Israel yalipua mabomba ya gesi ndani ya Iran, mbwai na iwe mbwai

Umechanganyikiwa mkuu

Huo ukafiri unaoulinganisha na wa huyo wa makka na huyu anayeleta habari za nini kinaendelea duniani unaona uko sawa kweli mkuu

Punguza hasira na ujadili hoja ukiwa huna jaziba, utaendelea kufurahia habari zonazoletwa
Walikuwepo akina Abujahal makafiri wakubwa sana kuliko huyu. Lkn mwisho wa siku uislam umeshika kasi hadi Ulaya
 
Iran bingwa la maugaidi ya dini imeanza kufanyiziwa ndani kwa ndani, maslahi yake yamepigwa kote huko nje sasa inapigwa ndani na kama ina jeuri au ubavu wa kujibu basi ifanye tuone.

Mabomba yamelipuliwa na kusababisha hasara kubwa, juzi kiwanda cha kemikali kilitiwa kiberiti, yaani wameshikwa kidevu hawakujibu sasa wanakamatwa na kufinywa mle mle.

====================

Two major gas pipelines in Iran were allegedly attacked by Israel this week, according to a Friday report by The New York Times, citing an IRGC-affiliated military strategist and two Western officials.

The two pipelines, which carry gas from Iran's south to their major cities such as Tehran, were hit in multiple locations simultaneously. The attack "knocked out about 15 percent of Iran’s natural daily gas production," the Times quoted energy experts as saying.

Kwa hiyo?
We jali zaidi bei ya unga na petroli Nairobery
 
Umechanganyikiwa mkuu

Huo ukafiri unaoulinganisha na wa huyo wa makka na huyu anayeleta habari za nini kinaendelea duniani unaona uko sawa kweli mkuu

Punguza hasira na ujadili hoja ukiwa huna jaziba, utaendelea kufurahia habari zonazoletwa
Hawezi kukuelewa alishaga rogwa na imani potofu kitambo.
 
Alikuwepo kafiri mkubwa Makka kuliko hata kafiri weye na aliechukia uislam kwa nguvu lkn mwisho wa siku uislam umeenea hadi Ulaya ambao maelfu ya wazungu wanasilimu. Yeye huyo kafiri hivi sasa ashaoza
hakuna dini ya kishenzi kama ya kiislam
 
Iran leader in hide habari za ndani kabisa, wameogopa kasri kulipuliwa..!!
 
Iran bingwa la maugaidi ya dini imeanza kufanyiziwa ndani kwa ndani, maslahi yake yamepigwa kote huko nje sasa inapigwa ndani na kama ina jeuri au ubavu wa kujibu basi ifanye tuone.

Mabomba yamelipuliwa na kusababisha hasara kubwa, juzi kiwanda cha kemikali kilitiwa kiberiti, yaani wameshikwa kidevu hawakujibu sasa wanakamatwa na kufinywa mle mle.

====================

Two major gas pipelines in Iran were allegedly attacked by Israel this week, according to a Friday report by The New York Times, citing an IRGC-affiliated military strategist and two Western officials.

The two pipelines, which carry gas from Iran's south to their major cities such as Tehran, were hit in multiple locations simultaneously. The attack "knocked out about 15 percent of Iran’s natural daily gas production," the Times quoted energy experts as saying.

Jambo hilo unalolishangilia na kulipamba kwa maneno mazuri likija kufanywa ktk nchi za mabasha wako usije hapa ukaanza kulialia na kuwaita waliofanya ni magaidi
 
Kwani si mlifanya huo ugaidi wa dini, leo hii mnaliwa bila kilainishi mnaanza kwenda ICJ na kulia lia.
 
Alikuwepo kafiri mkubwa Makka kuliko hata kafiri weye na aliechukia uislam kwa nguvu lkn mwisho wa siku uislam umeenea hadi Ulaya ambao maelfu ya wazungu wanasilimu. Yeye huyo kafiri hivi sasa ashaoza

Hii inahusika na mada?! Au umelewa tende Ustaazi
 
Alikuwepo kafiri mkubwa Makka kuliko hata kafiri weye na aliechukia uislam kwa nguvu lkn mwisho wa siku uislam umeenea hadi Ulaya ambao maelfu ya wazungu wanasilimu. Yeye huyo kafiri hivi sasa ashaoza
wewe jamaa n mgonjwa una Malaria 2 iliyo panda kichwani

Nataka nikusaidie upone vipi uko tayari kulipiwa weye?????
 
Back
Top Bottom