Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Lebanon kunawaka moto wanajukwaa.... aisei wavaa kobaz wanapoteana.... Myahudi amechafukwa....



Hili dude hata kama uko kwenye handaki lazima likutafune tu...
 

Vipi Sudan mbona wako Waislamu wengi tu.......naona Wayahudi wanawatoa roho....matokeo yake ndi haya....Pager hiyo....

 

Accumen.... Unasema swali la kujiuliza Palestina na Israel wamefikaje pale mpaka wakawa na miji yao!? Jibu rahisi sana ! Ukiangalia Qurran itakupa jibu lake....Na ukiangalia Biblia itakupa jibu lake......Kwa kifupi kila mtu ana jibu lake katika swala hilo! Ukisoma Charter ya Hamas iko wazi kabisa, Palestine ni nchi Wakf ya Allah....Na Ukisoma Biblia itakupa jibu tofauti kabisa......
 
Lebanon haina tatizo ila Hizbula na nchi ilikuwa ya wakristo dini nyingine ikaamia kwa wingi na kuzaliana kwa wingi na kuwafanyia ugaidi wazawa .
Jamaa zinapambana kuzaliana kwa wingi sasa huko Ukaya na wanadai dini yao inakuwa kwa nguvu ulaya yote. Mtu mmoja ana watoto 70+ alafu hana mbele wala nyuma.
 
Kila mwenye akili timamu aling'amua mapema kabisa lile shambulio la October 7 ilikua ni makosa makubwa sana kimkakati. Myaudi ni kama kafungulia turbo hasikii haambiliki. Hizi movements za Hamas na Hezbollah ni wazi zimeprove failure na wanaoathirika sasa ni raia wasio na hatia.

Warudi nyuma watafute namna nyingine ya kumaliza huu mgogoro. Leo unafurahia umeua Wayaudi 100, kesho anaua watu wako 2000. Haya saivi mnashindwa hata kuchat kwa amani taratibu mnarudi zama za mawe. Majumba yanageuka magofu. Angalau wawe na huruma na raia basi. Wayudi wanakufa ila wao wanakufa zaidi.

Na kujaribu kuiaminisha dunia hii ni vita ya kidini ni makosa makubwa sana. Kuna Waisrael waislamu wako front line wanapigana na Hamas na Hezbollah. It's not about religion, it's all about land. Watu wanataka ardhi waishi kwa amani. Ila kujaribu kuitumia dini kuangamiza kizazi chote cha Wayaudi ni makosa makubwa na hii vita haitakuja kuisha kama haya makundi yatabaki na mtazamo huu.
 
Bongo tumeiweka kidini na chuki , makanisani wanahubiri amani na upendo ,huku wanafurahia wapalestina wanavyodhulumiwa na hawa mazayuni ndani ya nchi yao na kuuwawa .
Jiweke kwenye nafasi ya Myaudi. Baada ya mashambulizi ya October 7 ungefanya nini?
 
Jiweke kwenye nafasi ya Myaudi. Baada ya mashambulizi ya October 7 ungefanya nini?
Wayahudi wapo palestina ,Israel Lebanon ,Afghanistan na Iran ,sijui unaongelea Wayahudi wapi mkuu?
 
Ndio kila mtu ana sababu , waache wapigane.
 
Israel hata wakimuua mtoto mdogo watatangaza wameua kamanda Mwandamizi 😂😂
 
 

Attachments

  • 20240921_154951.jpg
    54.9 KB · Views: 2
Mh!

Mbona mimi mzani wangu nikiyapima haya maneno unagoma kuelewa?ninyi kabisaa?
Hayo makundi kwa mujibu wa Sheria za uislamu yanatakiwa kupigwa vita , acha tuchukulie wanapigania haki kuua raia , kuharibu makazi Mali ,miundombinu ,utekaji wa Raia na ukatili mwingine ni mambo yasiyokubalika kwenye dini.

Na ukichunguza utagundua wameleta maafa makubwa hadi kwa Waislamu wenzao , ndio maana wanazuoni wakubwa wamewakemea na nchi kama Saudia , UAE nk wanawindwa sana.

Hayo makundi chanzo chake ni historia ndefu , wewe jua tu kila kitu katika Uislamu sio mtu kujiamua bali ni kufuta taratibu zilizowekwa hata vita nazo zina tartibu na misingi yake.
 
Ya kawaida??
The biggest economy in Europe ni nchi ya kawaida?
Hata kivita Germany sio ya kawaida.
Unasema sio ya kawida na imeanza kupunguza kupeleka Misaada Ukraine. Ujerumani hamna kitu hawezi kumfikia nchi kama China hata kidogo japokuwa mchina hatujayaona Makeke yake kwenye Vita.
 
Haya kafunga beach Haifa,Acre na Nahariya maisha hayo mpaka lini? Yaani kwenye nchi yako unashinda ndani kama mfungwa? Yaani Israhell na ukonga hamna tofauti wanakula na kushinda chini ya ardhi alafu anatarajia vita kuisha huku yeye akiendelea na vita. Wanamsifia eti ni taifa lenye watu wenye akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…