewe unaona nani kalemewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Inategemea na value ya mateka

Kama hao Hamas wameteka watu potential kwa Taifa la Israel maana yake wako sahihi ku trade mateka mmoja kwa watatu ikiwa hao mateka wa kipalestina ni raia wa kawaida au sio big asset kwa Taifa
Wenzetu raia wao ana thamani kubwa sana na siyo kama unavyoongea hapa
Kama ikibidi wanaweza kuachia hata palestinia kumi kwaajili ya huyo raia mmoja unayeona siyo potential
Lakini kinachoendelea nasikia ni muendelezo wa matumizi ya akili ambazo hao jamaa wametajwa kuwa nazo sana
Ya kukubali masharti na kuachiana mateka ili wakishachukua watu wao warudi kuwateka tena au kuwauwa wote huwenda hata hao mateka wa palestinia wamefungwa chip za kuwatrak popote watakapokuwa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kitanda Cha Mungu.

Yale Yale ya Ukraine,Kamikaze inauzwa dollar 20,000k,iliuitungue utumie dollar 150,000K.

Ukiiacha hasara,ukiitungua hasara
Heheeeeee ukiacha hasara ukiitungua hasara
Sijui ufanyeje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe ni mjinga sana hivi kwa elimu yako ya madrasa wewe unaona nani kalemewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kama wewe sio mjinga wahedi, niambie Israel imetumia kila silaha kuua na kuangamiza miji kwa siku 52 na haikufanikiwa kupata mateka hata mmoja mpaka ilipokubali maridhiano ndio ikapewa mateka.

Vita yake ilifanikiwa kukomboa nini?!!

Wakati anapigana na kuua watoto na wanawake - ndio lilikua lengo na sio kugomboa mateka?!!

Punguza chuki ya kipumbavu ya udini,nenda kwenye fact!!
 
Back
Top Bottom