Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote,
Kiongozi mwingine wa ngazi za juu wa kikundi cha ugaidi cha Hezbollah auawa na Jeshi la Israel Katika mji wa as-Sultaniyah huko Lebanon ya Kusini.
Ali Ahmed Hassin akiongoza kikosi maalumu cha askari wenye Weledi mkubwa almaarufu Radwan na aliuawa kwa shambulizi la ndege za Israel yeye pamoja na wasaidizi wake wawili.
Kazi ya kuwasaka magaidi wahusika wa mauaji ya Oktoba 7 yaliyopelekea vifo vya watu 1,200 Israel inaendelea
Kazi inaendelea
Mungu ibariki Israel
============
The IDF says it eliminated a senior field commander in Hezbollah’s elite Radwan force in an airstrike in southern Lebanon overnight.
Ali Ahmed Hassin, according to the IDF, held a rank equivalent to a brigade commander, and was charged with attacks on northern Israel’s Ramim Ridge, an area that has come under repeated rocket, missile, and drone attacks amid the war.
“As part of his role, he was responsible for the planning and execution of terror attacks in the Ramim Ridge area against the Israeli home front,” the IDF says.
Hassin was struck in the southern Lebanon town of as-Sultaniyah. According to the IDF, another two Hezbollah operatives under his command were killed in the strike.